Search results

  1. K

    Viongozi wa Dini jitokezeni mkemee yaliyotokea kwenye Uchaguzi wa Madiwani

    Hakika inauma sana Kwa viongozi wetu Wa dini kukaa kimya huku wakiona Haki haitendeki.
  2. K

    Askofu akerwa aina ya upigaji kura wa sasa

    VIPI sheikh Mkuu Wa Dar vurugu za Mbweni Saranga hawajaziona?
  3. K

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Hakika Makamu Wa Rais Mama Yetu SAMIA SULUHU ameonyesha UCHUNGU Wa Mama Kwa mtoto .Nakupongeza sana Mama Yetu Kwa roho ya HURUMA uliyotuonyesha Watanzania Kwa KUMTEMBELEA Kijana wako Mh.Tundu Lissu Mungu akubariki Mama.
  4. K

    Tathmini ya Sayansi ya Siasa: Kuanguka vibaya kwa Upinzani ktk Uchaguzi Mdogo wa Madiwani wa Novemba 26, 2017

    KAMA ndio hivyo kwani Polisi Wakuu we wilaya na mikoa wametumia nguvu? Suala la kujenga miundo mbinu ni wajibu Wa Serikali sio hiyali
  5. K

    Adam Chagulani: Upinzani wa Tanzania ni dhaifu

    Sio rahisi kama unavyofikiria Kwa kutumia Polisi ndio haufi kabisaaa
  6. K

    Vituko uswahili tupia kituko chako uliwahi kukiona!

    Chadema KURA 2177 CCM KURA 1044 mshindi ni CCM
  7. K

    Bw.Polepole kulazimisha KURA zote zilizopigwa ni za CCM ndio "SAYANSI"?

    Hakika nimeshangazwa sana na Katibu Wa Uenezi Wa CCM Bw.Polepole eti CCM imeshinda Kwa Sayansi wakati kila binadamu anajua kilichofanywa na CCM kuutafuta ushindi hata Kwa vurugu, utekaji kukamatwa wapinzani, uongo Wa viongozi n.k.Nani hajui kuwa baadhi ya mawakala Wa vyama vya upinzani...
  8. K

    MSIGWA: Iringa hatukuwa na Uchaguzi, tulikuwa na vita. Vijana 15 wapo ndani, wengine wamevunjwa miguu

    Mkuu Msigwa , TUME Huru ya uchaguzi inasema uchaguzi ulikuwa Huru na Haki ahaaa CCM MPYA
  9. K

    Ubungo, Dar: Ubomoaji jengo la TANESCO waanza

    Kanisa la Gwajima nalo limeanzwa kubomolewa
  10. K

    Lowassa: Nashangaa Gambo anaongea uongo mkubwa, sijaomba kukutana na rais

    Mzee Lowassa wajinga ni wengi sana pale lumumba
  11. K

    Gambo cheo ni dhamana, Lowassa ni sawa na mzazi wako, kwanini umsemee uongo?

    Nimesikitishwa sana Kwa Mkuu Wa mkoa Wa Arusha Bw.Mrisho GAMBO bila aibu huku akijua ni Uongo akiwahutubia wananchi Wa Arusha kuwa Eti Mh.Edward Lowassa kamtuma amwombee Kwa Mh.Rais ili amwombe kurudi CCM.Mh.Edward Lowassa amekanusha vikali taarifa hiyo ya Mrisho GAMBO.Namwomba Bw.Gambo...
  12. K

    Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off!

    Kwenda wapi? KAMA CCM inapendwa mbona nguvu kubwa inatumika kuiba KURA?
  13. K

    Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off!

    Kipara umemaliza? Haya tupe akili zako police+ccm dunia nzima inajua mnayowafanyia wapinzani juzi Bashe kaagiza wapinzani wapigwe
  14. K

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Wanachadema CCM kupitia Gambo wamepanga kuwadanganya wanachadema kuwa eti Kamanda Lowassa kamtuma yeye amwombee kwa Rais kurudi CCM ili wanachadema waache kuwachagua madiwani wa CHADEMA. Kuna maswali ya kujiuliza 1.Kurudi CCM mpaka umpigie magoti Rais. 2.Kurudi CCM mpaka umtume mtu akakuombee...
  15. K

    Edward Lowassa: Wanaodhani nitarudi CCM wanapiga porojo na kuota ndoto

    Gambo alikuwa anataka kuwavuruga wananchi wakati Wa KAMPENI za udiwani ili wasimpigie Mgombea Wa chadema
  16. K

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Wahuni wanaotumiwa na ccm wananchi wanajuta MIAKA 50 toka tupate uhuru Umasikini Wa kutupwa
Back
Top Bottom