Search results

  1. Deny

    Balozi wa Germany nchini anasema wawekezaji wanasita kuja kuwekeza Tanzania

    Miaka yote iliyopita walikuwa na sababu gani ya kutowekeza mpaka sasa ndio wasingizie kusita? Au zamani walikuwa wanakuja kuwekeza lakini sasa wanakimbia? Hainiingii akilini
  2. Deny

    Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

    Hiyo ilikuwa siku ya kwanza kuchepuka, enhe tuelezee siku ya pili ilikuwaje? na sasa je unalia tena au umekuwa mzoefu?
  3. Deny

    Baadhi ya wanaume ni wachafu sana, wanalala na kahaba anayetembea na wanaume wengi

    Na huyo kahaba ni mwanaume? au ni kifaa cha mapenzi tu? sasa iweje mchafu awe mwanaume wakati huyo kahaba ni mwanamke? kwa nini usiseme kwanza wanawake ni wachafu sana kwa kufanya ukahaba kulala na wanaume wengi? au useme kwa ujumla bila kutupia lawama wanaume peke yake?
  4. Deny

    Rais anaposema "Ngwini" ana maana gani?

    Neno ngwini ni terminology ya zamani UDSM ikimaanisha "Penguin" na hao ni watu waliosomea masomo ya arts. Penguin ni kampuni ya uchapishaji vitabu.
  5. Deny

    CHADEMA wamtaka Kaimu Jaji Mkuu kukomesha vitendo vya baadhi ya Mahakimu kunyima haki ya dhamana wanachama wa CHADEMA

    Jitambue mkuu, wanaowapa ujauzito ni watu wazima na akili zao timamu, ili kuwasaidia hao watoto ni kuacha upumbavu wa kushiriki nao kingono halafu unakuja kutetea upumbavu wa kuwaendeleza kielimu baada ya kuwajaza mimba... Jitambue, ndio maana tukiitwa wapumbavu tunakuja juu kumbe tunapumbazana...
  6. Deny

    Aibu nyingine uwekaji wa Jiwe la msingi Chongoleani Tanga!

    Wacha maneno weka maendeleo - In Darassa's voice;)
  7. Deny

    Share za ACACIA zazidi kuporomoka baada ya TRA kupeleka Tax Invoice

    Wa level hiyo kwa faida gani tuliyopata? au bora tu sifa ya kuwa na mwekezaji asiyekupa faida? Si ulimbukeni huo?
  8. Deny

    Escrow account ni uhujumu uchumi kwa Sethi, Rugemalira lakini siyo kwa SIMBA TRUST?

    Ukinunua hisa IPTL na wewe unakuwa umehujumu uchumi? Kama hao SIMBA TRUST wamenunua hisa tu watakuwaje watuhumiwa? Basi kama ni hivyo hata wote wenye hisa ACACIA pia ni wezi
  9. Deny

    Fedha za Rambirambi Lucky Vincent kutumika kukarabati hospitali ya Mount Meru

    Ningekuwa mimi ndio mkuu wa mkoa wa Arusha ningeahirisha kukarabati hiyo hospitali na kuwapa hizo familia hizo pesa... Hakuna sababu ya kugombania pesa hiyo kwa sababu kama ni ukarabati unaweza kuanzisha harambee zikapatikana kwa njia nyingine au hata kupata ruzuku kutoka serikalini... Na...
  10. Deny

    Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

    RVR - walikuwa wakiziita kitchen party
  11. Deny

    Mkuu wa Shule akamatwe kwa mauji

    Kama wameamua kuwashtaki basi wawashtaki na askari wa usalama barabarani ambao waliona hilo kosa lakini hawakuwachukulia hatua. Isiwe baada ya ajali ndio wanamtafuta wa kumbebesha lawama wakati wahusika ni wengi. Au ina maana njia yote hiyo kutoka Arusha mpaka walipofikwa na ajali hakukuwa na...
  12. Deny

    Tuseme tu ukweli wewe hapo ulianza kutumia ipi mojawapo kati ya hizi

    Nilianza na siemens enzi za kadi poa hapo haipo
  13. Deny

    Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Jibu muafaka ni kwamba swali halijitoshelezi, kasema kufika, je ni kufika wapi? je kama pikipiki safari yake mwisho ni kilometa 50 baada ya hapo na basi ni 100 si wa pikipiki atakuwa kafika anakokwenda kabla ya basi? na je kama basi liliondoka asubuhi pikipiki ikaondoka jioni yake? si basi...
  14. Deny

    Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Lakini swali lako lina utata kidogo. Kwanza halijielezi kama hilo basi na hiyo pikipiki vimetokea sehemu moja na vinaelekea sehemu ileile ambapo vitafika, pili swali halielezi kama hiyo safari vimeanza pamoja au vimekutana point fulani vikiwa katika speed hiyo ya 120km/hr. Ukitoa ufafanuzi huo...
  15. Deny

    Dalili muhimu za mwanamke aliefika kileleni

    Hao wanaojamba watakuwa wanatumia kisamvu cha kopo... sio bure, akijamba ujue anakubeeb ubadili line!
  16. Deny

    Hili ndilo 'dongo' kutoka kwa Zitto Kabwe kwenda kwa Makonda

    Zitto kwa kukosoa yuko sahihi lakini hakupaswa kukosoa kwa kejeli na angeandika kwa ustaarabu tu kwamba "Mamlaka husika tafadhali shughulikieni uchafu unaozagaa Coco beach" angeeleweka sana tu. Kuwa kiongozi si lazima utumie muda wote kuzunguka kila mahali kukagua mapungufu yaliyopo ndio maana...
  17. Deny

    Amos Makalla: Wanafunzi wa Mbeya Day, wana nidhamu mbovu,Wanavuta bangi, Walimu karibuni Mbeya

    Muda Huo Ni Mwaka 2018 Ajira Zimetoka Nimeshapangiwa Shule Nimeanza Ualimu Wangu Fresh Tu Natokea Home Kwangu Muda Natembea Kuelekea Shule Na Kibegi Changu Mgongoni Ndani Kuna Mastering Na Kijitabu Changu Cha Common Mistakes In English. Napishana Na Mwanafunzi Wangu Anavuta Bangi Namcheki Tu...
Back
Top Bottom