Search results

  1. daneyodry

    Mgonjwa aliyechomwa sindano za quinine, je zinaweza kumpa athari zaidi

    Heshima kwenu wakuu poleni kwa majukumu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombe niulize. Eti mtu aliyechomwa sindano za quinine akiwa mdogo na zikamuathiri uwezo wake wa kusikia, zinaweza kumletea na athari nyingine za ziada kutokana na sumu yake kukaa sana mwilini? Sent using Jamii...
  2. daneyodry

    Kati ya mipesa na vyeti utachagua nini

    habarini wapendwa ..natumaini mu wazima wote. Siku itakapotokea serikali ya Marekani ikakupa bilioni 15 za fedha ,halafu wakakuambia chagua; 1. Uwape kwanza vyeti vyako vyote kuanzia shule ya msingi hadi chuo wavichome moto 2. Utoke nchini Tz na usirudi kamwe Mimi binafsi ningebaki na vyeti...
  3. daneyodry

    Weka hapa majina matatu yanayoishia na -ram

    Habarini wadau Ni chemsha bongo tujipime uwezo wetu wa ujuzi wa majina, Majina ninayojua yanaishia na - ram : Abram Joram Amram Haya kazi kwenu kuongeza!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. daneyodry

    Wanajamvi kwa nini huwa hamuwacheck wadau wenzenu PM

    Habarini wadau Kwa wale single humu JF, ni kwa nini hatuintergret kwenye PM pia, sababu nataman laiti mdada mmoja angekuja PM aniliwaze jotokali, ila wapi!! Badilikeni jamani, hem wadada njooni PM nafasi ni chache[emoji63] [emoji76] [emoji39] [emoji39] SIEE WANAUME TUNATESEKA MNO!!! [emoji19]...
  5. daneyodry

    LADIES, ni kitu gani mnapenda sana kuulizia mnapokutana mara ya kwanza na Boy friend mpya!?

    Ni swali kwa wadada wanaojifahamu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. daneyodry

    Kwa tabia hizi wanandoa mtakuja kuuana!!

    Ndugu wapendwa natumaini mu wazima wote Kuna vijitabia na sanasana majibu wanayopeana vinaweza kuwakosanisha na hata kuwatenganisha wanandoa,hebu tizama mfano huu:- MKE : mbona unanukia pafyumu ya kike? MME : yaa kuna mwanamke Tulikua tumeminyana ndani ya daladala MKE: na lipstic kwenye...
  7. daneyodry

    Who said translating Kiswahili to tourists is easy?!

    I hope you are all doing fine As the heading above exaplains itself, English translation to Kiswahili is sometimes something difficult, check this :- 1. Njaje mzito = Hi heavy 2. Wacha mchezo = leave sport 3. Mie si mtu hivi hivi = am not a person this this 4. Uko macho = you are eyes! 5...
  8. daneyodry

    NAKUKUMBUSHA TU; ukihonga elfu kumi kumbuka yafuatayo:-

    Habarini wapendwa Kwa wale wanaume wanaopenda kuhongahonga wanawake (iwapo pia wanawake wapo wenye tabia hiyo kaa vile mashuga mami) Mnapokuwa mnahonga naomba mkumbuke yafuatayo : __elfu kumi 1. Ni bei ya sato kilo moja 2. Kuku wa nyama mmoja 3. Kilo 2 za nyama ya ng'ombe 4. Sukari kilo 3 5...
  9. daneyodry

    Jinsi ya kumteka beki tatu mpya

    Hizi ndizo njia za kumteka huyu mlengwa 1) kuwa mcheshi kwake 2) uwe mtu unayemjali-mchukulie kama dada au mdogo wako 3) Akigombezwa kuwa wa kwanza kumtetea ,wakemee wadogo zako na ndugu wakileta dharau kwake 4) Mshirikishe kwenye mambo yako ya msingi. Muombe na umpe ushauri mzuri 5)...
  10. daneyodry

    Haya hapa mavazi makuu ya msichana, nguo nne za msichana

    Habarini wanandugu Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, jatika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa. Nazo ni:- 1) Sare ya shule 2) Joho la graduation 3) Gauni la harusi 4) Martenity Dress [nguo ya mjamzito] Hata hivyo kama ukiruka ya kwanza hutapata nafasi ya kuvaa ya pili...
  11. daneyodry

    Kwa wapenda utani, ingieni hapa tuliwazane mawazo!?

    Habarini wadau Katika hospitali moja ya vichaa daktari anaehusika hapo alipokuwa katika mizunguko yake kuhudumia wodi za machizi, chizi mmoja alichomoka kutoka chumba kimoja ameshikilia kisu, daktari kuona hivyo akaona ndio mwisho wa maisha yake ikabidi akimbie ila kwa bahati mbaya...
  12. daneyodry

    Msaada wa maana za maneno haya:-

    Habarini wadau Kama kichwa cha habari kinavyosema, naombeni wale wajuzi katika lugha za kitaa wanisaidie kujua baadhi ya maana za maneno haya 1. Eneka 2. Kiki 3. Vizinga 4. Odah! 5. Kinyama, nk. Na mengineyo unaweza kuongeza, ili wote tunaopenda lugha za kitaa tuzimudu vizuri. Santeni...
  13. daneyodry

    Kuuliza si Ujinga

    Habarini wapenzi wanajamvi Napenda niulize maswali hata machache tusaidiane mpaka tupate jibu 1. Aliyechora ramani ya dunia yeye alipokuwa akichora alikuwa amesimama wapi 2. Aliyekuwa anatengeneza pesa yeye alitaka alipwe Nini Tusaidiane jamani mpaka tulipate jibu haswa. Sent using Jamii...
  14. daneyodry

    Mapenzi ni upofu

    Mambo zenu wadau, Ugumu unakuja pale unapokuwa na mwanamke ambaye ni #fundi_kwa_bed Lakini ndugu zako wanamkataa wanakwambia huyo mwanamke hakufai; 1. Ana dharau 2. Hajui kupika 3. Hana adabu mpaka kwa sisi ndugu zako 4. Mkorofi 5. Anavaa vibaya Hapo jibu huwa ni moja tu "nyiehamjui tu"...
  15. daneyodry

    Inawahusu wote ila Ni Special kwa Madada

    Habari za usiku wanajamvi Ni ujumbe unaolengwa kuwafikia madada(wanawake) wote humu JF na nje yake kuwa:- UKIPENDA CHIPSI USIOGOPE MIMBA!! [emoji57] Tafakari. Madada wote mkimaindi njooni Kibiti nipo ghetto mnibiti[emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
  16. daneyodry

    Ma-single wenzangu woote walioachwa na X wao, pitieni hapa tutulizane

    Wapendwa mu wazima wote? napenda kuadhimisha miaka yangu 3 ya u-single baada ya x wangu nimpendaye kinoumah kaniacha, nikitumaini ipo siku nitampata mmoja mzuri zaidi ya yule wa mwanzo. Pia nikiwaombea na Masingle wenzangu humu JF walioachwa na X wao [emoji56] mimi binafsi nimeamua kumkaushia...
  17. daneyodry

    taja mambo matati ambayo unatamani ufanyiwe na best wako

    Habarini wadau wenzangu kama uzi unavyojielezea naomba kila mtu ataje mambo matatu anayopenda besti (rafiki yake kipenzi amfanyie) mimi ninayopenda anifanyie ni:- 1. asiwe muongo sana, kila kitu anachosikia kwangu anataka akisambaze 2. asipende kuniombaomba vihela bila sababu[emoji12] 3...
  18. daneyodry

    Mbinu za kuishi Maisha ya Uvumilivu

    Habarini wadau!, 1.Kama upo single na unakazana kusema kuwa 'MIMI SIAMINI MTU KATIKA MAPENZI' ,kumbuka rafiki zako wanaoa na kuolewa kila siku. Acha mawazo hasi,omba Mungu akujalie mwenzi wa Maisha ambae unaendana nae. 2. Kama upo ndani ya ndoa na umekazana kusema 'NAICHUKIA HII NDOA' huoni...
  19. daneyodry

    Uzi Maalum wa Kuua stress!!!Rushia na Yako Humu.

    Ila wanawake bhna! Yani umeshatoa mimba tatu mfululizo halafu Kuua mende unaogopa, Si ujinga huo :mad: :mad: :rolleyes: Ila Wanawake wanafurahisha :D Eti mwanamke mchepukaji anaweza kutoroka kwao usiku halafu kwenda choo cha nje usiku anaogopa Dada kapimwe Hospital ya Mirembe :D :D :D...
  20. daneyodry

    MWONEKANO WA MWANAMUME WA KIBONGO.

    Waheshimiwa wadau habari zenu??? Katika kumbukumbu zangu hivi ndivyo nakumbuka tulivyowahi kuambiawa na mwalimu wetu wa Biology KUHUSU WANAUME WA KOBONGO [emoji2] [emoji16] Kama kakichwa ka habari kalivyosema, majina hayo ni yafuatayo:- 1. JOHN ni mpenda sifa na ni muongo. Kamwe hawezi...
Back
Top Bottom