Changamoto ikitokea tatizo hawasolve kwa wakati, nimeripot miez 6 iliyopota mpaka leo kweli? Ukitaka ujue jamaa wako na huduma mbovu pitia comment kwenye kurasa zao za Instagram
Hii kampuni ya huduma za kifedha hovyo kabisa, customer care mbovu hawana limit time ya kushughulikia tatizo la mteja, pesa yangu imekwama kwenye selcom pay zaid ya Miezi sita sasa hawana time na mimi kabisa hawapokei simu, hawajibu hata sms za WhatsApp.
Hawa jamaa hawafai kabisa haiwezekani...
Chukua tvs, kwangu ndio best na ni bora zaid kuliko haoujue. Ukipata 150 cc yenye 5 gear ndio nzuri zaidi hata kwenye route ndefu kidogo iko poa sana na kwenye speed ipo vizuri. Ila spear zake ziko juu kuliko haoujue ila ukifunga zinadum muda mrefu.
Mi nadhani chukua honda cbr hiyo ni bike nzuri sana hata specs zake inaizidi hiyo yamaha pamoja na suzuki
Kwanza ni liquid cooled, front & real break disk.... Vile vile ni sport bike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli jamaa alikuwa bodaboda lakin pia alikiwa ni kiongozi chadema na pia mwaka jana aligombea uenyekiti kupitia chadema.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.