Search results

  1. Kijana matata

    Nafundisha kusoma, kuandika na kuhesabu kwa watu wazima

    Habari wakuu, Kichwa cha habari chajieleza, nina darasa kwa ajili ya kujifunza kusoma, kuandika na kuhesabu Kiswahili na Kiingereza kwa watu wazima. Unaweza kuja darasani Yombo Dovya, Temeke, Dar es Salaam au namfata mwanafunzi popote alipo ndani na nje ya Dar es Salaam. Karibuni kwa ajili ya...
  2. Kijana matata

    Nafundisha kusoma, kuandika na kuhesabu kwa vijana na watu wazima

    Habari wakuu, rehma za Mwenyezi Mungu ziwe nanyi. Nafundisha kusoma, kuandika na kuhesabu kwa vijana na watu wazima kwa ada nafuu kabisa. Muda wa program ni miezi miwili tu mtu anakuwa safi kabisa. Kituo kipo Yombo Dovya, Temeke, Dar es salaam au ninaweza kumfuata mwanafunzi nyumbani kwake...
  3. Kijana matata

    Mwanafunzi unayemfundisha: a child study project

    Aliyesoma hii habari yote anijuze mawazo Makuu ya mwandishi.
  4. Kijana matata

    Msaada: Kwa anaifahamu shule ya secondary furaha ya dar! Nahitaji kujitolea kufundisha bure!

    Habari zenu wakuu, poleni na majukumu ya kila siku! Niende katika lengo kuu moja kwa moja, Mimi kihaiba ni mwalimu wa somo la CHEMISTRY, kuna hii shule ya sekondari ya FURAHA ya jijini Dar es salaam ambayo iko miongoni mwa shule kumi zilizofanya vibaya kitaifa, binafsi nimeumia sana Kwa matokeo...
  5. Kijana matata

    MKOMBOZI WA WANAFUNZI: Kwa Pre-Form 5, na Wanaosoma Practical.

    Habari wana jf, Mkombozi wa elimu kwa upande wa Pre-Form 5 na wanaosoma PRACTICAL kwa kidato cha NNE na SITA yupo kwa ajili ya kusaidia vijana mbalimbali, pia tunafundisha tuition kwa wanaorudia mitihani ya kidato cha NNE na SITA.
  6. Kijana matata

    Mwalimu wa commerce anahitajika

    Habari wakuu, kichwa cha habari juu chajieleza, mwalimu wa commerce anahitajika Kama wewe ni mwalimu wa hilo somo njoo pm nikupe mchongo fasta. Pia zingatia, uwe unaishi maeneo ya yombo dovya au Tandika au ata Temeke. Maelezo mengine nitakupatia ukija pm. Asanteni!! Mubarikiwe wote.
  7. Kijana matata

    Natafuta mtu wa kufanya nae kazi ya tuition

    Habari zenu wakuu, natumai wote ni wazima, na wale wenye matatizo ya kiafya ama mengine mungu atawaponya!! Lengo langu la kuandika uzi huu ni kutafuta mtu ambae nitafanya nae kazi katika tuition centre yangu, yeye awe anatafuta wanafunzi anawaleta kwetu, kwani kituo kina vifaa vya maabara na...
  8. Kijana matata

    Nahitaji kufundisha kwa kujitolea somo la chemistry bila malipo.

    Habari zenu ndugu, poleni na majukumu ya kila siku, mimi kihaiba ni mwalimu wa chemistry, nahitaji kujitolea kufundisha somo la chemistry bila ya malipo, yaani sihitaji hata shilingi kumi ya kunilipa, nafanya hivi kwa lengo la kuokoa kizazi chetu na taifa kiumjumla. Napatikana mbagala, Dar es...
  9. Kijana matata

    Mwalimu wa physics na mathematics pita hapa tugawane umasikini

    Habari zenu wakuu, poleni na majukumu na mahangaiko ya kila siku ya kujitafutia riziki, Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye nia thabiti ya kupambana na hali ya kiuchumi kwa upande wangu na hata pia kwa jamii inayonizunguka, kwa kuliona hilo nisiwapotezee muda sana kusoma uzi huu kwa kuhadithia...
  10. Kijana matata

    Walimu bora wanapatikana

  11. Kijana matata

    Materials ya A-level yanauzwa

    Habar zenu wakuu, nauza materials ya A-level kama ifuatavyo; Conceptual chemistry S.CHAND 1 & 2 (for class eleven & twelve), NEW UNDERSTAND OF BIOLOGY, BIOLOGICAL SCIENCE (BS)., Ngaiza series of advanced chemistry (topic ya electrochemistry), SCIENTIFIC CALCULATOR (ORIGINAL). NOTE: BEI NI...
  12. Kijana matata

    Msaada wakuu wa tatizo hili wakati nafanya application kupitia NACTE

    Habar zenu ndugu. Polen na majukum ya kimaisha ya kila siku, nahitaji msaada maana nipo nafanya application ya higher diploma kwa kutumia matokeo ya kidato cha 6 mwaka 2017 kupitia NACTE, taratibu zote nimefanikiwa lakin tatizo lipo pale ambako nikiweka ACSEE mwaka 2017 wananiambia kua haipo...
Back
Top Bottom