Search results

  1. V

    Zitto Zuberi Kabwe sasa MJIUZULU Nyadhifa zenu BUNGENI!

    Presidaa umenena ila implimentation yake ni ngumu kwa utaratibu wa watz kutopenda kuwajibika na ubinafsi
  2. V

    Kwa washauri wa JK tu...

    Bado napakia...
  3. V

    Kauli mbiu ya CHADEMA nguvu ya Umma na wabunge 23

    Ukitaka kujua nguvu ya umma waulize wa tu wa Mbeya, Iringa, Mwanza, Kigoma, Ubungo, Kawe, Arusha na Moshi utapata jibu
  4. V

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    Serious issues ya MaDR ilichukua mda gani kutoa tamko? Au mpaka walipo goma mara ya pili? Ahaahaa nadhani hata hawakutakiwa kujibu. Nani asiejua kuwa appeal ndio hatua inayotakiwa kuchukuliwa? Lema na Chdm wa appeal kwa wapiga kura na sio CA.
  5. V

    Kwa CHADEMA na Viongozi wake hasa Freeman Mbowe na Dr Slaa....

    Morogoro tunatakiwa nguvu ya ziada kwani wanatuangusha sana. Lazima tuanze kuwaelimisha kwani Ma bus ya kuzika yanawadhalilisha sana
  6. V

    Kumbe vichaa wana wamwakilishi wao bungeni..!

    Kumpatia muda wakutosha huyo mwakilishi wa vichaa ni kukubaliana na sera yao ya MATUSI,MADHARAU KWA WATZ NA WIZI.Mbona hakuna hata alieonyesha nia ya kumkosoa?
Back
Top Bottom