Search results

  1. ULUMI

    ELIMU KWANZA

    Ni muhimu kuangalia upya mfumo wetu wa Elimu ili kukidhi mahitaji ya Tanzania ya Viwanda.Vinginevyo tunajidanganya kwa sana1
  2. ULUMI

    nauza noah

    Angalia pm
  3. ULUMI

    MALASUSA, iokoe Junior Seminary!

    Nina masikitiko ya kutosha kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania kwa namna ambavyo limeshindwa ku handle mgogoro wa Junior Seminary Morogoro kufikia hatua ya kuwarudisha nyumbani wanafunzi wote baada ya mgomo wa kutaka uongozi wa shule hiyo ubadilishwe. Madai ya wanafunzi hayakupewa...
  4. ULUMI

    Aibu tupu kkkt

    Nina masikitiko ya kutosha kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania kwa namna ambavyo limeshindwa ku handle mgogoro wa Junior Seminary Morogoro kufikia hatua ya kuwarudisha nyumbani wanafunzi wote baada ya mgomo wa kutaka uongozi wa shule hiyo ubadilishwe. Madai...
  5. ULUMI

    Utumishi Mnaupendeleo kwa wakuu wa Idara

    Wewe acha uzembe chapa kazi unataka kulipwa sana umeanza kazi jana tu? Ukuu wa idara hata wewe utaufikia kama ukitinga mzigo sawasawa. Acha longo longo longo dogo wewe.
  6. ULUMI

    Chief Humphrey Mashingia is no more

    Chifu Humphrey Mashingia ameaga dunia leo asubuhi.Kwa wale wasiomfahamu Chifu Mashingia ni miongoni mwa machifu wa kichagga waliotawazwa udogoni kuongoza eneo la Old Moshi.Ni mwanzilishi wa CHADEMA na amewahi kushika wadhifa wa Mwenyekiti wa Mkoa wa Dar Es Salaam kabla ya...
  7. ULUMI

    Wapi Nitapata Mkopo wa TZS 10M Haraka?

    Big Lady unauzoefu na Micro Finance? Nenda pale Sinza Mapambano jengo la mwanamboka kuna EFL watakupa mara moja,Uwe na mdhani na salary slip na hizo securities zako.Ni PM kwa maelezo zaidi
  8. ULUMI

    Wakala wa Usafiri wa Haraka (DART Agency) wapata Mtendaji Mpya

    Takule takule ni mtu ambaye daima ni boss!Mahali fulani duniani alijitambulisha kama PM wa Tz. Tukamsare leo mnaniambia amedondoka??Duu hafai huyo hata TAMISEMI walimtema
  9. ULUMI

    Nim-motivate vipi boss wangu? Mahusiano yetu yanazidi kuwa mabaya!

    Ushauri wangu ni mmoja tu "stick to yr gun" and work hard.Mungu ni mwema kwa wenye mapenzi mema!:nimekataa
  10. ULUMI

    married woman needed by married man

    Avatar yako mwenyewe ni 6 x 6 halafu thread yako mke wa mtu!!!!!!:cheer2:
  11. ULUMI

    nauza macbook air slime bei poa,b.berry bolds na sim kibao

    Weka bei hapo!Picha nazo muhimu pia
  12. ULUMI

    Tuhuma nzito za ufisadi dhidi ya Mwakyembe pale ATC

    Ni mkanganyiko fulani wa mawazo! Mleta mada anaonyesha mweelewa kidogo sana wa mambo ya usalama wa anga,Umri wa ndege haupimwi kwa muda iliotengenezwa tuu, bali masaa ya kuruka . Pia mwenye chuki binafsi na Mwakyembe, Amezidi kujikanyaga hasa alipomuhusisha...
  13. ULUMI

    Tanzia: Madame B na Kijino wamefiwa na Baba yao

    I know for certain that we never lose the people we love, even to death. They continue to participate in every act, thought and decision we make. Their love leaves an indelible imprint in our memories. We find comfort in knowing that our lives have been enriched by having shared their love...
  14. ULUMI

    ........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

    Poole wewee poleee!!!Najiridhisha kuwa wewe siyo wife material.Kama unaniasi hata kabla ya pingu za maisha.Je ukiwa ndani ya ndoa itakuwajee.Huuuuuuuuuuufai tena nasema hufai,Itika kilichoko moyoni mwako.Mwisho wa siku utajuta kwann ulikuwa...
  15. ULUMI

    Kikwete bila Lowassa ndiyo maana amepwaya!?

    Ole wenu mumkabidhi kichaa rungu,Yaani mie sielewi nitahamia nchi gani duniani.EL ni mtu wa visasi kupitiliza.Anamwondoa nani atamwaacha nani.Maana hata lile kabila lake la asili amelikana mbele ya uso wa dunia.Muogopeni mtu huyu kuliko kitu chochote kilicho...
  16. ULUMI

    Dah!This mature woman is crazy . . .!

    Story za Shigongo bana hizooo!!!:A S 465:
  17. ULUMI

    This is my future house...Whats yours?

    Mwisho wa siku utalala chumba kimoja tuu na mkeo,Vingine havitakuwa na kazi:flypig:
  18. ULUMI

    Kama ndio hivi...wacha wapendwe tu.

    :flypig::israel::israel:Alamsiki
  19. ULUMI

    Gaidi mtaani kwetu!!

    it is with great concern that i read this thread, al shabaab appears to be weakening but that could be there strength,they are giving false impression(false beacon) in the Gaidi Mtaani publication by talking about the imminent loss of kismayo to the AMISOM forces, the kenyan intelligence should...
Back
Top Bottom