Search results

  1. Anselim

    Faida/Changamoto za biashara ya Mabasi

    tukirudi kwenye mada nadhani hii biashara inafaida sana tu,sababu tunaona kampuni kama super feo abood new force kilimajaro express adventure tahmeed nk. zinazidi kukua ina maana kusingekuwa na faida hizi kampuni zisingeendelea pia nadhani kuwa na management nzuri pia inasaidia pamoja na...
  2. Anselim

    Faida/Changamoto za biashara ya Mabasi

    Hii biashara bhana, kuna kampuni kama dar express miaka ya nyuma hata kama gari lilikuwa lina abiria 9 gari lilikuwa linafanya safari hivyohivyo cha ajabu siku si nyingi nilikuwa natokea rombo na dar express tulivyofika njiapanda gari lilikuwa na abiria kama 21 hivi,ikabidi tufaulishiwe kwenye...
  3. Anselim

    Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

    m mkuu, ushauri wangu kama hiyo pesa hauna haraka nayo sana ni bora ununue gunia zako za mpunga then uzihifadhi uje kuuza kipindi bei ipo juu kidogo
  4. Anselim

    Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

    katika harakati zangu nilipita hapo tcc mwaka juzi wao wanasambaza sigara kwa agents wao waliopo sehemu mbalimbali hivyo na kuwa agent mpaka uwe na mtaji usiopungua milioni10....hapo inabidi akanunue kwa agent aliye karibu mfano kigamboni lazima kutakuwa na agent. ni hayo mkuu
  5. Anselim

    Niulize kuhusu mashine za ujasiriamali na upatikanaji wake

    Thread imetulia sana hii. [emoji817] Wajasiriamali wote tukutane hapa.
  6. Anselim

    Hiview international co ltd,wauzaji wa matairi aina ya roadcruza,goodtyre na goldtyre.

    Kuwa Mwepesi kuweka BEI kama ulivyokuwa mwepesi kuweka picha, Mkuu.
  7. Anselim

    Nanunua korosho, karanga, ufuta

    Kuna jamaa nayeye anatangaza biashara lakini kwenye bei anakwambia NIFUATE PM sasa sijui ili iweje! MKUU,kwani huko pm kuna nini?
  8. Anselim

    Mashine ya Kufulia inauzwa, Samsung Washing Machine.

    Nimependa vijimaneno vyako vya nyongeza mkuu! [emoji16][emoji16]
  9. Anselim

    Dawa za kuua wadudu wa mazao nyingi feki

    Kuna ukweli hapa.
  10. Anselim

    JamiiForums Usiku wa manane

    2:07
  11. Anselim

    Ustaarabu adabu nyumba za kupanga Dar zimenishinda tabia

    Bora ungebaki kusoma comments tu mkuu.
  12. Anselim

    Rais Magufuli: Wastaafu wengine hawachoki kusema, wanawashwa washwa

    Anakwambia jf ni Kama burudani kwake..[emoji23][emoji23] Tumuache aburudike. #kujitoa ufahamu.
  13. Anselim

    Kama ni kweli serikali imekataa kumhudumia mtu nje ya nchi kwa matibabu yatibikayo hapa kwetu-Heko!

    Leo nimekuta umeandika vizuri kidogo...sijui tatizo ni nini huwa akili yako unaifanya watu wakutafsiri wewe Kama Msukule wa chama Tawala. Hutakiwi kujivua akili na kuandika pointless humu ili utafute umaarufu/cheo..Lete hoja zisizo egemea upande wowote. #samahani Kama nimekukwaza Maana nimeona...
Back
Top Bottom