Search results

  1. Chief-Mkwawa

    Jinsi ya ku certify simu zitakazofungiwa kutumia service za google (playstore)

    kuna msg nyingi zinasambaa whatsapp na hata humu jukwaani kwamba simu ambazo hazijakuwa certified na google kutumia service zake zitafungiwa hapo baadae. hii habari ni ya kweli, muda mrefu Google amewaonya watengeneza simu lakini naona wengi hawatekelezi hili, simu zinakuwa hazijatestiwa wao...
  2. Chief-Mkwawa

    Mozilla watoa beta ya firefox quantum

    Kama mwaka mmoja uliopita mozilla walitangaza project yao mpya inayoitwa project quantum, lengo lake ni kuimprove engine yao ya Gecko ili iwe ya kisasa zaidi, improvement hii mpya inaitwa servo. Project hii haijakamilika lakini mpaka sasa ambapo wametoa beta na kutuonjesha ladha ya quantum...
  3. Chief-Mkwawa

    Intel wazindua generation ya 8 ya CPU zao

    Intel leo wamezindua generation ya nane ya CPU zao itakayojulikana kama kabylake refresh, kwa sasa wamezindua CPU za laptop tu, uzinduzi wa desktop na tablets utafuatia baadae. Kwa wale wanaofuatilia mambo ya CPU kuanzia generation ya 2 mpaka ya 7 cpu zote zilikuwa zikifanana mpangilio wa core...
  4. Chief-Mkwawa

    Juma Nyoso arushwa na mtandao wa goal.com, ashika namba 6 ya mchezaji mtukutu zaidi duniani

    Unakumbuka habari ya Haruna Moshi Boban akiweka kiroba kwenye chupa ya maji? Leo hii tena ni zamu ya Juma Nyoso. Watanzania hatuishi vituko. Leo napita pita kwenye jarida la goal.com naona wameandika wachezaji 10 watukutu kucheza mpira na jembe letu Juma Nyoso ameshika nafasi ya 6 kwa utukutu...
  5. Chief-Mkwawa

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme. Airtel SME. Tigo postpaid Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na Tin no, leseni na kitambulisho. Kama huna details hapo juu wapo...
  6. Chief-Mkwawa

    Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

    Kampuni ya HMD global leo imezindua simu mpya ya Nokia 6 huko china. Nokia 6 Specifications: 5.5-inch FullHD screen (2.5D glass, Gorilla Glass 3) 154 x 75.8 x 7.85 mm (camera bulge 8.4 mm) Qualcomm Snapdragon 430 4GB RAM 64GB internal + MicroSD 16MP back and 8MP front camera 3000mAh...
  7. Chief-Mkwawa

    Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

    Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na ndugu yangu mmoja mitaa ya Aggrey tukitafuta simu aina ya galaxy Note 4 mpya, huwezi kuamini tulizunguka maduka yanaweza kufika hata 100 lakini hatukupata hata note 4 moja ambayo ni ya kimataifa (Africa pia) zote zilikuwa ni simu ambazo wamezitoa kwenye...
  8. Chief-Mkwawa

    Microsoft wazindua surface studio, all in one PC kwa bei ya gari

    Microsoft leo wamezindua PC yao mpya ya all in one ambayo imewalenga zaidi watu wazalishaji mambo ya 3d, graphics etc. Brief specs 28-inch PixelSense touchscreen with 3:2 aspect ratio Quad-core Intel Core i7 processor up to 32GB RAM up to 2TB 'rapid hybrid drive' Nvidia GeForce GTX 980M...
  9. Chief-Mkwawa

    Muongozo wa kuangalia tv online kupitia torrent (android na windows)

    kuna thread za mobdro, uktvnow, kodi, na njia mbali mbali za kuangalia tv online lakini zote hizi zina kitu kimoja zinalingana, zote hutegemea server kukupa wewe data hivyo server inavyokuwa na speed ndogo huku watu wengi wakiwa wanaangalia basi tv inaanza kunata nata na kunakuwa hakuna ladha...
  10. Chief-Mkwawa

    Kingsglaive Ffxv, Square Enix wanawapa somo Dreamworks, Pixar na Disney

    Mimi ni mpenzi mkubwa wa filamu za animation, na unapoongelea animation moja kwa moja unazigusa studio tatu kubwa duniani yaani Dreamworks, Pixar na Disney. Dreamworks wamefanya kazi kama vile kung fu panda, how to train your dragon na shrek, pixar wamefanya kazi kama Cars, Toy Story na Finding...
  11. Chief-Mkwawa

    Samsung wazindua simu ya tizen yenye 4g kwa $68

    kampuni ya samsung leo wamezindua simu yao inayoitwa samsung z2, simu hii haitakuwa na android kama ilivyozoeleka kwa simu za samsung, bali itakuwa na operating system ya samsung wenyewe inayoitwa tizen specs zake -itakuwa na 4g lte (bands bado sijazijua) -memory 8gb storage na 1gb ram -cpu...
  12. Chief-Mkwawa

    Microsoft wainunua linkedin kwa dola bilioni 26

    kwa wale walioshangaa facebook kutoa dola bilion 18 kununua whatsapp leo microsoft amezidisha zaidi kwa kutoa dola bilioni 26 kununua linkedin kwa haraka haraka ni zaidi ya trilioni 55 za kitanzania (miaka miwili ya bajeti yetu ya nchi nzima) linkedin imebase sana kwenye makampuni na...
  13. Chief-Mkwawa

    Simu za Nokia kurudi tena sokoni muda si mrefu

    kampuni ya Nokia imetangaza jana kwamba wanarudi tena kwenye soko la simu baada ya kuipa haki kampuni ya HMD kutumia jina na technology zote za Nokia. Kampuni hii ya HMD ambayo imezinduliwa jana hio hio itakuwa na makao yake makuu Finland (kama Nokia), itakuwa inaongozwa na CEO Arto Nummela...
  14. Chief-Mkwawa

    Anthony Martial ashinda tuzo ya Golden Boy (Mchezaji Bora wa Watoto)

    Mchezaji machachari wa mancheater united Martial ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa watoto maarufu kama Golden Boy. Tuzo hii huchaguliwa na kura za waandishi wa habari za michezo barani ulaya Baadhi ya wachezaji waliowahi kutwaa hii tuzo ni kama Messi, Fabregas, Aguero na Gotze, Rooney...
  15. Chief-Mkwawa

    Uchambuzi vifurushi vya halotel

    Nimeviangalia havina tofauti yoyote na tigo ndo vile vile tu zikitofautiana ni mb chache na wameiga kale ka katabia ka tigo kusema kifurushi ni unlimited kumbe wanamaanisha unlimited speed. Kwa faida ya wengine Internet siku -Sh 250 utapata mb 50 -Sh 500 utapata mb 200 Internet wiki -Sh 2000...
  16. Chief-Mkwawa

    Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala

    Nimepata bahati ya wiki yote hii kutumia fiber ya simbanet (kwa ajili ya biashara), hii internet ina latency ndogo kiasi kwamba unaweza hadi kusahahu kama unatumia internet. Ni bundle ya 5mbps na unaipata speed hio hio bila kushuka kote download na upload. latency yake ni 2ms tu kitu ambacho...
  17. Chief-Mkwawa

    Motorola wazindua moto G na moto X 3rd generation

    Leo motorola wamezindua simu hizo hapo juu. Kama unavyojua hapa jamiiforums tunairecomend sana moto g kama simu nzuri ya midrange 300,000 hadi 500,000. Hebu tuangalie hii simu mpya ya moto g ni nzuri kama wenzake waliotangulia? specification -kioo inch 5 cha HD 720x1280 -ram 2gb au 1gb...
  18. Chief-Mkwawa

    Kwa wanaoanza, jinsi ya kutengeneza website kwa kutumia blogger.com

    Kutokana na maendeleo ya kasi ya kitechnolojia karibia kila mtu sasa hivi anamiliki kifaa kinachoweza kufungua website kama vile simu, table, laptop na desktops. Internet imekuwa eneo kubwa zaidi la kupatia habari kuliko magazeti ya kawaida au redio. Kutokana na hali hii nimeandaa hii tutorial...
  19. Chief-Mkwawa

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Tumezoea katika maisha yetu tukiangalia Tv basi huduma ile tunaipata kupitia madishi, cable au antenna. siku zinavyosogea mbele na technology ndivyo inavyokuwa na ndio jinsi madish na antenna vinavyopitwa wakati. leo kwenye uzi huu tutaangalia IPTV. Ni nini hii IPTV? IPTV ni kifupi cha...
  20. Chief-Mkwawa

    Kulikuwa na makubaliano yoyote Kati yetu na tcra kuhusu data za usajili simu?

    Huwa ninapigiwa simu Mara kwa Mara na makampuni nisiyoyajua wakitaka wafanye survey kuhusu maisha yangu kwa kuniuliza maswali mbali mbali kama unapenda muziki gani, kwa wiki unasikiliza muziki Mara ngapi kwa wiki nk. Hawa jamaa wanakuwa na data zako kama jina lako na namba ya simu, niliwauliza...
Back
Top Bottom