Search results

  1. kidudula

    Movie za kibongo zilizokuwa zinatamba enzi hizo

    Napata wapi shamba kubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kidudula

    Rematch ya esperance na wyadad casablanca

    Hakuna tena marudio, mahakama ya usuluhishi mambo ya michezo imeamua kuwapa tena ubingwa Watunisia Esperence
  3. kidudula

    Wale wenzangu wapenzi wa Gb WhatsApp, Yo WhatApp, WhatsApp Plus hali ni tete!!!

    Pole asee...njoo inbox nkupe link ya rc whatsapp
  4. kidudula

    Wale wenzangu wapenzi wa Gb WhatsApp, Yo WhatApp, WhatsApp Plus hali ni tete!!!

    Mie ninayo rc whatsapp...naitumia tu sijui hata hiyo ban ipo wapi
  5. kidudula

    Kwanini Watanzania ni masikini? Nimeokota stakabadhi za ATM, hawana kitu kabisa

    Utafiti wako umekaa upande mmoja, ungeokota na Watu wa Nchi nyingine tungekuja kulinganisha na Tanzania ndio ungetoa majibu yako au mawazo yako hayo
  6. kidudula

    Vitambulisho vya Wajasiriamali Arusha, hadi Mafundi gereji wanatakiwa kuwa navyo?

    Angalia, huyo mdogo wako inaweza ikawa anakuchezea mchezo apate pesa ya ku 'bet'
  7. kidudula

    huu sasa ni Uchoyo wa kiwango cha rami

    Kwanza hapo nae kakosea, Madagascar ni sehemu ya Afrika sasa anasemaje nakula Afrika nakuachia Madagascar
  8. kidudula

    Msaada: Sioni salary slip ya mwezi huu

    Pole sana, nadhani ni tatizo katika mfumo kwa sababu, kuna baadhi wa watumishi ninapofanyia kazi na wao hawajapata mshahara wa Mwezi huu
  9. kidudula

    Msaada: Sioni salary slip ya mwezi huu

    Ila mshahara umepata?
  10. kidudula

    Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

    Dah Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kidudula

    Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

    Hahahahaha 'relax' Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kidudula

    Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

    Zungu??? Utasubiri sana, unadhani Wazungu wanaoa 'mazwazwa' Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kidudula

    Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

    Na hapa Bongo hakuna wanawake, ndio maana watu maarufu wanaenda kuoa Nje huko... Cc Ali Kiba AY Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kidudula

    HALI NI MBAYA SANA TURKANA, KENYA MSAADA UNAHITAJIKA

    Nilikua napitia video katika mtandao wa 'YouTube' Nikaingia kwenye Channel ya 'SimuliziNaSauti' Nilikutana na video ya kusikitisha sana, Raia wa Turkana wanakufa na njaa. Serikali ya Kenya angalieni namna ya kuwasaidia hawa Wananchi wenu. 'Link' ya video hii hapa chini Sent using Jamii Forums...
  15. kidudula

    Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    Hiyo habari ya mwisho balaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mzee akaona na yeye asepe na Majambazi Sent using Jamii Forums mobile app
  16. kidudula

    Tujikumbushe makundi ya wasanii hapa TZ waliobamba na wimbo mmoja kisha wakapotea

    Naomba wimbo wa Mwiju, hujawajua madem aliyenao antumie Sent using Jamii Forums mobile app
  17. kidudula

    Kitete cha Simba ugenini, nini shida?

    Simba tutatumia 'Home Advantage' Sent using Jamii Forums mobile app
  18. kidudula

    Kitete cha Simba ugenini, nini shida?

    Kila timu inajivunia kwake, As Vita kwa Mkapa hawatoki...... Sent using Jamii Forums mobile app
  19. kidudula

    Nadaiwa mchango wa umeme na demu yupo geto Sina pesa nikopesheni buku kumi nitoe soo

    Kumbe TV ikiwaka inapunguza joto enhee Sent using Jamii Forums mobile app
  20. kidudula

    "MKUU" hivi kuna wakuu wangap jamii forum?

    Naona na biashara za kupata wateja wengi huitana mkuu na Boss Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom