Search results

  1. yellowkid

    Anatafutwa mwalimu mahiri wa lugha ya Kikinga

    Anatafutwa mwalimu mahiri wa lugha ya Kikinga. SIFA: 1. Ajue kuongea, kusoma na kuandika kikinga na KISWAHILI 2. Awe tayari kufanya kazi popote kwa muda wa miezi sita. 3. Umri kuanzia miaka 45-70 4. Awe amezaliwa, kuishi, na kusoma elimu ya msingi makete. MALIPO: Malipo ni maelewano: Atalipwa...
  2. yellowkid

    Afande Gerald Johanes wa Kituo cha Polisi Kamsamba-Momba nani anakutuma kuteka, kutesa na kubambikizia watu kesi za madai?

    Nianze Kwa kuwakumbusha wanagenzi kwamba Jeshi la polisi lipo Kwa mujibu wa kifungu Cha 3, Cha Sheria ya Jeshi la polisi, sura ya 322 ya Sheria ya Tanzania Kwa ajili ya kulinda amani, kushughulikia utii wa Sheria, kuzuia na kung'amua uharifu, kukamata waarifu na kulinda Raia na Mali zao...
  3. yellowkid

    Hii kampeni ya Zero Malaria imekaaje huko kwenu?

    Pasina shaka Ni kampeni ya kitaifa, lakini chakushangazi kwanini iwe na ulaji tofauti wa wakusanya takwimu ( data clerk). Mbeya jiji wanalipa 50000 per day, Momba wanalipa 10000 per day. Hapa naisi Momba wamepiga mpunga. Nirudi kwenye hoja, Momba walishakuwa mabingwa wa tozo za ovyo afu ikifika...
Back
Top Bottom