Search results

  1. Mniko The Poet

    Welcome here to get your copy of this wonderful poetry book.

    Hello friends, I am a Tanzanian poet. My poetry book is now published in AMAZON so as everyone of you can get it easily by online purchase. Don't worry because the price of the book is low, fair and reasonable. The book is called 'SONGS OF AFRICAN FATHERS'. Inside the book there is a plenty of...
  2. Mniko The Poet

    Vitabu vizuri vya fasihi nipendavyo kusoma. Je, wewe wapenda kusoma vitabu gani?

    Heshima kwenu wana JF, Kuna baadhi ya waandishi wamebarikiwa na Mola kuandika vizuri lakini pia wamejifunza zaidi kuwa wajuzi na wabobezi wa kuandika tamthiliya, riwaya na ushairi kwa ustadi na weledi mkubwa ili kutuburudisha na kutuelimisha pia. Kuna baadhi ya vitabu vya...
  3. Mniko The Poet

    Hongera Tanzania: Watanzania wawili wamejinyakulia tuzo ya MABATI- CORNELL.

    Heshima kwenu wadau wa JF. Ninachelea kusema kuwa ninafurahi sana kuona vijana wenzangu wa kitanzania hasa waandishi wa vitabu vya fasihi kwa lugha ya kiswahili. Mnamo 15/4/2018 watanzania wawili wameng'ara katika anga za kimataifa kwa maandiko yao ya fasihi bora na yenye kuelimisha jamii...
  4. Mniko The Poet

    Nimealikwa Botswana; Mnishauri mambo muhimu ya kuzingatia kabla sijaenda huko

    Hamjambo wadau wa JF. Nimepata mwaliko wa kwenda kwenye tamasha moja la sanaa huko GABORONE-BOTSWNimepata mwaliko wa kwenda kwenye tamasha moja la sanaa huko GABORONE-BOTSWANA. Ninaomba kujua kuhusu yafuatayo kabla sijaamua kwenda huko; 1. Gharama ya Passport ya kusafiria kwenda Botswana...
  5. Mniko The Poet

    Nunua kitabu hiki cha fasihi kwa tsh, 2500 tu.

    Natumaini hamjambo wadau wa mashairi na fasihi kwa ujumla. Baada ya kumaliza kuandika kitabu changu cha ushairi kwa lugha ya kiingereza kinachoitwa 'SONGS OF AFRICAN FATHERS' kitabu hiki kinazungumzia nasaha na misemo kadha wa kadha iliyosemwa na viongozi wetu wa kiafrika kwa ajili ya ustawi...
  6. Mniko The Poet

    Nunua kitabu hiki cha Fasihi kwa tsh, 2500 tu.

    Natumaini hamjambo wadau wa mashairi na fasihi kwa ujumla. Baada ya kumaliza kuandika kitabu changu cha ushairi kwa lugha ya kiingereza kinachoitwa 'SONGS OF AFRICAN FATHERS' kitabu hiki kinazungumzia nasaha na misemo kadha wa kadha iliyosemwa na viongozi wetu wa kiafrika kwa ajili ya ustawi...
  7. Mniko The Poet

    Nunua kitabu hiki cha fasihi kwa tsh, 2500 tu.

    Natumaini hamjambo wadau wa mashairi na fasihi kwa ujumla. Baada ya kumaliza kuandika kitabu changu cha ushairi kwa lugha ya kiingereza kinachoitwa 'SONGS OF AFRICAN FATHERS' kitabu hiki kinazungumzia nasaha na misemo kadha wa kadha iliyosemwa na viongozi wetu wa kiafrika kwa ajili ya ustawi...
  8. Mniko The Poet

    Jisomee simulizi za Kiswahili na Kiingereza bure.

    Wadau wa simulizi natumaini hamjambo, Jisomee simulizi za kiswahili na kiingereza hapa www.fictionandpoetry.us
  9. Mniko The Poet

    Riwaya: Tamanio la binti Mkwawa

    Natumaini wadau wa riwaya hamjambo kabisa popote mlipo, Leo ninawaletea riwaya nzuri kwa ajili yenu, jisomee na kuburudika, kwa maoni na ushauri/lolote kuhusu kazi zangu za uandishi wa vitabu vya mashairi na riwaya tafadhali njoo PM. RIWAYA: TAMANIO LA BINTI MKWAWA. MWANDISHI: Mniko The...
  10. Mniko The Poet

    Love poem: If I will be blind.

    Hellow dear lovers of love poems, today i brings to you the following love poem, just read and enjoy. Enjoy the read. Love Poem: If I will be blind. If I will be blind, Will you be kind? or you will hurt my mind, and escape me to hide, maybe you will be on my side, but I can't read your mind...
  11. Mniko The Poet

    Save for your future

    Life Poem: Save for the future. Save love for the loving future, save money for your successful future, save peace for our harmonic future, let it be your culture. Saving is like your bed furniture, do not be a watcher, go to work for your future. Let it be your culture. Nurture your future...
  12. Mniko The Poet

    Special thread for Love Poems(Mashairi ya Mapendo)

    Heshima kwenu wana MMU. Huu uzi ni kwa ajili ya wale wapenda mashairi yanayohusu Upendo/mapendo, hivyo basi nakusihi kudondosha shairi lako la kiswahili au kiingereza kwenye sehemu ya comment ili tusome na kufurahi wote. Shairi langu ndiyo hilo hapo chini: Love Poem: Fake queen. since...
  13. Mniko The Poet

    Msaada: jinsi ya kuweka popads kwenye wordpress yangu

    Jioni njema Wadau popote mlipo, Nimekubaliwa kuweka popads kwenye wordpress yangu ila nimeshindwa jinsi ya kuweka codes walizonipatia kwenye editor/header php, Tafadhali naomba mwenye ufahamu wa CODES anisaidie kuelewa jinsi ya kukamilisha zoezi Tafadhali naomba mwenye ufahamu wa CODES...
  14. Mniko The Poet

    Love poem: Soon I will die

    Love Poem: Soon I will die. If you hold on with hurting, despite of my bleeding, and deep crying, soon I will die. If you go on with rudeness, pressing my heart like a button, shooting me like a ball, soon I will die. If you think you are right, to behave like a cat, treating me like a rat...
  15. Mniko The Poet

    Simulizi kutoka Libya: Escape From Drowning

    Fiction: ESCAPE FROM DROWNING. Chapter One: Chwichwichwi!!!!!!! Chwichwi!!! It is a natural bird sound, singing and praising the Almighty during a very early morning nearer the baobab forest where rare animals and birds live, though those birds were singing to praise the Almighty but they were...
  16. Mniko The Poet

    Love poem: Prison of my feelings

    Wadau wa MMU natumaini hamjambo, kama wewe ni mpenzi wa mashairi yahusuyo mahusiano na mapenzi, basi katika pitapita yangu huko online nimekutana na shairi hili lifuatalo kwa ajili yako: Love Poem: PRISON OF MY FEELINGS. I thought it could be peace, when I searched for a fiance, I...
  17. Mniko The Poet

    Shairi: Zawadi kwa wapenzi wote wanaotunziana siri

    Hamjambo wadau. Unajua kuna baadhi ya mahusiano hufa au kuvunjika kwasababu tu mmoja au wote wawili ni wabwatukaji au ni watu wasio na vifua vya kutunziana siri. kuna baadhi ya mambo katika mahusiano yanawahusu wawili tu, Nimewatungia shairi hili wale wote wenye nidhamu za kutunza siri ktk...
  18. Mniko The Poet

    shairi: U mzuri wewe uliye msiri.

    1. wapenzi wengi wamekosa umahiri, umahiri wa kutunza siri, lakini wewe u mzuri, umenitunzia siri, nimekukosea mengi lakini umeyafanya mazuri, u mzuri wewe uliye msiri. 2. tulipokula mbatata kwa ugali, haya yote ulisitiri, haujawahi kuropoka, nakiri, yanayotuhusu wawili...
  19. Mniko The Poet

    Poem: Please wait ........ I say wait.

    wadau wa ushairi, wanafunzi wa sanaa, wapenda mashairi ama wadau wa sanaa,shairi la mtindo huru hilo hapo chini, kazi kwako kujisomea na kujua ujumbe uliofichwa humo ndani. poem title: Please wait ....... I say wait. In the reception yard...
  20. Mniko The Poet

    Hamjambo? Naitwa Mniko The Poet, nimekuja kuwaburudisha kwa mashairi na story.

    Natumaini hamjambo wadau wote na wazoefu wa jukwaa hili, Ninaitwa Mniko The Poet, mwandishi wa digital ebooks kuhusu mashairi na stories. Ninaandika mashairi kuhusu jambo lolote ambalo mtu ataomba nimwandikie, kwa mfano unaweza kuomba nikwandikie shairi kuhusu harusi yako au birthday ama tukio...
Back
Top Bottom