Search results

  1. E

    Mbunge wa Tarime aongea pumba ITV, kumekucha

    mwita naamin wewe unaifahamu zaidi nyamongo na tarime yake kwa ujumla. Kunawakati nilisikia kuwa kuna kesi ambazo zilikuwepo mahakaman chini ya uwakili wa Tindu Lissu, je zipo ktk mtazamo gani hadi sasa? Je kuna yoyote iliyokwisha na kuleta manufaa kwa wananchi au kuna habari gani huko?
  2. E

    Mbunge wa Tarime aongea pumba ITV, kumekucha

    Lakin mi naona hajakosea sana. Naamin wanatarime wanaelewa fika nini kinachowasibu na nini chanzo cha yote. Tukiwapa nafasi wakajadili wao bila kuwaingilia inawezekana muafaka ukapatikana na matatizokutokuendelea na wao wakaishi kwa amani kama wengine. Nafahamu NATO kuwepokwake Libya inakuza...
  3. E

    Magamba si mchezo: Idd Azzan aomba radhi CCM!

    kumbuka Azan ameomba msamaha kwa kutumia njia isiyo sahihi kufikisha ujumbe kwenye jamii kinyume na taratibu waliojiwekea ktk chama siyo kakili kiini cha tuhuma. Alitakiwa atuhumu na kushtaki kupitia vikao halali vya chama.
  4. E

    Nape JF sio sawa na Facebook

    inahitajika hekima sana ktk ujenzi mpya. Nguvu ya jamii ni nyenzo kuu. Ni lazima wenye dhamana wote tule na kucheza na watoto wa majalalan ili tujue nin mahitaji yao na tuwatoe huko waliko. Naamin inawezekana..tuondoe mipaka iliyopo tuwe wamoja
  5. E

    Magamba si mchezo: Idd Azzan aomba radhi CCM!

    kany, elewa kuwa CHAMA KINA TARATIBU ZAKE.. Kosa la AZANI ni kuinua mdomo wake kupitia vyombo vya habari kukisemea CHAMA, yeye si msemaji wa chama na wala hakuwa na paraka ya chama kuongea hayo... Anaruhusiwa na yuko huru kufanya hizo tuhuma kupitia vikao maalumu vya cham pia kupitia kamati za...
  6. E

    Tundu Lissu na Wenzake waachiwa kwa dhamana na masharti magumu

    Cilir, T.Lissu ni mwanasheria na anaielewa vema hiyo katiba unayoisema. Anayo haki kisheria kupinga mashariti hayo ya dhamana mbele ya mahakama.. Kama kweli si haki yake kupewa mashart hayo kwanini asifanye pingamizi hilo?? Kwakuwa yupo na namba zake zipo wasiliana naye ili akupe ufafanuzi nawe...
  7. E

    Nini hatima ya mimi myonge wa taifa hili iwapo nitakupa nafasi ya kushika HATAMU

    Mi mzalendo mtanzania halisi. Nimechoshwa na kelele za marumbano zinazogonga masikio yangu kila kukicha na kila mmoja akimnyoshea kidole mwenzie kuwa ni mkosaji.. Sasa nataka uniambia wewe "NIKIKUPA DHAMANA YA KUSHIKA HATAM, UTAIFANYIA NINI NCHI YANGU NA KWA NJIA GANI ILI KUNIONDOLEA KERO ZINAZO...
  8. E

    Magamba si mchezo: Idd Azzan aomba radhi CCM!

    Taifa, ninavyosema kuwa sisiema ni nzuri naanisha kuwa chama chochote kile lazima kiwe na katiba, miongozo ya katiba hiyo pia na taratibu za uendeshaji. Lakini pia ktk kushika hatamu, masuala ya Sera na ilan lazima yawepo.. Katika haya niliyoyaongelea CCM IMEKAMILIKA NA IKO SAFI... Ambapo hata...
  9. E

    Magamba si mchezo: Idd Azzan aomba radhi CCM!

    Hizi zote ni athari za kukubari uchaguzu wa nguvu ya rushwa... Kama ni kweli tuhuma hizi yeye mwenyewe na waliompa kura wanamakosa kama kulikuwa na ushawishi wa kutoa au/na kupokea rushwa ili kumchagua/achaguliwe... Ni lazima kiongozi awe muadilifu ktk jamii ali aweze kuishawishi jamii iwe...
  10. E

    Tundu Lissu na Wenzake waachiwa kwa dhamana na masharti magumu

    Lakini labda aliyetupa hizi taarifa hajazileta kifasaha eidha hajatupa taarifa kamili, au ameingiza ushabiki. Lakini kama Lissu na wenzanke wameambiwa wasionekane nyamongo, na wote mwaijua mipaka ya nyamongo basi anaruhusiwa kuwepo vijiji au vitongoji vya karibu visivyokuwa nyamongo... Kiundani...
  11. E

    Nape JF sio sawa na Facebook

    NAPE, every one knows that "NO any one who is perfect for every thing in the world, but also, DO any thing you can do socially in the world u will never ever fullfill every one's demand to the maxmum. But try as best as you can achieve to meet the target.
  12. E

    Tundu Lissu na Wenzake waachiwa kwa dhamana na masharti magumu

    Kilichotokea ni sawa na ni haki ametendewa T.LISSU na wenziwe kwa mujibu wa sheria na ni msaada kwao.. Dhaman ni haki kwa mshtakakiwa yeyote isipokuwa kwa mwenye MADA, UHAIN, UNYANGANYI WA KUTUMIA SILAHA nk. Lakini pia shart la kutokuonekana nyamongo ni la msingi sana na msaada kwao kwa sababu...
  13. E

    Nape JF sio sawa na Facebook

    Nape chukua points hizi kama dira na mwongozo ktk shughuli zako za kisiasa. Kamwe usimchukulie mwandishi wa kama adui yako. Huyu ndiye rafiki wa kweli. Ameweza fanya tathmin kama mwanajamii akagundua baadhi ya madhaifu yako na kuyatolea ushauri. Ingawa ktk ushauri wapo ambao wameusawazisha zaid...
  14. E

    CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

    Kwanza kabisa hauna uwezo wala haki ya kumuonya RPC wewe siyo IGP, Pili hatupendi utushirikishe watanzania wote kwe huo mpango wako wa kuondosha amani,, waliokamatwa wanahaki ya kufunguliwa mashtaka na kupandishma mahakaman kwa mujibu wa sheria. Kwa taarifa tu HAKUNA yaan nikimaanisha NEVER Raia...
  15. E

    CHADEMA hopeless

    Si kweli ukisemacho, serikali inawajibika kwa muwekezaji pia kwa mwananch wake. Kivutio kikuu cha uwekezaji na usalama wa mwekezaji na mali zake. Kwahiyo inawajibika kote. Hata wewe ukiwa unasafirisha pesa yako nyingi unahaki ya kupata ulinzi. Tusipotoshe.
  16. E

    CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

    T. Lissu angekwenda kule kama waziri kivuri hakutakiwa kutengeneza man power kupitia chama, angekwenda kama mtendaji mkuu.. Tatizo lililopo ni kushawish na kuchochea mgogoro hatarishi eidha kupelekea JINAI AU MADA kutokea.. Yeye anajua wapi amekosea?
  17. E

    CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

    Kwa wale wataalam wa sheria tunafaham Tundu hawezi toka mahabusu hadi hapo mtakapoamua nyie wanachama wake kuifanya tarime iwe shwari kiusalama. Na moja ya shart la dhamana ni akitoka mahabusu hatakiwi kuwepo eneo hilo la tukio kwa sababu za kiupelelezi hadi hapo atakapotakiwa kupanda...
  18. E

    Suala la epa pia kufikishwa kwenye mikono ya sheria wachochezi wa vurugu tarime

    Ni mara ngapi wewe raia umejichukulia sheria mkonon kwa kuwaua raia kwa kisingizio et ni vibaka? Je ni kitabu gani cha sheria kinachobariki adhabu ya kifo kwa kibaka?? Tafakari sana ndugu yangu mtanzania mwenzangu. Anayeipiga ngoma mwenyewe haichezi we umeshupalia hadi mishipa ya macho kukutoka...
  19. E

    CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

    Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti...
  20. E

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    Ni wajibu wa polisi kuwalinda raia na mali zao. Suala la haraik ya watu kukusanyika na kwenda kuzika tena kwa itikadi ya chama na tena wakiwa na hasira ni suala HATARISHI. Na katika mkusanyiko huo kuna watu hawashabikii itikadi hizo za chama hicho, ukitokea msuguano kidogo tu mlipuko wake ni...
Back
Top Bottom