Search results

  1. Ngunya1

    Kwanini Madelu hashurutishwi kujiuzulu haraka

    Kwema wabunge wa bunge la Tanzania naomba kufahamu Ndugai alipo sema tutapigwa mnada mlitaka ajiuzulu lakini Mwigulu Madelu mpo kimya huu sio unafiki?
  2. Ngunya1

    Inamaana hakuna watu wenye sifa

    Huwa nafikiria sana sipati majibu mbunge wangu amekuwa mbunge tangu 2000 mpka leo 2022 na mwaka 2020 alipita bila kupingwa inamaana jimbo zima ni yeye tu mwenye sifa zakuwa mbunge ?ina maana anauchungu sana na hili jimbo ndo maana hataki kuachia ubunge ifike mahala hawa watu wawe na ukomo wa...
  3. Ngunya1

    Kuna mtu amelewa anatishia bastola

    Hapa Morogoro maeneo ya Joradani university kuna grocery napata bia zangu mara gafla kuna mtu anatoa bastola. Polisi Tanzania muwe makini sana maana hawa watu watatumaliza.
  4. Ngunya1

    Update custom assistant interview

    Habari kwa mliofanya interview ya custom assistant naomba kufahamu ni maswali gani yametoka mimi sijafanya sababu nilipoteza kitambulisho cha taifa nina copy na lost report lakini wamekataa
  5. Ngunya1

    Tukio gani limewahi kukuumiza sana?

    Habari wapendwa kwema mimi binafsi tukio ambalo liliniumiza ni pale nilipo poteza Kazi mara ya kwanza kwa sababu ya majungu. Ashukuriwe Mungu wa mbinguni baada ya wiki mbili nilipata kazi nzuri sana na wale walio fanya majungu baadae waliaibika sana. Share chochote ambacho kilikuumiza.
  6. Ngunya1

    Ushauri wa haraka kuhusu tafsiri ya ndoto hizi...

    Ninawasalimu kwa upendo wa Mungu baba. Ndugu zangu juzi mke wangu aliota ndoto yupo msibani analia sana ila ni msiba wa mtu ambae amefariki zamani sanaa leo mimi nimeota nipo sehemu kama hospital au kituo cha kulea watu kuna maiti nyingi sana zina bebwa kwenye machela moyo wangu umefadhaika...
  7. Ngunya1

    Naombeni ushauri, nimefukuzwa kazi

    Habari ndugu, Kuna kampuni moja ambayo nilikuwa nafanya nayo kazi ila sikwenda kazini siku tatu baada ya kuugua ghafla nilipewa ED na daktari ya siku tatu baada ya kumpa taarifa boss wangu akanisimamisha kazi, hatimae leo amenifukuza kazi bila barua. Nimemuomba angalau anisaidie ili nirudishe...
  8. Ngunya1

    Tunaomba update za interview TRA

    Jamani kwa wale ambao mmefanya interview hasa upande custom assistant tunaomba mrejesho interview ilikuaje maswali yaliyo ulzwa mi niltamani sana nifanye hii interview ila baada ya ratiba kubadilishwa nikakwama kabisa
  9. Ngunya1

    Nimepata kazi kwa Wachina ila sina amani nayo

    habari zenu wakuu nimepata kazi kwa WACHINA mshahara laki 4 hakna allowance yoyote ila sina amani nayo kabisaaaa
  10. Ngunya1

    interview feedback

    Thank you for taking the time to participate in an interview for a the General Services Assistant - Kasulu Sept18 We regret to inform you that we will not be pursuing your candidacy for this position. Though your qualifications are impressive, the selection process was highly competitive and...
  11. Ngunya1

    Kuota ndoto umejinyea ina maana gani?

    Jana usiku nimeota eti nimejinyea hapa sina naomba kujua you inamaana gani kwenye ulimwengu wa roho.
  12. Ngunya1

    ujumbe wa leo

    Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye mwenye kiu, ya chemchemi ya maji ya uzima, bure. 7 Yeye ashindaye atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu. 8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na...
  13. Ngunya1

    Nimeumia sana

    Thank you so much for attending our interview with - Tanzania, however am sorry to inform you that you were not our candidate of choice this time, but we have kept your application in our database in case an opportunity comes up in the future.
  14. Ngunya1

    Kwa anae ifahamu world church service

    nimeitwa interview World church service kasulu kigoma niliomba kupitia bright monday kwa anae fahamu interview zao msaada plz nipate idea maana nitaanza n
  15. Ngunya1

    kwa anae fahamu interview za World church service

    Nimeitwa interview World church service kasulu Kigoma niliomba kupitia bright monday kwa anae fahamu interview zao msaada plz nipate idea maana nitaanza na written half behaviour based interview
  16. Ngunya1

    Nafasi za kazi Baylor college

    Naomba kuuliza kuna nafasi zilitoka mwezi wa 5 mwaka huu Baylor college jaman vp wameshaita au bado ?
  17. Ngunya1

    Kama umeitwa interview TANAPA upande wa office assistant njoo

    kama umeitwa interview Tanapa upande wa office assistant njoo tupeane dondoo
  18. Ngunya1

    Dawa ya nguvu za kiume ni kuwa na kipato cha uhakika

    Asikudanganye mtu eti asali mbichi au juice ya ukwaju jamani hebu poteza kazi uone kama mkuyenge utasimama rafiki yangu baada ya kupata redundancy hana nguvu za kiume
  19. Ngunya1

    Nafasi za kazi Zanzibar

    Kuna mdogo wangu anataka kwenda kuweka kambi Zanzibar ya mwezi mmoja atafute kazi kwenye mahotel au makampuni binafsi. Msaada; 1.Vipi gharama za guest ukiwa huko maana hana mwenyeji 2.Upatikanaji wa kazi upoje na masilahi au ni kama bara Karibuni kwa msaada wa mawazo
  20. Ngunya1

    naomba msaada wa haraka

    jamani kuna mdgo wangu alimaliza chuo mwaka 2015 hajafanikiwa kupata kazi ana dplma ya account sasa anataka aende aka tembeze bahasha upande wa Zanzibar kwa ambao mnapafahamu Zanzibar vp upande wa ajira au na huko chenga?
Back
Top Bottom