Search results

  1. sembo

    Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

    Kila lenye ndugu zetu Zesco.. Tunaimani kubwa nanyi.
  2. sembo

    Manara: Shiboub = Chama + Kahata

    Mkuu majukumu yalinikaba.. Kuanzia sasa ni mawe juu ya mawe.. Tuko pamoja sana.
  3. sembo

    Manara: Shiboub = Chama + Kahata

    Kwanini Mkuu?
  4. sembo

    Manara: Shiboub = Chama + Kahata

    Hahahaha.. Shukrani mchangia uzi.. Tupo pamoja.
  5. sembo

    Manara: Shiboub = Chama + Kahata

    Mkuu, kwa kikosi tulichonacho msimu huu, hakuna rekodi tutakayoiacha salama. Na ligi zianze tu.
  6. sembo

    Manara: Shiboub = Chama + Kahata

    Jana akihojiwa katika kipindi cha michezo, Clouds FM, Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amedai uwezo wa yule mkata umeme Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman toka nchini Sudan ni sawa na uwezo wa wachezaji wawili, Chama na Kahata. Namnukuu.. "Yule Shiboub achana nae bhana.. Nadhani Chama na...
  7. sembo

    Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

    Mkuu Ghazwat hawa Vita jumamaosi ni wetu.. Ni suala la muda tu. Mungu endelea kuibariki Simba SC.
  8. sembo

    Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Hahaha.. Mkuu siwatishi ila ndo ukweli.. Samahani kwakuvujisha siri mapema.
  9. sembo

    Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Kama Mnyama kufungwa 5 ni aibu ya dunia.. Waarabu walioogongwa 8 leo na TP Mazembe, aibu yao ni ya dunia au ulimwengu?? Ndala siku ya leo ni yenu.. Furahini sana.. Ila kaa mkijua 16/02 mtalia na kusaga meno Taifa.
  10. sembo

    Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Na 16/02 hata waloge vipi.. Vyura hasira zetu tunazimalizia kwao.
  11. sembo

    Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Kila la heri Simba SC.
  12. sembo

    Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Kila la heri Simba SC.
  13. sembo

    Ukweli Mchungu kwa Wana Yanga Wote

    Mkuu Mkuu anajitoa ufahamu huyo, ila ukweli anaufahamu.
  14. sembo

    SIMBA MSINIANGUSHE

    Mkuu kwa kua Simba anaenda kua Bingwa wa TPL katika msimu huu wa 2018/19.. anza kuipangia matumizi mapema hiyo laki 1.
  15. sembo

    Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

    Mkuu, hayo mambo ya kamati za ufundi tulishayapa kisogo mda sana.. Sasa hivi mpira wetu ni uwanjani tu, na si vinginevyo na hiki ndicho anachoamini Profesa Patrick Aussems. Hebu rudia kuangalia tena ile migoli ya Mnyama.. Kuna uchawi pale?! Ni akili nyingi sana zilitumika. Kwa kifupi, mtapata...
  16. sembo

    Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

    Nakumiss pia Shunie wangu. Usijali soon nitarejea.
  17. sembo

    Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

    Kwanini unasema ni kafara? Unauhakika?
  18. sembo

    Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

    Hahaha.. Ni kweli Mkuu.. Ndo mana nikaiita timu ngumu, mana ni Former Champion kama Yanga SC.
  19. sembo

    Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

    Nimeipata hiyo Mkuu.. Ila ile gemu ya Nkana ilikua ya moto sana. Apumzike kwa amani. Tunachoenda kukifanya katika hatua ya makundi, naamini atakua proud na Mnyama.
Back
Top Bottom