Search results

  1. 19 records studio

    SPORT BETTING 2017

    Habari wadau wa michezo mbali mbali hususani mchezo wa mpira karibu kwenye uzi huu maalumu wa kubeti michezo mbali mbali lakini naamini mchezo wa soka ndiyo una mashabiki wengi. KARIBUNI SANA. [emoji4] [emoji111] [emoji323] [emoji322] [emoji324]
  2. 19 records studio

    Tujadiliane na kujifunza kwa pamoja

    Habari watu wangu wa jukwaa hili la MMU na JF kwa ujumla. kuna jambo / stori nimeona inafundisha kwa namna moja ama nyingine na hivyo si mbaya endapo mtachangia kwa mawazo tofauti tofauti. Katika wikiendi ya Jana na juzi nilibahatika kuonana na mama moja ambaye tulifahamiana siku nyingi kidogo...
  3. 19 records studio

    Tujadili kwa pamoja kuhusu wanaume kufuga kucha kuna maanisha nini...??

    Habari ndugu zangu, Naamini mko salama na bado mnaendelea kupigana na maisha ya sasa na hata kwa baadaye. Kama kichwa cha habari kinavyo sema kuhusu majadiliano kwa pamoja kila mwenye wazo tofauti na mwenzake anaweza kuchangia hapa katika huu mjadala/ uzi. Katika jamii yetu nyingi hasa...
Back
Top Bottom