Search results

  1. trust 1

    TANZIA Mtangazaji Mukhsin Mambo alias MC Hammer afariki dunia nyumbani kwake Marekani

    Ni vizuri ukamheshimu marehemu, huu sio muda wa kutoa taarifa mbovu ambazo ni tetesi
  2. trust 1

    Wahitimu wa civil engineering wanasota mtaani, siamini macho yangu

    Kwenye huu mjadala watu wanaongea kwa reference za watu wawili au watatu wanaowajua, ila kiukweli hali ni tete sana Ukitaka ujue hali ipo vipi jaribu kuangalia nafasi zikitangazwa wanaomba watu wangapi Reli post 2 waliomba zaidi ya 600 Tanroad post 20 waliomba zaidi ya 1300 Hawa wote...
  3. trust 1

    Civil Engineer natafuta kazi, HR & Project Managers Naomba Msaada

    Mkuu habari, vipi ulipata kazi??
  4. trust 1

    Naomba kueleweshwa haya kuhusu nyumba hizi ambazo bati zake hazionekani

    Hiyo ni gharama ya kazi yote ya bati , hapo weka mbao na bati, nadhani hukuelewa vizuri mkuu
  5. trust 1

    Naomba kueleweshwa haya kuhusu nyumba hizi ambazo bati zake hazionekani

    1. Ndio zinatumia bati chache 2. Ndio waweza tumia tofali za kuchoma 3. Gharama kwa boma 15m (normal standards ) Gharama kwa bati 5m Gharama za finishing kuanzia 20m na kuendelea kulingana na uchaguzi wako wa materials
  6. trust 1

    Gharama za Ujenzi wa nyumba ya ghorofa mbili

    Mkuu ni PM tuzungumze vizuri, tupo na kampuni ya ujenzi na imesajiliwa, kwa hiyo utapata ushauri mjarabu
  7. trust 1

    Ramani kali ya nyumba ya kuishi

    Mkuu kwa nini usijifunze kimyakimya siku ukianza kujuajua ndio uanze kupost, sikukatishi tamaa ya kujifunza ila hapo bado sana pambana sana aisee.
  8. trust 1

    Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

    We need more advices
  9. trust 1

    Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

    Hivi vitu vinaumiza kichwa sana, i wish ningeona future yangu ili nifanye uchaguzi sahihi, kwa sasa nakua mzito hata kumpigia simu hadi nijilazimishe but yupo tu, its almost a year now
  10. trust 1

    Simpendi ila nataka kufanya naye maisha

    Dah, mtoa maada unapitia hali kama yangu kabisa, Goja tusikilize ushauri
  11. trust 1

    INAUZWA Ofa baab kubwa: T-shirt kali zinauzwa kwa bei nafuu

    Duka lipo Aggrey mtaa wa kariakoo
Back
Top Bottom