Search results

  1. J

    Msaada wa kufungua email yangu ya Yahoo

    Ninamiliki email ya yahoo,ila nilisahau password yake,na email niliyotumia ili inisaidie kurecover email sina acces nayo,pia namba ya sim niliyoweka ili inisaidie kurecover email ilipotea sina mawasiliano nayo. Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kuifungua na kupata password mpya naomba...
  2. J

    Natafuta gari la kununua

    Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali. Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 . Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo.
  3. J

    Namtafuta mtu anaitwa Ally Hamis Kilao

    Bwana Ally Hamis Kilao ni mkazi wa shinyanga. Aliniuzia kiwanja mwaka 2020 ila kwenye document hakuandika namba yake ya simu. Kiwanja kimeleta shida kidogo na yeye ndiye mtu pekee anayeweza kunisaidia kutatua tatizo hilo. Naomba kama kuna mtu anamfahamu anisaidie mawasiliano yake...
  4. J

    Nawezaje kutatua tatizo la kupata choo kwa mtoto mchanga wa miezi sita

    Kuna ishu inanisumbua hapa,mwanangu anapata shida ya kunya , akitoa choo kinatoka kigumu sana kinamuumiza analia na wakati mwingine kinatoka na damu, pia anakula ila anaweza kupata choo baada ya siku sita na ni kigumu anapiga kelele sana. Kuna dawa gani inaweza kumsaidia au naweza kufanyaje...
  5. J

    Nimeokota Shilingi ya zamani ya Wajerumani

    Za asubuhi forum member, Jana nilikua nachimba msingi wa nyumba, wakati mafundi wanaendelea kuna coin ya zamani waliichimbua imeandikwa 5 heller. Naomba kuuliza hzo coin bado zina matumizi au kuna watu wanazitafuta ili niweze kuwauzia kama wanazinunua, naomba majibu yenu na kama anayezihitaji...
  6. J

    Hodi hodi Kigali Rwanda

    Niko njiani nikielekea Rwanda Kigali,naomba kama kuna member angetamani tukakutana na kupeana mawazo naomba tuktane pm.
Back
Top Bottom