Search results

  1. S

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    ni kweli huyo hajui tu. Kinachochanganya wanoisifiya sumry ni vimaji soda na vibiskuti wanavyopatiwa njiani but in actually kwenye overall ubora wako chini. Hapa consider vitu kama equipment failure, accident rate per passengers transported, rate za driver related errors bado parefu...
  2. S

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    ni kweli na kwa case ya Sumry nafikiri cause number 1 na 2 zinaplay a big role. Model na build ya basi zao ni unstable sana,anayehisi tofauti afanye practical research. Manouver ndogo tu basi linayumba kweli na drivers wao wako quite on the careless side. Nafikir kwao cash comes first...
  3. S

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    mbona nasikia tochi siku hizi zinanunuliwa? Kwamba anateuliwa wa kutoa fungu kwa siku hiyo kisha anaambiwa location za tochi zote. Ye anatangulia ili kudhibitisha na anawaambia wenzake. Hata njiani utasikia makonda wakipigiana na kuulizana nani kanunua tochi, kisha wanampigia...
  4. S

    Daktari auawawa Makete

    Kifo cha Dr Jumbe kinasikitisha sana manake aliipenda kazi yake na akaipenda kweli. Alitekelaza kazi zake kwa moyo mmoja. Kwa kweli tumempoteza daktari bora. Itapendeza iwapo vyombo vya serikali watafanya uchunguzi wa kina. Huenda kama hii issue ina utata fulani... Mungu awatie nguvu wafiwa...
Back
Top Bottom