Search results

  1. amatolo

    Makamba: Ujana sio sifa, uzee sio kashfa. Uzee sio uwezo, ujana sio nyenzo

    Habari wana jamvi, wachambuzi wa misemo na nahau njooni mtumbie huyu kijana aliesamehewa ana maana gani, ninachoamini vita hii inaendelea, Nape sio wa vile hata siku moja.
  2. amatolo

    Hongera CRB, tunawaomba msimamie haki za makandarasi wanaoonyesha uwezo

    Hongereni sana kama hili mmelifanya kwa haki, tunaomba msimamie haki za makandarasi wazawa waliobakia ili waendelee kuimarika zaidi, tunaomba muingilie kati swala serikali kutekeleza miradi ya maendeleo kwa watalaamu wa ndani hili ndilo linachangia kuua makampuni mengi maana makandarasi wanakosa...
  3. amatolo

    Wizara ya Maji na Mbarawa mnaenda kutuibia wazi wazi

    Baada ya kusoma tamko hili la Waziri wa Maji nimejiuliza maswali yafuatayo. 1. Ni nani anaeandaa au kukadiria gharama za ujenzi kabla ya mradi kutangazwa! ni mkandarasi au watalaamu wa Mamlaka au Idara za Maji? 2. Ni nani anaemchangua huyo mkandarasi mwenye gharama kubwa za kuitia hasara...
  4. amatolo

    Msaada kutoka kwa Wahandisi / Wajenzi wenye uzoefu

    Habar za majukumu wakuu, niende moja moja kwenye maada. Naomba mnishauri ni kipi sahihi cha kufanya napokuwa najenga miundombinu ya maji. Ujenzi wa mtandao wa kusambaza maji unahusisha utandazaji wa mabomba, ujenzi wa chemba na vitu vingine sana. Swali langu kubwa ningetaka kushauriwa...
  5. amatolo

    Congrats Fally Ipupa

    Walah, Mondi jifunze kwa huyu jamaa, ukweli mchungu yeye ndo kakubeba huu wimbo. Toka umeanza kuimba huu ndio wimbo wa pili kuupenda, kuudawnload na kuusikiliza, wa kwanza ulikuwaga "NITAREJEA"
  6. amatolo

    Kondom na Wigi (Nwele bandia za kike) sio plastiki?

    Habari za jioni, wanaJF naomba tuwekane sawa. Hizi nywele bandia za wanawake na zenyewe haziozi hata kama ukizifukia kwa miaka 100 ukifukua utazikuta vile vile. Je? Serikali imejipanga vipi kuhakikisha na zenyewe zinatokomezwa? Je kondom sio mfuko wa plastik? Serikali ikipiga marufuku wigi na...
  7. amatolo

    Nahitaji king'amuzi cha StarTimes! Nimechoshwa na DSTV

    Habari za asubuhi wakuu. Binafsi nmechoma na dstv, nahitaji niongezee king'amuzi cha star times. Naomba mwenye king'amuzi cha startimes complete na dish/antena yake aje inbox au anipigie kwa 0766648847 tumalize biashara. Nipo Mwanza.
  8. amatolo

    Mapendekezo yangu kuhusu kinywaji cha K-VANT

    Jamani mimi sina mengi zaidi ya kukipongeza kiwanda kinachotengeneza kilevya aina K-Vant. Niwe muwazi kinywaji hiki kinafaa sana kulingana na maoni na mawazo ya watumiaji tumekipenda sana ila tunapendekeza yafuatayo:-. 1. Kama kuna madhara ya kibinadamu/kiafya tafuteni namna ya kuyaondoa sio...
  9. amatolo

    Nahitaji Vifaa vya Stationery

    Husika na mada tajwa hapo juu. Ninataka kufungua stationery nomba kama kuna mwanajukwa yeyote anaeuza vifaa vifuatavyo tuwasiliane 1. Photocopier Machine Mpya sio used 2. Printer epson inayotumia ink ya nje 3. Lamination and Bidding machine Na vifaa vingine vigogo vyote vinavyohitajika...
  10. amatolo

    Tuliwaamini sana wasanii hawa walipokuja kurekodi sinema yao mtaani kwetu ila wachofanya si utu

    Habari za asubuh wanaJF, baada ya kuwa na subira na hekima leo nmeamua kulileta jambo hili kwenu labda naweza pata msaada. Mwaka jana mwezi wa 11 kuna wasanii wa bongo movie (comedian) walitia kambi mtaani kwetu kwa lengo kuanda kazi yao. Walifika wakaweka kambi, vile vile mtaa wetu wameutumia...
  11. amatolo

    Kituo cha daladala (Bus bay)

    Habari za asubuhi wanaJF, kuna tatizo nimeliona siku nyingi sana ila leo naomba kuliweka wazi labda mimi ndie sina uelewa. Kwa wakazi wa Jiji la Mwanza tunajua kuwa miundombinu yetu ya barabara sio rafiki ukizingatia mji unakua, population inazidi kuongezeka pia watu wanaendelea kuwekeza maeneo...
  12. amatolo

    Naombeni Ushauri Nifanyeje

    Mimi nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na dada yangu binamu tangu mwezi wa nne mwaka huu. Huyo dada yangu binamu ni binti wa mjomba wangu. Sasa, kwa kuwa uhusiano wetu wa kimapenzi ni wa muda mrefu kidogo (kutoka mwezi wa 4 hadi mwezi huu wa 12 ni sawa na miezi 8 katika uhusiano huo) jana...
  13. amatolo

    Leo ni siku ya tatu jogoo wangu hawiki

    Habari za asubuhi wakuu, kisa hiki ni cha kweli na kimenitokea mimi mwenyewe. Nimekuwa na tatizo la kupata maumivu ya kawaida na ya kipindi kifupi, maumivu haya huwa nayasikia kwenye korodani zangu, tatizo hili lilianza miaka mitatu iliyopita. Tatizo lilipoanza nilihisi ni mshipa wa ngiri...
  14. amatolo

    Chakula cha Jioni.

    Niende moja kwa moja kwenye maada. Mwenzenu nimekubwa na tatizo moja kubwa sana, hali hii inaathiri mpaka utendaji wangu wa kazi. Nina tatizo moja kubwa sana kila siku ikifika mida ya kumi jioni huwa naanza kukiwaza chakula cha nyumbani kwangu, huwa natamani kuondoka ofisini muda huo ilimradi...
  15. amatolo

    Jengo letu pendwa Mwanza

    Raha sana, Mwanza tumebahatika kuwa na jengo zuri la kibiashara. Zamani ulikuwa ukitoka mkoani ukifika jiji la samaki lazima ukapige picha pale kwenye samaki, kwa sasa tuna jengo jipya la kibiashara la Rock City Mall ukifika mwanza karibu sana ndani ya jengo letu pendwa. Jamani ndani ya jengo...
  16. amatolo

    Technical Guideline for Supervision.

    Habari za wanajamvi, Msaada huu kwa wale waliosoma Engineering (Civil), wakuu naomba kama kuna atakuwa na soft/hard copy ya kitabu tajwa hapo juu anisaidi hata kama ni kwa malipo, please nisaidien. Nakihitaji sana, kiko summarized sana, kina almost vitu vyote kuhusu road and building works
  17. amatolo

    Nimechukia mno

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye maada. Baada ya kupata ushauri hapa JF kuhusu yule kijana aliekuwa akimgegeda wife niliamua kufanya yafuatayo. 1. Nilipunguza mapenzi kwa 80% kwa wife niliamua kubadilika sana, muda niliokuwa nimetenga angalau siku 1 kwa wiki kukaa na familia na kufurahi...
  18. amatolo

    Mrejesho tukio la kulipa kisasi

    Habari za jumatatu wana jamvi. Naomba kuleta mrejesho kwa kile nilichowaahidi mwishoni mwa wiki iliyopita. Zoezi limefanikiwa kwa 100%. Kazi ilianza hivi, jumamosi jioni dogo alipata mwaliko wa kwenda kula bata, mwaliko huo aliupata kutoka kwa rafiki yake wa karibu sana ambae nae alihusika...
  19. amatolo

    Naomba ushauri kabla sijachukua maamuzi magumu

    Nimejaribu kuwa muungwana kwa kipindi fuluni lakini naona haisaidii, imefikia muda nataka kufanya jambo. Kuna kijana ananisumbua sana zaidi ya mwaka sasa, kijana huyu nimepanga nae nyumba moja hapa Mwanza. Mara nyingi mimi huwa sikai nyumbani kutokana na kibarua changu kilivyo, ninapokuwa...
  20. amatolo

    Computer4Sale Nauza pc yangu nmefulia

    aina lenovo, hard disk 500bg
Back
Top Bottom