Search results

  1. bandamo

    Wanawake wana lawama za ajabu sana

    Ulimuonesha udhaifu wako mapema sasa anatumia matunda ya udhaifu wako wacha afaidi udhaifu wako
  2. bandamo

    Nimetembea na msichana wangu wa kazi, mke kajua kimenuka

    Baki3 katekeleza wajibu wake yupo hapo kusaidia kazi za ndani kuhakikisha familiar haipungukiwi yeye anaziba sioni kosa lake kosa la mke ni kushindwa kutambua majukumu ya beki 3 aelimishwe kuwa hilo ni mojawapo anapokuwa safari
  3. bandamo

    Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Inakuwaje raisi wa nchi kubwa hii anatetemeshwa na maandamano kwenye mitandao hajiamini huyu lazima atakimbia siku wakiandamana
  4. bandamo

    Sijawahi ona tabasamu la mpenzi hata siku moja

    Muhimu kwako ni huduma Muhimu kama unazipata tabasamu ni sehemu ndogo ikikosekana haiathiri chochote vumilia tu
  5. bandamo

    Precision kusitisha safari kwenda Kigoma na Musoma kuanzia tar 1 April 2018. Tuunge mkono Air Tanzania

    Nadhani hawa watakuwa wapinzani wa maendeleo kodi zetu tutapataje wakiondoa huduma hii
  6. bandamo

    Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

    Hakuna uthibitisho kama kweli kauwawa kwa kuwa mabaki yake hayajapatikana huwenda kahifadhiwa pahara uchunguzi wa kina unahitajika kupata majibu ama akiwa hai au akiwa mfu
  7. bandamo

    Wachezaji Simba sc waahidiwa mil 10 kila mchezaji wakishinda mechi ya marudiano

    Wachezaji wetu hawana lishe bora unategemeaje matokeo chanya uwanjani
  8. bandamo

    Nimemkumbuka Mh. Anne Makinda

    Alikuwa dhaifu mno na haya yatupatayo sasa ni matokeo ya bunge lililopita kupitisha miswaada kwa hati ya dharula magu akajifunza hapo kuwa wa tz wanabuluzika tu anatubuluza hata sasa
  9. bandamo

    Kupotea 'kutekwa' kwa Nondo: Picha iliyotengenezwa kishamba

    Kutekwa imekuwa fashion kwenye utawala huu
  10. bandamo

    DC Ali Hapi awanyang'anya ofisi Wabunge Mdee, Mnyika na Kubenea wa CHADEMA. Kubenea ang'aka...

    Kauli mbiu ya raisi ni ujenzi wa viwanda utekelezaji wake ni kusambaratisha upinzani
  11. bandamo

    Unatamani nani awe ule nae weekend hii

    Hizi avatar nyinginezo humu mhuuuu ni zao au wameazima tu wazisukumizie humu tu
  12. bandamo

    Napatwa na hamu ya kufanya mapenzi nje ya ndoa wakati nikiwa nimelala na mke wangu

    Usithubutu kuchepuka makahaba wana mbinu nyingi za kukamata mume wa mtu usije itesa familiar yako waone washauri nasaha watakulejesha katika hari ya kawaida utampenda tena mkeo hilo ni tatizo dogo na lipo kwenye ubongo wako linatoka kilahisi tu mkuu
  13. bandamo

    Huyu mwanaume tutawezana kweli?

    Wakati wa kutaka ushauri ulikuwa kabla ya hatua mlizopitia kwa sasa umechelewa inakulazimu kuvumilia changamoto iliyopo ukivunja uchumba ilihari mahari imetolewa utafarakana na familiar yako kwa heshima ya familiar yako kavumilie hayo kwa mumeo hayata kuumiza kwani unayajua nawe umejiandaa kwa...
  14. bandamo

    Ushauri: Nina mahusiano na mwanamke 'msimbe'

    Usiendelee naye kwa vyovyote vile huyo kakuzidi umli utamchoka mapema yeye mzoefu wa ndoa wewe hujui adha ya ndoa ishia kwenye mchepuko huo huo atakusumbua baadaye
  15. bandamo

    Kiusalama wa Rais, Je hii ni sawa?

    Mkuu bado tunamuhitaji pesa za makinikia bado hajagawa kapokea tayari tunasubili mgao
  16. bandamo

    Kiusalama wa Rais, Je hii ni sawa?

    Viongozi huwa wanalindwa na wana usalama kwa watu wanaotembea lakini zaidi huwa wanalindwa sana na nguvu za giza (mapepo.majini.na ulozi) ndio maana kipindi cha chaguzi albino wanakuwa dili sana mkuu hapo usalama umethibitishwa tayari
  17. bandamo

    Mkuu wa wilaya ya Bunda Akimbia sherehe ya siku ya wanawake baada ya wanawake kumbeba juu juu Mh. Bulaya kwa kazi nzuri

    Kajifunza kitu hapo kapata faida sherehe zijazo atajiandaa vema hii wame msukumia tu
  18. bandamo

    Je, wanaCCM wenzie wameshaanza kumgeuka?

    Atapita tu iwe kamaliza muda wake au mungu ampende sana vyovyote atakuwa kafika mwisho wake
Back
Top Bottom