Search results

  1. J

    Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    Kula 3m mkuu
  2. J

    Tuliojaza Green Card Lottery mitaa ya Mlimani City surveys majibu vipi?

    Nashukuru kaka kwa muongozo,ngoja niwasiliane na makuliro, vip huwezi kunisaidia pia nikapata
  3. J

    Tuliojaza Green Card Lottery mitaa ya Mlimani City surveys majibu vipi?

    Unaweza kunisaidia ndugu nikapata magrup maana ni hilo tu nimekwama ndugu yangu
  4. J

    Tuliojaza Green Card Lottery mitaa ya Mlimani City surveys majibu vipi?

    Mimi nilijijazia mwenyewe nikapata ,ila nimekwama kujaza fomu ya D 260 maana wanataka niweke address ya mtu atakayenihost nikienda huko wakati sina mtu, nilitaka niende mwenyewe bila kutegemea host family. Nimeamua kuachana nao
  5. J

    Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

    Nina kesi kama yako ,kuna kiwanja nilinunua nikasafiri kwa mwaka mmoja kipo kahama,niliporudi nilkuta dalali ameshakiuza na kuna nyumba inajengwa,nimeenda mahakamani hakimu ni kama wamemuhonga yaan napata usumbufu nataman kama kuna mtu anweza knisaidia aje pm anisaidie namna ya kunisaidia
  6. J

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    Canada huwa wanafanya application mwezi wa ngapi
  7. J

    Kuna tiba nzuri ya gono?

    Ukisema ni wewe unaumwa kwani tutakupiga
  8. J

    Msaada wa kufungua email yangu ya Yahoo

    Ninamiliki email ya yahoo,ila nilisahau password yake,na email niliyotumia ili inisaidie kurecover email sina acces nayo,pia namba ya sim niliyoweka ili inisaidie kurecover email ilipotea sina mawasiliano nayo. Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kuifungua na kupata password mpya naomba...
  9. J

    Natafuta gari la kununua

    Picha haifunguki
  10. J

    Natafuta gari la kununua

    Nimeshawekeza kwa hiyo nahitaji njia rahis ya kufika kwenye uwekezaji, hao siwahitaji tafadhali
  11. J

    Natafuta gari la kununua

    Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali. Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 . Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo.
  12. J

    Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Hujasema iko mkoa gani ,si unajua wengine tuko hku mbali mpakani na tanzania
  13. J

    Namtafuta mtu anaitwa Ally Hamis Kilao

    Shukrani mkuu,ukija mitaa yetu usisahau kunitafta tule mbuzi kidogo boss
  14. J

    Namtafuta mtu anaitwa Ally Hamis Kilao

    Hakika Jamii forum ni msaada sana. Nimebahatika kumpata kwa msaada wa mkuu Slim hakika amekua msaada na suala langu naona linaisha kiwepeeesi sana
  15. J

    Namtafuta mtu anaitwa Ally Hamis Kilao

    Hajanipiga,ni mtu safi wala shida. Namtafta ili anisaidie kutatua jambo langu
  16. J

    Namtafuta mtu anaitwa Ally Hamis Kilao

    Naomba atakayempata yeye au ndugu yake atanitaarifu mapema
  17. J

    Namtafuta mtu anaitwa Ally Hamis Kilao

    Hii ingekua msaada sana,nimejaribu kwenda nida wakashindwa hata voda wameshindwa ,nimeona niwaangukie wana jamii forum maana hii ndo platform kubwa hapa nchini
  18. J

    Namtafuta mtu anaitwa Ally Hamis Kilao

    Mashahid wapo ila sidhani kama watakua msaada sana,naona njia rahis ni kumtafta personally ili niimalize shida kwa urahis sana
Back
Top Bottom