Search results

  1. 100 others

    Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima

    Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east. Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser...
  2. 100 others

    Wlan connection ya cpe mbil

    Kwema wazee? Nataka nifanye connection ya cpe kwa umbali wa km 1. Baada ya kufanya research nimeona kuna hivi vifaa wanaita cpe mfano tp-link cpe610 ambazo kuna hizi kampuni za kutoa huduma ya internet huwa wanazitumia. Nahitaji kufunga ziwe mbili niwe napeleka video high quality kutoka...
  3. 100 others

    Wingi wa watu ambao ni wazungumzaji sana ni waongo

    Kwa utafiti wangu binafsi ambao nimeufanya nimethibitisha kwamba wingi wa watu waongeaji sana ni waongo waongo. Ni wataalamu wa kuchanganya uongo na ukweli ili uamini anachokisema, yaani waswahili husema kuongezea chumvi. Ni aina ya watu ambao huwa wana wivu, kama ni rafiki yako mmetoka level...
  4. 100 others

    Artificial Intelligence ni ulaghai

    Mwaka 1997 IBM walitengeneza computer ikiitwa Deep Blue ikamshinda bingwa wa chess duniani aliitwa Garry Kasparov, watu wakaona dunia inaingia kwenye nyakati computer inakwenda kumzidi binadamu akili lakini si kweli, miaka ya1950' hadi 1960's kuna wanasayansi wakasema kuna robots zitakuja...
  5. 100 others

    Waziri Zambia ajiuzulu baada ya video inayomuonesha akipokea rushwa kusambaa. Mafisadi kumbe ndivyo namna wanakula keki ya Taifa!

    Stanley Kakubo ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Zambia amejiuzulu baada ya video inayoonyesha yeye na mfanyabiashara wa Kichina wakikabidhiana vibunda ambapo inasemekana ni US dollars na Zambian kwacha. https://streamable.com/m1vwpu Inasemekana jamaa alikuwa anapokea mlungula kutoka kwa...
  6. 100 others

    Maelezo kwa ufupi juu ya clip ikionyesha wanajeshi katili wakiua raia

    Hii clip nimeiona kutoka kwenye uzi alioanzisha mdau anaitwa GoldDhahabu wenye kichwa cha habari Hawa wanajeshi katili ni wa wapi? . https://streamable.com/ly7v6f Kuna maelezo mengi tofauti na sehemu kubwa si sahihi. Tukio linaonyesha raia ambao wamefungwa mikono na kuzibwa macho wakikokotwa...
  7. 100 others

    Ubabe wa Israel Kijeshi

    Vile vi operation uchwara kupaisha yale mabati kwenda kupiga vinu vya nuclear kule Syria na Iraq viko wapi? vile vi covert operation vya kipuuzi ambavyo vinapigiwa chapuo miaka na miaka kwenda kuua watu iko wapi? Vistory vya kijinga toka miaka ya 60 vya six days war😂. Hio six days war kashindwa...
  8. 100 others

    Hezbollah wana nguvu kiasi gani kama Jeshi?

    Hezbollah ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1985 huku lengo kuu ikiwa ni kulinda ardhi ya Lebanon dhidi ya utawala wa Israel kuivamia Lebanon. Hezbollah ina askari ambao ni muslims, shia, sunni na wakristo. Hezbollah wapo vizuri hasa katika kuilinda Lebanon dhidi ya uvamizi kama ilivyotokea First...
  9. 100 others

    Ushauri kwa wale wa early 2000's na late 90's

    Wadogo zangu muziki ni sanaa, ni kama filamu, unapoingia kwenda kutazama filamu cinema au nyumbani unapomaliza unaiacha palepale. Kwenye filamu si kweli kuna uhalisia kwamba spiderman yupo au wale characters kwenye avengers wapo, hakuna uhalisia ile tunatazama kuburudika tu. Hivyo hivyo jumbe...
  10. 100 others

    Elon Musk kuisaidia Wikipedia $1 Billion, endapo tu itabadili jina

    Ni habari ambayo imeacha watu vinywa wazi baada ya CEO wa Tesla na Space X Elon Musk kupendekeza kuisaidia wikipedia msaada wa dola bilioni moja kwa masharti kama itaweza kubadili jina kutoka wikipedia kuwa 'Dickipedia', :oops: Elon Musk amesisitiza ametoa kipindi chini ya mwaka mmoja...
  11. 100 others

    Wako wapi waigizaji wa Harry Potter and the sorcerer's stone sasa hivi?

    Kwa wale wafuatiliaji wa filamu mnakumbuka Harry Potter and the Philosopher’s Stone au kwa jina lingine Harry Potter and the Sorcerer's Stone Moja ya filamu ambayo niliikubali sana, hii filamu ilitoka mwaka 2001, hivi ndivyo waigizaji wa filamu hii walivyo sasa. Dudley Dursley (Harry Melling)...
  12. 100 others

    Nyuzi za namna hii zimekuwa nyingi mno, kulikoni?

    Hizi nyuzi za namna hii zimekuwa nyingi sana, ni muda mrefu sasa lakini this time imekua too much. je umekutana na nyuzi za namna hii au zinazorandana na hizi za kusifu na kuabudu ujinga? Tanzania yawa nchi ya mfano Africa.....blah... blah.... blah.... Tanzania Yashika Namba 4 Kati ya Nchi 10...
  13. 100 others

    Filamu ya James Bond ikionyesha Land Cruiser Toyota inavyozipa shida na kuziharibu Range Rovers

    Mwezi huu wale wazee wa torrent imetoka hii filamu ya James Bond kwa jina la no time to die ,katika kutazama hii filamu nimeona scene ambayo imenifikirisha kwa nini na kuna maana gani? Mapema land rover walitoa video fupi ya no time to die ambayo ipo YouTube, cha kushangaza ni James Bond...
  14. 100 others

    Wafanye Wawe Masikini, Wagawanye Na Watawale

    ..................
  15. 100 others

    Ndugu zangu kuna nini kinaendelea?

    Kwa kawaida nikiingia google huwa naweza kujua nini kinatrend Tanzania kwa sababu ya ile algorithm yao ya google autocomplete , nilikuwa nataka kusoma habari za raisi wetu lakini sijaelewa kipi kinachoendelea, hivi nini kinaendelea?
  16. 100 others

    Mtu Wa Namna Hii Unamjibu Vipi?

    Katika hiki kipindi cha sheria za tozo kuwa tight sana kuna rafiki yangu hapa katuma pesa kwa pisi yake halafu pisi imetuma sms inadai na ya kutolea?, hivi wenzangu mnaokutana na haya maswaibu mnawajibu vipi hawa watu? Kaniomba nimsaidie kujibu hio sms, nimemwambia atume na ya kutolea hakuna...
  17. 100 others

    BMW X6 ambazo bongo utabaki kuzisikia

    Kuna watu wanafikiri BMW X6 zile za beforward ndio toleo pekee la bmw x6. Imefikia watu wanaanza hadi kuipambanisha x6 na v8. Inabidi tuelewe kwa nini huyu mnyama ana heshima na vyeo kibao huko ughaibuni, ukiona bmw x6 inazungumziwa ni inatembea usifikiri ni hizi x6 za beforwad. Ukweli ni...
  18. 100 others

    Tanesco Msiwakate Wapangaji Kodi Ya Jengo...

    Tanesco kitendo mnachofanya cha kukata kodi za majengo kupitia LUKU si kitendo cha uungwana, kuna watu wamepangwa na wanamlipa mwenye nyumba kodi ya pango, kwa nini hawa hawa wapangwaji tena walipe kodi ya jengo. Unakuta nyumba ina madeni ya kodi kwa miaka, leo hii eti mpangwaji aje awe...
  19. 100 others

    Baadhi ya askari hawana nia njema, wanawatesa wananchi na kudhulumu mali zao

    Kuna kijana mtaani kwangu alikuwa anatoka kazini usiku, amepanda boda anaelekea nyumbani, ikatokea gari kwa nyuma na kuanza kumfuatilia, jamaa kafika nyumbani na kuingia ndani, sekunde chache tu akasikia mlango ukigongwa kwa nguvu na sauti za kibabe "fungua!!!, fungua!!!". Jamaa akahoji nyie...
  20. 100 others

    Nini kilimkuta Lot?...

    Wakati Sodom na Gomorrah zinataka kuangamizwa kwa moto mungu anatuma malaika kwa Lot kumpa ujumbe aondoke haraka toka katika huo mji. Malaika walimwambia Lot aelekee kwenye milima kitu ambacho Lot hakukubaliana nacho, Lot akaomba aende kwenye mji mdogo uitwao Zoar na si kwenye milima, yeye...
Back
Top Bottom