Search results

  1. kid ink tz

    Msaada: Xiaomi redmi a8 inakwama kwama

    Habari za muda wakuu, Nina Xiaomi redmi a8 imeanza kuniletea shida toka jana. Kuna muda inakuwa ina staki kama sec 5 hivi au inakuwa nzito ku touch. Haina shida yoyote kwenye kioo. Naomba msaada wa aliyewahi kukutana na changamoto hii au anayefanamu namna ya kukabiliana nayo tafadhali.
  2. kid ink tz

    Je, wajua haya kuhusu nyimbo za hawa wasanii?

    Je, wajua Video ya Diamond Platnumz i miss you remix ile treni kwenye video unayoiona sio treni kweli eneo la tukio(location) hapakuwa na treni ila ni utaalam ulitumika ionekane treni kweli. Na subtitle ya video aliandika Jokate mwengelo(DC) credit by chapo255
  3. kid ink tz

    Rayvanny afichua siri ya Harmonize kuondoka WCB

    Pamoja na Jina la Harmonize kuwa kubwa ila inaonekana RayVanny kamzidi mkali huyo kwenye mapato. Kupitia Dizzim online jana Rayvany amefunguka vitu vingi juu ya beef la Harmonize na WCB Wasafi. Amefunguka kwa kusema mwanzo alijua mwenye kosa ni Uongozi wa Wcb Wasafi akawa anawalaumu management...
  4. kid ink tz

    Album mpya ya Justin Bieber

    Album mpya ya Justin Bieber 'Changes' imeshika namba moja kwenye chart za Billboard 200 na kuvunja rekodi aliyoiweka mkongwe Elvis Presley miaka 59 iliyopita Justin Bieber ameweka rekodi ya kuwa msanii mwenye umri mdogo zaidi kuongoza chart hizo kubwa zaidi za album Marekani mara 7, Justin...
  5. kid ink tz

    Ujio wa album mpya ya Drake: Asema itakuwa na nyimbo 10-16

    baada ya 'Scorpion' ya mwaka 2018 Wakati wa mchezo wa Toronto Raptors na Phoenix Suns jumapili ya jana Drizzy alidokeza kuwa album yake mpya haitokuwa na nyimbo nyingi kama iliyopita (scorpion) ambayo ilikuwa na mikwaju 25, Alisema kuwa anajituma kwa bidii kuimalizia album hiyo ambayo inaweza...
  6. kid ink tz

    Mjue mwanamziki Nahreel

    leo tupo na Nahreel producer na msanii kutoka kundi la Navy Kenzo karibu. 1. Nahreel anatokea familia yakishua jina lake halisi ni Emanuel Mkono na inasemekana baba yake ni Nimrod Mkono Mbunge wa CCM Jimbo la Musoma vijijini ambae pia ni mmiliki Wa kampuni kubwa ya mawakili Mkono & Co...
  7. kid ink tz

    Niulize swali

    NIULIZE SWALI 1 1. Umri? 2. Nickname? 3. Siku Ya Kuzaliwa? 4. Mahusiano? 5. Naweza Kudate Na Wewe? 6. Nakupenda? 7. Nyimbo Unayopenda? 8. Crush Wako Humu Jamiiforum? 9. Chakula Unachopenda? 10. Unapenda Kunyanduana? Uliza nitakujibu kwa usahihi.
  8. kid ink tz

    Mwanaume mmoja nchini Nigeria amjeruhi vibaya mkewe baada ya vipimo vya DNA kuonesha kuwa watoto wao watatu sio wa mwanamme huyo

    Mwanamke mmoja huko Nigeria amechakazwa vibaya na MTU anayedhaniwa kuwa ni Mme wake baadaya kutokea hali yenye utata dhidi ya watoto wao. Mwanaume huyo tajiri na mfanyabiashara alikuwa na mpango wa kuhamisha family yake kutoka Benin kwenda Canada ndipo ubalozi wa NCHI hiyo Ulipohitaji Vipimo...
  9. kid ink tz

    Hivi ulishawahi kusikia

    Hivi ushawahi kusikia any weird or scary story about a place or thing?? Please share. Me nilisikia kuna daraja Arusha misikule huwa inakaa kule chini husababisha ajali ili ipate Damu....
  10. kid ink tz

    Nimeamua kumuacha. Imenibidi

    Mapenzi yetu yalianza kitambo sana mpk hii Leo tulikuwa tunatimiza miaka 2 Chanzo cha kumu acha baada ya kuanza kunizungusha game. Hali hii Ali anza mwezi wa 8, nilivumilia nikijua ata badilika lakini ikawa hamna jipya. Nikimwambia kwann hutaki sex ana nijibu mm saiz siji sikii kufanya sex...
  11. kid ink tz

    Wadau wote wa game ya 8 ball poll tukutane hapa

    Kwa wale wadau wa game ya 8 ball poll tukutane hapa. Tuonyeshane uwezo
  12. kid ink tz

    Ukimpenda sana mwanamke atakufanya bwege

    Ukimpenda sana mwanamke atakufanya bwege,ata kudharau na hatakuheshimu. Ndio ninayo yapata leo mimi [emoji24][emoji24][emoji24]
  13. kid ink tz

    Nina kidonda karibu na haja kubwa

    Ni mwaka sasa tangu ichi kidonda kinipate. Kilianza kama jipu karibu na sehemu ya aja kubwa. Baada ya siku mbili kikawa kikubwa uku ndani kikiwa na usaha. Nikaamua kwenda hospital na kuni angalia wakasema ni jipu. Nilipewa dawa za kutuliza maumivu na za kufanya liive halaka ili nipasue. Baada...
  14. kid ink tz

    Breakfast yangu ya mchana

    Karibuni mapishi ya kibaria
  15. kid ink tz

    Takwimu za wanaume na wanawake

    Takwimu: Vifo vya wanaume ni vingi zaidi kuliko vya wanawake. Takwimu: Idadi ya wanawake hai ni kubwa zaidi kuliko ya wanaume. Assumptions: Bro unakufa upo single, unaenda kuzimu unategemea ku-mingle upya,na kule totozi ni chache. I tell you UTAKUFA SINGLE UKUJE HUKUHUKU[emoji23][emoji1696].
  16. kid ink tz

    TMA yatangaza mvua kubwa mikoa minne ikiwamo Dar

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha kesho Jumamosi 5, 2019 katika mikoa mbalimbali nchini ikiwemo Dar es Salaam. Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha kesho Jumamosi 5...
  17. kid ink tz

    Raia wa Nigeria ajiua baada ya man united kumkosesha million 228 za kitanzania

    [emoji116][emoji116][emoji116][emoji26]
  18. kid ink tz

    Kwa namna hii ananipenda kweli

    Kuna msichana tunakaa naye mtaa mmoja alisema ananipenda na kila nikienda mtaan kwao huwa ananishobokea kusema ananipenda. Nikaamua kuchukua namba yake na kumuuliza kweli unanipenda akasema ee But kila nikimtumia text hajibu nikimtumia Vocha ili ajibu text but anakaa kimya tuu je kweli uyu...
  19. kid ink tz

    Kwa wale wamiliki wa blog tuuu

    Kwa wale wamiliki wa blog ambao wana share nje za nchi wanaotaka traffic kubwa na ambao wana share kwa group za nje ex south Africa Kuna account za Facebook nauza zipo 600 Nauza kwa pamoja kwa sh 15000 tuu nicheki WhatsApp 0625672871
Back
Top Bottom