Search results

  1. Kurzweil

    Proton using VPN sign-ups to spot attacks on democracy

    Internet privacy company Proton announced Wednesday a new VPN Observatory, tracking demand for its services to detect attacks on free speech in countries like Russia and Iran before they hit the headlines. Switzerland-based Proton said its new observatory would document spikes in sign-ups to...
  2. Kurzweil

    SoC03 Watanzania tutumie 'akili mnemba' kuchochea utawala bora

    Kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita maneno "utawala" na "utawala bora" yametumika katika muktadha wa kuhamasisha maendeleo. Utawala mbaya unatajwa kuwa kisababishi cha maovu yote ndani ya jamii. Wafadhili na taasisi za fedha za kimataifa zinaegemeza misaada na mikopo yao kwa masharti kwamba...
  3. Kurzweil

    NGACHOKA: Jina la Daraja 'Tanzanite' muonekano wa daraja kuna alama ya 'Mwenge'

    Habari ya mtandaoni kwasasa ni watu kupita na magari, bajaji, pikipiki, bodaboda katika daraja jipya la Tanzanite. Wapo wenye kuisifu Serikali ya Mama, Wengine wanamuenzi Magu, wengine wanalaumu kuwa kwanini lisingejengwa Jangwani n.k Mimi binafsi nimeshangazwa na mkinzano wa jina na...
  4. Kurzweil

    MJADALA: Baada ya Spika kujiuzulu ni hatua gani hufuata?

    Habari WanaJF, Wote tumeona taarifa ya Kujiuzulu kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naomba kujuzwa yafuatayo; Je, Hatua gani hufuata kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya Nchi? Je, Naibu Spika anachukua madaraka Moja kwa Moja? Karibuni Wajuvi ====== KWA MUJIBU WA KATIBA ya...
  5. Kurzweil

    Dalili 10 kuwa mwanao anatumia Dawa Za Kulevya

    Utumiaji wa dawa za kulevya huja na dalili mbalimbali mwenye mwili wa mtu. Lakini si mara zote mtu akionesha moja ya dalili tajwa kwenye andiko hili anatumia dawa za kulevya, bali unaweza kuzitumia kama ishara kufanya uchunguzi zaidi kujiridhisha. 10. Kubadili utaratibu wa chakula Madawa kama...
  6. Kurzweil

    TANZIA: mwanzilishi wa 'Ant-Virus' ya McAfee afariki dunia

    John McAfee amekuwa akiwa amefariki katika chumba kimoja cha Gereza katika Jiji la #Barcelona, Uhispania Umauti umemkuta saa chache baada ya Mahakama Nchini humo kuamua kumsafirisha hadi Marekani ili akashtakiwe kwa makosa ya kukwepa kodi Taarifa za awali zinaeleza uwezekano wa John #McAfee...
  7. Kurzweil

    Mahakama yasitisha amri ya kuwashtaki Raia wa Nigeria watakaotumia 'Twitter'

    Mahakama ya Haki za Kiraia ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imetoa amri hiyo kwa Utawala wa Rais Muhammadu Buhari na Wasaidizi wake Uamuzi wa Mahakama umesimamia Mkataba wa Afrika wa #HakiZaBinadamu na Mikataba mingine ya Kimataifa inayosimamia Haki za Kiraia na za...
  8. Kurzweil

    Mamlaka za Usafiri Dar hazijali muda wa abiria

    Habari wanaJF, Hoja hii ni mahsusi kwa watumiaji wa usafiri wa Daladala wanaotumia Mabasi ya Mbezi - Kawe na Mbezi Makumbusho pia wale wa Makumbusho - Mbezi na Kawe - Mbezi. Angalieni huu mzunguko; Unatoka Mbezi/Kimara unasimama Taa za Ubungo, ukivuka unasimama tena taa za TCRA kisha unakunja...
  9. Kurzweil

    Mwendazake alimlemaza Kiranja Mkuu, sasa asimame ahesabiwe

    Katika Mataifa yanayofuata mfumo wa Kibunge (Bunge), Namba Tatu ndiye Kiranja Mkuu wa Serikali na kutokana na nafasi yake hiyo, yeye hubaki kuwa kiongozi mashuhuri na hata siku akiondoka kwenye wadhfa huo basi hubaki katika mioyo ya waongozwaji kwa muda mrefu. Wasiwasi wangu ni kwamba Kiranja...
  10. Kurzweil

    Arusha: Walevi tuwe makini, Konyagi feki zitatumaliza

    JAMAA WANA HADI STIKA ZINAZOFANANA NA ZA TRA 23MAY 2021 Nipashe Jumapili Ashikiliwa na Polisi kuendesha kiwanda feki cha pombe JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kuendesha kiwanda feki cha kutengeneza pombe kali inayowekwa kwenye chupa inayofanana na ya...
  11. Kurzweil

    Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

    Habari wanaJF, Katika uwanja wa siasa kwa ngazi ya Urais tumezoea kuona Rais aliyeingia Madarakani akijizolea umaarufu na sifa kedekede pindi anaposhika hatamu ya uongozi Kipimo cha Rais huanza ndani ya siku 100 tangu ale kiapo. Lakini imekuwa kinyume kwa Rais wa sasa amekuwa wa kawaida sana...
  12. Kurzweil

    Aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mlowo ahukumiwa kifungo cha miaka 200 Jela

    Mahakama ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, imemhukumu Semeni Gwewa Mswima, aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mlowo kifungo cha miaka 200 jela au kulipa faini ya shilingi Mil. 52. Hukumu hii ni baada ya kukutwa na makosa 60 ya uhujumu uchumi, likiwemo la wizi kwa mtumishi wa Umma. =====...
  13. Kurzweil

    Ubovu wa Stand ya Mabasi ya Bukoba

    Hii ni Stendi Kuu Bukoba Mjini, Je, kwa Ubora Huu Unaweza kuilinganisha na Stendi ipi hapa Tanzania?
  14. Kurzweil

    Dhana ya “Maadili kwa viongozi wa Umma”

    Ni misingi, kanuni na taratibu zinazoainisha tabia na mienendo inayokubalika na isiyokubalika kwa Viongozi wa Umma na jamii nzima kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, weledi, uwajibikaji na uwazi Hutumika kuongoza mahusiano kati ya Viongozi na Watumishi wa Umma, Bodi za Kitaaluma, Vyombo vya...
  15. Kurzweil

    Ligi ya Mabingwa Ulaya: Je, timu za EPL kukutana fainali?

    Usiku wa jana imeshuhudiwa Timu ya Manchester City kutoka Uingereza ikishinda goli 2-0 dhidi ya PSG na kutinga Fainali Usiku wa leo majira ya saa 4:00 Timu ya Chelsea itakuwa nyumbani kuikabili Real Madrid ili kuamua timu itakayoifuata City Fainali Ili kutinga Fainali, Chelsea inahitaji sare...
  16. Kurzweil

    BURKINAFASO: Takriban Wanakijiji 30 wauawa baada ya kushambuliwa na Wanamgambo

    Wanamgambo wanaosadikika wa kundi la Jihad wamevamia kijiji mashariki mwa Burkinafaso na kuua wanakijiji wanaokadiriwa 30. ‘Kundi kubwa la watu wenye silaha lilivamia kijiji cha Kodyel jimbo la Komandjari jumatatu asubuhi na kufanya shambulio liligharimu maisha ya watu wanaokadiriwa kufikia 30...
  17. Kurzweil

    Ethiopia: Mzozo wa Tigray kutenganisha Watoto na Wazazi wao

    Shirika la hisani la 'Save the Children’ limesema zaidi ya watoto 5000 watenganishwa na wazazi wao kutokana na mapigano yanayoendeleo jimboni Tigray. Shirika limeeleza watoto hao wako katika hatari ya kupata njaa, kunyanyasika kimwili na kingono. Mashariki ya kibinadamu yameshindwa kufikia eneo...
  18. Kurzweil

    Jifunze fursa 6 za biashara mtandaoni

    Hivi sasa teknolojia imekua ndio kila kitu hakuna mahali unapitia pasipo kutumia teknolojia, hiyo inadhirisha kuwa uwezekano wa kufanya biashara mtandaoni ni mkubwa sana cha msingi ni kujua ni vitu gani vya kufanya ili kuweza kuongeza kipato chako. Kwa kuanza basi ni vyema nikwambie kabisa kuwa...
  19. Kurzweil

    Madikteta wa Familia tunaweza kudai Demokrasia?

    Naomba kujenga hoja kwamba ili tuweze kujenga uhalali wa kudai demokrasia ni muhimu sisi wenyewe tuoneshe mfano wa kuwa wanademokrasia kweli. Ninatumia dhana kwamba, mara zote, utawala wa nchi ni sura halisi ya utamaduni wa wananchi wake. Kwamba viongozi/watawala wa nchi hubeba tabia/ na hulka...
  20. Kurzweil

    Twitter kufungua Ofisi zake nchini Ghana

    Sababu ambazo Twitter wamezitoa Kwanini wameamua kuanza na Ghana na sio sehemu nyingine yoyote barani Afrika ni:- Ghana ukomavu wa Demokrasia ikiwemo uwepo wa Uhuru wa Kujieleza, Uhuru wa Mtandaoni Twitter wamesema kuwa wameanza kutengeneza 'team' nchini humo kabla ya kufungua Ofisi rasmi...
Back
Top Bottom