Search results

  1. fexcash

    Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    Sahihi kabisa nimeishi pale Kwa mwezi mmoja. Nikimtrain ufugaji wa kisasa.
  2. fexcash

    Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    Mke nilipata lugalawa ni ndugu na yule father wa parokia ya Roma pale mkiu, anaitwa Ngairo.
  3. fexcash

    Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    Nimeishi na kupita maeneo kadhaa huko njombe wilaya ya wanging'ombe kuelekea huko Ludewa Kuna mlima wanaita gangitololi asee ni balaa utatelemkia sehemu wanaita mkiu Kona ya kwenda lugalawa, nilipata na mke huko.
  4. fexcash

    Hayati Mwinyi alivyomgomea Mwalimu Nyerere kuondoa jina lake ili Salim awe Rais 1985, ikawa ukombozi kwa Watanzania

    N ule ujasiri aliyouonesha ulimfanya hata Nyerere akaona kuwa anafaa kuwa Rais baada ya yeye.
  5. fexcash

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Ni kweli vimichepuko vinauma asee, kwanza sababu tunavigharamia sana kuliko hata mke. Yani Kuna muda vinakupiga na kitu kizito mpaka unatamani kumuhadithia mkeo[emoji23]
  6. fexcash

    Chanika panahitaji watu mashuhuri uswahili upungue

    Kutoka Bunju stand to city center ni 41km na pia kutoka Chanika stand to city center ni 34.1 km kwaiyo angalia mwenyewe wapi mbali.
  7. fexcash

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Ulaya wakiamua lao hawashindwi, Orlando wajiandae kisaikolijia wale jamaa soka ni bashara kubwa wanatoa hela hakuna mtu anagoma asee.
  8. fexcash

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Chama langu Chelsea mwamba ndio huyu sasa anakata umeme, anachezesha timu na anafunga, Yani ni Michael Essien mtupu.
  9. fexcash

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Kuna mwamba anaitwa Teboho Makoena asee anacheza soka la viwango vya juu sana.
  10. fexcash

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Wanapelekewa moto nusu wateme bungo jamaa kipara kapiga juu bahati mbaya.
  11. fexcash

    2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    South wanaprove ubora wa ligi yao, wachezaji wa ulaya chamoto wanakiona.
  12. fexcash

    Mapenzi ya Michael na Shirley Garvin, yalivyogeuka tukio la mauaji

    Japo kibongo bongo kufungwa au kuachiwa huru inategemea na nguvu ya uchumi wako, uwe na mawakili wazoefu hata kama umefanya tukio unatoboa. Na ndio maana wenzetu wamewekeza kwenye ushahidi wa kimaabara. Hii unapata majibu yasiokuwa na mashaka ( evidence without any doubt). Sisi huku Bado...
  13. fexcash

    Mapenzi ya Michael na Shirley Garvin, yalivyogeuka tukio la mauaji

    Utahakikishia vipi mahakama kama ni kweli unachokisem umekiona na sio kutunga bila kuwa na ushahidi unaoshikika? Unaweza kupewa tatizo la afya ya akili kuwa unasema mambo yanayofikilika. Upige picha crime scene hapo sawa, uwe na kifaa chochote kilichotumika na hakikisha haukishiki maana...
  14. fexcash

    Mapenzi ya Michael na Shirley Garvin, yalivyogeuka tukio la mauaji

    Hata kama umeshuhudia Kwa macho Bado unaweza kushindwa bila kuwa na ushahidi unaoshikika.
  15. fexcash

    Acha kuishi kwa hofu na wenge, kapime ujue afya yako

    Kuna magonjwa hatari zaidi ya hiyo ngoma uliyokuwa unaiogopa. + Kuna inflammation nyingi sana exp: nephritis, hepatitis B, cervicitis, etc + Kuna cancers nyingi sana zote tupo kwenye hatari zakupata muda wa wowote za zikapelekea kifo. Bila kusahau ajali na majanga. + Be humble, kula vizuri...
  16. fexcash

    Jirani mkorofi, anafugia ng'ombe kwenye ukuta wangu

    Kwa jinsi unavyoeleza inaonekana huo ukuta ni wakwenu wote maana upo kwenye mpaka wa kiwanja, jirani anayo haki yakufanya kitu chochote Cha maendeleo either kuvugia au kulima etc. Kikubwa unapofugia mjini au kwenye makazi ya watu lazima uwe na kibali Cha ufugaji. Hii inapelekea ukaguzi na...
  17. fexcash

    Najiandaa kuondoka nyumbani, nimeamua kwenda kupanga. Je, kuna ushauri?

    Fanya unachoweza utoke home agemate, umri na majukumu yameshakukataa.
  18. fexcash

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    Nimesikia jamaa ni kocha na nusu naimani mambo yatakaa sawa chini yake.
  19. fexcash

    FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    Sawa lakini kwa malengo yapi otherwise tunamipango yakuishia robo tulitakiwa kuwa Bora zaidi kama tuna malengo ya mbele zaidi.
Back
Top Bottom