Search results

  1. Y

    Beatification of Lowassa starts here

    Itakuwaje mkimkuta Mbinguni.? Au mtamuuliza Mungu na huyu kafikaje huku. Toeni maboriti kwenye macho yenu halafu mtaona kibanzi kwenye jicho la Lowassa. Bwana anaangalia moyo.
  2. Y

    Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    Jamani siku zote wanawake wanaothaminiwa ni wale wanaojiheshimu. Ukitaka kujua ukweli soma comments za wanajamii juu ya Bhoke. Kina dada jifunzeni kutokana na hili. Huwezi kujiachia kama mnyama ukaheshimika au ukavutia watu hata siku moja. Pole sana Bhoke, na karibu home.
  3. Y

    KKKT na babu Loliondo wanang'ang'aniana mapato ya tiba

    Mmh..... Babu Bwana.... Hakuna kitakachositirika. Lazima nuru itaangaza na giza litatoweka.
  4. Y

    Mume wake anapenda kuangalia picha za ngono

    Kwa mujibu wa mwenye mume. Anasema hahisi kama ana tatizo la kutomridhisha mumewe mana ameshawahi kabla ya kuolewa kuwa na uhusiano na mtu mwingine ambaye hakutaka kuolewa naye na ilichukua muda kwa yule jamaa kumuacha na alikuwa akimsifu kuwa anaridhika sana. So anashangaa huyu mume kulikoni...
  5. Y

    Mume wake anapenda kuangalia picha za ngono

    Ndugu wana jamii kuna dada ameniomba ushauri kutaka kujua hasa ni kwa nini mumewe anapenda kuangalia picha za ngono. Anauliza au ni tabia za wanaume wengi au mumewe ana kitu gani? Anasema hivi.. mumewe huwa ni mtu wa kuchelewa kulala mida anayolala ni saa sita kwenda mbele. Huwa ana tendecy ya...
  6. Y

    Huyu demu kanizidi ujanja naombeni maujanja.

    Hajakuzidi maujanja ni wewe tu na maharaka yako. Una muda gani toka umjue au kuwa karibu naye na kuchati and so on?. Tuliza ball kuwa makini na kama hataki hizo topics za mapenzi ziache zungumza anachotaka. Si unajua lazima mdada aringe kidogo asijionyeshe kuwa ni rahisi rahisi tu, ee.. Kama ni...
  7. Y

    Mke wa mtu anadai anamtoto wangu

    Kama ulikuwa na uhusiano naye huko nyuma. Cha kufanya hakikisha unamueleza mkeo issu nzima. Halafu kaa kimya uone kama atakuletea huyo mtoto. Wakati mwingine anataka kukuharibia tu mana kachemsha aliko na anaona unaendelea vizuri na mkeo. Usitafute kumchua mtoto ambaye huna uhakika kama ni...
  8. Y

    Hataki kuitwa MRS

    Nina swali kwako mtoa mada Kwa mtizamo wako huyo dada hataki kuitwa Mrs kwasababu hataki kuonyesha kwamba ameolewa? na hapo ofcn kwenu wale walioolewa mmezoea kuwaita mf Mrs Kingi nikiwa na mana ya majina ya waume zao au jina la mtu binasfi? Mana majina yote yanaweza kutumiwa kutokana na mtu...
  9. Y

    Najiachiaaaaaa

    Kweli umejiachia mdogo wangu. Umefanya vema kuomba ushauri kwa wana jamii. Maisha unayoishi kimsingi si mazuri kwa mtizamo wangu na labda kwa wengi pia. Nasema hivyo kwa sababu hata wewe unaonekana hujielewi kama unavyoishi ni sawa au la. Ni vizuri kwamba unajitegemea, unapenda watu, nk...
  10. Y

    kuna nini kichwani mwa mke wangu

    Pole sana mkuu. Usijipe pressure sana na jaribu kufuatilia swala hilo kiutu uzima. Huenda kama wanavyosema wengine mkeo anakupa msg fulani kwa kumsifia mdogo wako labda anaona una mapungufu fulani ambayo wakati mwingine ni vigumu kukwambia akiogopa kukudhi. Jaribu kujichunguza kama una sifa...
  11. Y

    Je ni sahihi kwa watu kumzonga na kumzomea mwanamke kwa mavazi yake

    Kwa kweli naungana na huyu aliesema tatizo ni nini kivaliwe? na mahali gani?. Watu wengi wakiwemo kina dada hatujui tuvae nini na mahali gani. Hili ni tatizo kubwa sana na linasababisha hasa kwa kina dada kunyoshewa vidole, kuzomewa au kuonekana hamnazo. Kila vazi lina sehemu yake ya kuvalia...
  12. Y

    Wenzetu wana marais sisi tuna Kikwete

    Watanzania tunahitaji Mkono wa Mungu utusaidie.... watanzania wengi wamekata tamaa, na hawaoni mwelekeo.
Back
Top Bottom