Search results

  1. Mgeni wa Jiji

    Siku moja kabla ya kifo chake Mafisango aliteketeza milioni 10 kwa starehe,cha ajabu hakuwa amejenga kwao

    Ajabu hawa hawa wanaosema marehemu hasemwi vibaya ndio hao hao wanaomsema vibaya Yuda Iskarioti. Binadamu ni kiumbe cha ajabu sana.
  2. Mgeni wa Jiji

    Ni nini hasa kazi na umuhimu wa kuvaa nguo za ndani?

    Kwa wanaume nadhani ni mazoea, ila Mkuu nguo kama jeans utaivaaje bila kutanguliza nguo laini ndani. Kuna kiasi kwaajili ya kulinda maungo ya uzazi usijijeruhi kwa zipu au mikunjo migumu ya masono ya suruali. Nisipovaa boxer, vest na soksi nahisi hiyo siku itakuwa ngumu sana kwangu, ila kuna...
  3. Mgeni wa Jiji

    Kipi kinasababisha barabara za New York kuwa na hali mbaya?

    kuna ardhi hazishiki lami, hata hapa Tz zipo. Yaani weka lami utavyoweka ila ardhi ikijisogeza kidogo inakuwa kama imetokota hivi inaacha mibonyeo au inakuwa kama rough road ya lami. Ukipita na gari unaihisi kabisa ipo tofauti.
  4. Mgeni wa Jiji

    Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

    Kwa heshima kabisa naomba niseme hawa ni wapumbavu hawajui wanachokiongea. Ifike mahali vyombo husika vihoji ajenda waliyonayo hawa watu. Kuna jambo mahali halipo sawa, utashtuka hawa wanaupenyeza taratibu kimkakati sana umoja wa LGBTQ. Mwafrika anapambana na tabia mbaya kwa...
  5. Mgeni wa Jiji

    Dodoma ni kutamu jamani

    Toby tulia kidogo basi.
  6. Mgeni wa Jiji

    Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

    Huwenda Mh. Paul alishindwa kuongea lugha moja na Mwadhamu Askofu Amani hasa kuhusu madawa ya kulevya. Mh. Paul aliwahi kujipambanua kupambana na madawa ya kulevya kipindi akiwa RC wa Dar, na Baba Askofu aliliongelea swala la madawa kweye azimisho la Hayati Sokoine. Najaribu kuwaza jambo...
  7. Mgeni wa Jiji

    Ni wakati na sisi Watusi tutambuliwe kama kabila hapa Tanzania

    Makabila ya watanzania ni yale yaliyopo kwenye hii sheria Customary Declaration Order, 1963 tofauti na hapo inabidi ujieleze sana mjomba.
  8. Mgeni wa Jiji

    Kwanini sishiki mimba?

    Wewe jamiiana kila siku utapata tu hiyo mimba, usiisahau dogstyle utanasa chapu zaidi.
  9. Mgeni wa Jiji

    Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

    Mwenyewe anajifariji kuwa yeye sio chawa ila ni mpiga mapambio ya kusifu na kusifia
  10. Mgeni wa Jiji

    JWTZ na Waziri Mkuu ingilieni kati huu utapeli

    Rahisi ni ghalii
  11. Mgeni wa Jiji

    Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

    Hii ni kwa wachache sana, only 1%s
  12. Mgeni wa Jiji

    Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

    Hapa pongezi zinaenda kwa nani Mkuu Lucas Mwashambwa?
  13. Mgeni wa Jiji

    Dodoma ni kutamu jamani

    Nilitaka kushangaa uzi mrefu hizi asitajwe mama
  14. Mgeni wa Jiji

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    wanaharakati wa haki za binadamu wengi ni wanafiki sana.
  15. Mgeni wa Jiji

    Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

    Sipati picha ingekuwa ni usiku sijui hali ingekuwaje hapo
  16. Mgeni wa Jiji

    China mbona ina uchumi mkubwa ila haina ujasiri wa kijeshi?

    Vita ni ujinga. Wachina wamepigana vita vingi vya kikatili sana nadhani sasa wamejifunza na kuona vita ni ujinga.
  17. Mgeni wa Jiji

    Kabla ya kugonga 30,ni vitu gani muhimu kijana awe navyo

    Uwe na malazi ya uhakika Uwe na uhakika wa mlo Uwe na chanzo halali cha pesa Uwe na mpenzi wa uhakika Uwe na sababu kwanini unaishi Uwe na nidhamu, bidii na maarifa Ila hivyo vyote unaweza usiwe navyo ila angalau ujue kuwa unatakiwa kuwa navyo na uweke juhudi kuvipata
  18. Mgeni wa Jiji

    Unawezaje kumuhandle mke mwenye kiburi?

    Basi mnayo raha Mkuu, basi Mkuu hapa Arusha mwanamke anao uwezo wa kuilisha familia yake (ya ndoa) na mchepuko wake kila siku bila tabu yoyote.
  19. Mgeni wa Jiji

    Unawezaje kumuhandle mke mwenye kiburi?

    Haya mambo ni magumu sana, kuna muda inabidi uachane nayo ufanye mambo mengine.
  20. Mgeni wa Jiji

    Unawezaje kumuhandle mke mwenye kiburi?

    Mkuu unaishi wapi huko kwenye wanawake wa ivyo?
Back
Top Bottom