Search results

  1. ubwindo

    Hisense a/c mpya inauzwa

    BTU 18,000 (Inverter) H/P 1.5 Bei 1.2M Call: 0713 173853 Location: Dar es Salaam N.B. Maongezi yapo.
  2. ubwindo

    Ushauri kuhusu Toyota Old School

    Habari wakuu. Kwanza nikiri wazi kwamba mimi ni mpenzi mkubwa sana wa magari ya zamani. Yaani nikiyaona barabarani huwa napagwa hasa likiwa bado kwenye hali nzuri kimuonekano na kwa imani yangu nahisi huwa yako imara sana. Nimeunga unga na sasa nahitaji nichkue gari aina ya Toyota model za...
  3. ubwindo

    Je tatizo la BP linaweza sababisha figo kufeli?

    Habari zenu wote... Niende direct kwenye mada kuna mtu namfahamu amepat shida ya figo, imepelelekea mpaka kua anasafishwa kila wiki hospitali. Kinachonifanya niulize humu ni sababu aliyonipa ya kupata tatizo lake kuwa ni baada ya presha kupanda. Je ni kuna ukweli hapo? Nawasilisha.
Back
Top Bottom