Search results

  1. G

    Hakimu, Mawakili wa Serikali waibana Mahakama ili iwafutie baadhi ya mashtaka

    WATU watano akiwemo hakimu mkazi na wanasheria wawili wa serikali wanaokabiliwa na mashitaka 11 ya utakatishaji fedha haramu, kujihusisha na rushwa na kuongoza mtandao wa kupanga uhalifu wameiomba mahakama iwafutie baadhi ya mashitaka hayo kwani upelelezi umeshindwa kukamilika kwa wakati...
  2. G

    Lundenga wa Miss Tanzania awaomba radhi watanzania

    Kwa kweli hata hiyo barua ya kumradhi hawakupaswa kuiandika hivi vidole mnavyonyoosha ni vya hila kwa sababu ni sehemu ngapi na shughuli ngapi za starehe zilifanyika siku hiyo? Mngekuwa wa maana kama mngekuwa mnawanyooshea vidole hivyo mmiliki wa meli , watendaji wa serikali ambao walipaswa...
  3. G

    Mawaziri wa JK wagongana

    Mawaziri wa JK wagongana Kushtakiwa mahakama ya kimataifa na Mwandishi wetu MAWAZIRI wawili wa serikali ya Rais Kikwete wametoa kauli za kupingana kuhusiana na sakata la sheria mpya ya wanyamapori ambayo ilipingwa vikali na wabunge wa kambi ya upinzani bungeni na wadau mbalimbali...
  4. G

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    wamekufa watatu , 51 majeruhi gari lilipasuka tairi la mbele . Source Rpc arusha . andengenye
  5. G

    Freeman Mbowe (MB) mahakamani tena Arusha

    @ kwayu hawa madiwani walichemka mshitakiwa wa kwanza cdm mshitakiwa wa 2 freeman mbowe wala hawajamshitaki kwa wadhifa wake wamemshitaki personal na cdm hawajaainisha ni wathamini au wanachama wote
  6. G

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    watawala wa kiafrika kaaaazi kweli kweli , full kufuru
  7. G

    Sakata la kuuzwa UDA: Kauli za Idd Simba, Masaburi, Kisena et al utata mtupu

    Juzi Masaburi akiwa hapa Arusha alisema kuwa MD wa Simon Group alifikisha malalamiko kwake kuwa alielekezwa kulipa through acc 400mil, na doc zipo lakini alimuuliza risiti za UDA akawa hana
  8. G

    CHADEMA Arusha kwatifuka

    Crashwise Maandamano ? Au maandamano imepata maana mpya ?
  9. G

    Picha za wanaosinzia Bungeni

    dah kaaazi kwelikweli japo anauchapa lakini jioni anakinga sawa na waliokuwa wakijikakamua kuperuzi makabrasha na kuyadadavua kwa maslahi ya wadanganyika
  10. G

    Mgogoro Arusha - Tatizo ni Pinda

    kipengele cha kwanza kinasema uchaguzi wa meya urudiwe , mtoa mada huenda amepitiwa au anamaslahi na kipengele hicho
  11. G

    Joyce Kiria ajifungua Baby Boy

    @ kilewo hongera sana kamanda umeonyesha ukomavu na busara kutolumbana kwa masuala ambayo mwisho wa siku hayana tija kwa Taifa , Komaa kutafuta tanzania mpya mtoto akikua akute mfumo uliotulia Unaowezesha watoto wa maskini na tajiri kufurahia rasilimali za taifa .
  12. G

    Rasmi: Kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma 2011

    wabunge wetu na baraza la mawaziri mna sura za mbuzi mee , sitting allowance yenu kwa siku moja mnageuza kuwa mshahara wa mwezi kwa wananchi ambao kura zao ndiyo cv ya nyie kulipwa mamilioni ya fedha . Kweli watanzania waanze kufuatilia usalama wa kura kabla hajaipiga aangalie Ni yupi anampa...
  13. G

    Mhariri Danny Mwakitereko is no more!

    RIP, utadumu kwa machapisho yako
  14. G

    Waziri Sitta amlipua Lowassa Bungeni

    Sitta sidhani kama ni msafi kama anavyojaribkujipambanua yeye kujenga ofisi ya spika kwenye jimbo lake huo pia ni ufisadi kwani ametumia vibaya fedha zetu Watanzania , yeye na lowasa wote hawatufai katika uongozi wa Taifa .Na kwa umri walionao hawapaswi kuendelea na kazi kiafya si sahihi na...
  15. G

    Wana JF Arusha

    mimi nitakuja , lakini ungenidokeza huwa mnajadili nini ?
  16. G

    Juma Nkamia yupo BBC anantetea posho

    nkamia kushindwa kutetea hoja yake kabaki kusema wanaopinga sitting allowance hawatembelei majimbo yao . My take wabunge wetu hawajui majukumu yao , kusema wanahitaji posho ili wawape nauli wapiga -kura wao linadhihirisha walichaguliwa kwa bahati mbaya
  17. G

    Lema apinga kugawana vyeo, hamtambui naibu meya wala meya wa Arusha (tamko)

    waliokaa ni madiwani wa ccm tlp na cdm , ila maamuzi hayana baraka za chama (cdm) Ritumeelewa? Maongezi level ya taifa yalikuwa yatolewe uamuzi July mosi sasa imeshakuwa haifai tena
  18. G

    Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    hongera mbowe huo ndiyo uongozi kwa vitendo Inasikitisha viongozi kuishi kama peponi kwa kutumia kodi zetu huku wakihubiri tz ni maskini wakati umaskini huo hauwagusi mpk wastaafu . inasikitisha zaidi wanatumia magari kwa shughuli binafsi siku za wkend na usiku stk unaikuta salon bar club...
  19. G

    Joyce Kiria ajifungua Baby Boy

    hongera joyce na kilewo , kilewo c utubandikie pic ya baby teh teh tumfurahie pamoja
Back
Top Bottom