Search results

  1. Mganji

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Ukiangali no. 5 c (iii) utaona Dodoma inastahili kuwa jiji
  2. Mganji

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Town planning act No.8 2007
  3. Mganji

    Kabla hujakimbilia kununua smartphone za Tigo, soma hapa ili usije kulia baadae!

    We mtu wewe mbona unaudanganya umma kweupe hivi? Hapa nilipo natumia tecno H6! Nmenunua tgo shop mliman city 180, 000 za promo na nmeweka line ya voda na tgo bila kuflash! Sio siri umewakosea watanzania pakubwa sana ebu watake radhi haraka sana.
  4. Mganji

    Pinda, Werema waomba kujiuzulu. JK kuamua hatima saa moja usiku leo

    Huyu huyu Pinda ninaemfahamu mimi.
  5. Mganji

    Humphrey Polepole live Channel ten

    Mtu akiwa na uwezo wa kuchambua mambo vizuri na mkaelewa mnakimbilia kusema ni chadema! Ebu punguzeni kuwapa sifa chadema bwana
  6. Mganji

    Viongozi na wanachama wa ACT ni wastaarabu kuliko wa chadema

    ACT ni kama coast union yaTanga
  7. Mganji

    Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Ubungo na wenzake watimkia ACT

    Kwani tatizo nini? Chadema kama daladala akitoka mtu anaingia mtu.
  8. Mganji

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    andreakalima, Moyo ukizidi kukuuma sana nenda kawambie serikali wabatilishe uteuzi ili tuendelee kuishi kama zamani kwani sie hatukuomba tuwe jiji ila ilitokea automatically kutokana na kukidhi vigezo kama idadi ya watu ambao wako takribani Mil 2.5, Shughuli za kiuchumi hususani kilimo...
  9. Mganji

    UKAWA wadaiwa kurudi bungeni na kusaini posho!

    Sio wote waliobaki bungeni ni ccm damu vilevile sio wote waliotoka nje ya bunge ni ukawa wengine ni vibaraka tu wa ccm (------------) chezea siasa wewe
  10. Mganji

    Prof Mahalu yuko wapi?

    Sasa mahalu ana matatizo gan?
  11. Mganji

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Mtoto acha kupiga mayowe acha wayaone wenyewe! Ni mbunge mmoja amesikika akihitimisha akitilia mkazo uwepo wa serikali mbili! Ni full burudani
  12. Mganji

    Hizi ndio kauli za mh.SUGU

    Kwa wale wanaohoji uhalali wa takwimu" Sugu anakwambia kufanya test ya ngoma au malaria haihita uchukue damu lita tano
  13. Mganji

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Nikijaribu kupunguza sauti na kuongeza logic nadiriki kusema kwamba ccm na washirika wake kamwe hawatokubaliana na takwimu za tume ya mabadiliko ya katiba inayoongozwa na Jaji msitaafu mzee Joseph Sinde Warioba. Hii ni kutokana na ukweli kwamba ccm na washirika wake bado wanaamini kwamba...
  14. Mganji

    WARIOBA: Msimtumie Nyerere kama hirizi

    Hahahaaa! "Unapunguza sauti unaongeza logic" naichukua hii
  15. Mganji

    Warioba, Wananchi Walitaka "Serikali 3" au "Nchi 3?"

    Mzee warioba anakazi sana ya kuwaelimisha watanzania wote na viongozi wao maana hamna wanachoelewa maskini
Back
Top Bottom