Search results

  1. francis bakari

    Wanawake wenye ndevu sio mchezo!

    Hiyo ni athari ya matumizi mengi ya madawa ya kuzuia mimba
  2. francis bakari

    TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

    Ndio sababu UISLAMU ukaweka talaka ili yasifikiwe hayo
  3. francis bakari

    Kumbe Kakobe ni CHADEMA muda tu, ndio maana anaishambulia serikali ya CCM

    Mbona mtu akisifia hatusemi anatoka chama cha Zamani? Tusomeni history,hili jambo kuwa DINI na SIASA havichangamani sijui tumerithishwa nani??! Tunakuwa wasahaulifu kuwa hata kipindi cha kupigania Uhuru DINI na Nyumba zinazoitwa za DINI zilitumika sana na maaskofu walipinga serikali za kikoloni...
  4. francis bakari

    Halima Mdee amestaafu ubunge?! Mbona kimya sana?

    Anajiandaa kurudi kundini kama wanavyorudi wengine
  5. francis bakari

    Sikukuu ya Christmas na tarehe ya kuzaliwa Kristo

    Kuna uhusiano gani wa siku hiyo na kuziniana hovyo,kulewa sana kuiba, kwenda disko,je ndio mafundisho au tunaintagrete na mila zenu za kitamadun(African tradition religious)?
  6. francis bakari

    Wamama itikieni mnapoamkiwa

    Jibu liko wazi wala si la kufichana Wa baba wakisema MAMBO na Wa mama wakikwambia kwani mimi mama yako kwa sehemu kubwa wanatengeneza mazingira ya kutongozwa au kukupata kimapenzi Hakuna jingine hapo ni mapenzi tu.
  7. francis bakari

    Kijana aliyetuma picha za Nyufa za Hosteli za Magufuli UDSM akamatwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Katoa taarifa kwa umma ila yeye ana mamlaka gani ya kutoa habari? Anatakiwa afuate utaratibu. Angekwenda kwa Rais wa chuo (DARUSO) akamwelezee na Rais angepeleka kunako husika na huko sasa ndio wangetoa taarifa kuhusu hali hiyo. Tujaribu kufuata taratibu ili kufikia malengo husika.
  8. francis bakari

    David Kafulila ahojiwa Azam TV kuhusu kuhamia CCM

    Tumboo ooh tumbooo linatupata tabuuu jamanii ,tumbooo ohhh tumbooo tuwe nalooo makiniii.mwisho.
  9. francis bakari

    Kikwete na Mkapa tubuni ili tusonge mbele!!

    Anaenyoosha si na yeye alikuwa miongoni mwa waliopindisha? Vipi samaki wa wachina,yanayosemwa kuhusu uuzaji wa nyumba za gvt. Sina maana kuwa watangulizi hawajakosea! Hapana namaanisha kila binaadamu anamapungufu makubwa sana na yeye mwenyewe hawezi kuyaona hadi binaadamu mwinzie amwambie...
  10. francis bakari

    CHADEMA yamjibu Lazaro Nyalandu, yamkaribisha na kusema chama cha siasa ni watu

    Asije akawa kama mwigamba,ccm - act- ccm
  11. francis bakari

    Zitto atoboa tatizo la msingi kwenye sekta ya madini

    Kwani zitto si alikuwa kwenye kamati ya madini alibadilisha nini??
  12. francis bakari

    Hivi inawezekana kwa msichana aliyepo chuo kikuu 2nd year kuwa bado ni bikra?

    Wasichana bikra vyuo vikuu ni wengi sana. Tulio wengi huwa tunapima kwa kigezo cha msichana kuwa mkimya au mpole,mzungumzaji au mchangiaji na kusema yule bikra na yule si bikra Hivyo wasichana bikra wapo na hutaweza kumjua
  13. francis bakari

    Kwa uzoefu wako tafsiri hii picha

    Nikimpata namuweka dog style ili nimfaidi vya kutosha
  14. francis bakari

    Rafiki yangu anampenda Padre

    Rafiki yako wa kike au wa kiume?
Back
Top Bottom