Search results

  1. Trinity

    Kwa mara ya kwanza nashawishika ku-bet

    Aisee Kwa uchezaji wa Al ahaly ule naamin asilimia 100 marudiano Simba lazima ashinde kutokana na sababu zifuatazo; 1. Kiwango walichoonesha Al ahaly ni kidogo ukilinganisha na Simba pamoja na kwamba wamebahatisha goli. 2. Simba itafanya mazoezi magumu/bidii ili wajikwamue wakati huo wapinzani...
  2. Trinity

    Siamini kama nimepatwa na kukoroma

    Nilikuwa nawashangaa wanaolala halafu wanakoroma, sasa juzi nilipata fursa ya kuwa jirani na mwenzangu opposite sex. Nilishangaa ananiambia eti usiku nilikuwa nakoroma, nikabisha Kwa ujasiri wote, siku inayofuata ikabidi anirekodi nikiwa nakoroma.! Dah sikuamini kama ndo mimi. Hivi hii kitu...
  3. Trinity

    Hivi unawezaje kuhimili hili?

    Nawasalimu Kwa salamu zote halali, niende direct! Hiviii, unajisikiaje unatafuta pesa Kwa shida, unahifadhi taasisi za kifedha au baada ya kazi ngumu posho inapitia moja ya taasisi ya kifedha. Inatokea siku unaenda kufuatilia baadhi ya huduma kuhusu AC yako, unakutana na customer care chafu...
  4. Trinity

    Mrejesho wa miaka 10 ya msoto baada ya kuhitimu chuo kikuu

    Kichwa cha uzi cha husika, Kwanza nawasalimu wote katika jina la mwokozi ambaye ni Mungu wa kweli muumba mbingu na nchi. Niende direct, miongoni mwa watu walio hustle kitaa baada ya kuhitimu chuo nahisi ni mm pekee though nafahamu na wengine wapo. Si kwamba nilitulia tu bila kufanya shughur...
  5. Trinity

    Hongera kwa ajira mpya za Walimu na Afya. Hongera pia kwa Serikali ya Rais Samia

    Nimejisikia kuwapongeza wale wote mliobahatika kuchaguliwa kulitumikia taifa hili. Hii ni fursa njema hasa kwa watoto waliosomeshwa na kutegemewa na familia zao. Do not look down kwa kejeli za Mpwayangu, nendeni mkafanye kazi kwa bidii huku mkitafuta plan B kwa kutumia kipato chako halali...
  6. Trinity

    Mkuu wa kituo cha Polisi Ruvuma kutoa escot kwa mashabiki wa Yanga

    Mkuu wa kituo anasema wamepata habari ya ki intelejensia kwamba mashaki wa yanga wamepanga safari ya kutoka Songea kuelekea Dar kushuhudia mechi ya Yanga na wapinzani wake. Kufuatia safari hiyo mkuu amesema watatoa escot wanapoenda na watakaporudi na ikiwezekana wataweka na taa pale juu ya gari...
  7. Trinity

    Natafuta Gari ya mizigo. (Isuzu Injection)

    Nawasalimu nyote Katika jina kuu lipitalo majina yote.! Straight forward, nimepigiwa simu na mzee wangu yapata mwezi umepita anahitaji kununua gari ya mizigo used inaitwa isuzu injection. Amenisisitiza zaidi ya mara 3 nikaona kweli yupo serious, Nilimuahidi kumtafutia hivyo nipo hapa kutekeleza...
  8. Trinity

    Naomba mwenye kuyafahamu mashirika yanayopokea na kufadhili miradi mbalimbali

    Kabla ya yote niwasalimu kwa wale Wakristo, Bwana Yesu asifiwe, na Waislamu Assalamualaikum. Natanguliza shukran zangu kwa yule atakaye fikiria na kuamua kunishika mkono. Katika maisha yangu nimekuja kugundua nina mawazo fulani ambayo wengi nikiwashirikisha wanayatumia na kutoka katika maisha...
  9. Trinity

    Tafadhali naomba ushauri katika hii biashara

    Natumai mpo salama ma bibi na ma bwana.! Kichwa cha uzi cha husika, nilikuwa na wazo la hii biashauri miaka 3 iliyopita lakini sikulifanyia kazi nalo likafa kwenye akili yangu. Juzi nikiwa mkoa wa Moro nimeona jamaa wanaifanya hii biashara na wanapiga pesa ni hatari. Inaonekana jina lao...
  10. Trinity

    Asante google map, Mwanza mpo safi

    Kichwa cha uzi cha husika, hivi karibuni nimepata bahati ya kutembelea Mkoa wa Mwanza ambao nilikua nausikia tu kwenye tv na redion. Safari ilianza mapema kabisa kutoka Morogoro na bus la ZUBE kuelekea Mwanza. Kimsingi nimetembea mikoa asilimia 70 yote Tanzania ikiwemo Dodoma, shauku ilikua...
  11. Trinity

    Ajira 700 za Mifugo na 204 za Uvuvi zimeyeyukia wapi?

    Kichwa cha uzi cha husika, hivi karibuni tumetangaziwa serikali kutoa ajira kada za elimu, afya, mifugo uvuvi na sheria . Cha ajabu elimu na afya dirisha limefunguliwa vijana kuanza kutuma maombi yao wakati mifugo uvuvi na sheria hola. Je ilikua ni njia ya kutafuta uzuri kwa wananchi kwamba...
  12. Trinity

    U-turn 5 za Rais Samia kutoka kwa Hayati Magufuli

    1. Kufanya Safari za nje kutembeza bakuri kuomba misaada na mikopo. Moja ya jambo ambalo Magufuli alilipiga vita ni safari za nje kwa maafisa wote wa serikal isipokuwa kwa kibari maalum. Magufuli hakutak kwenda kujipendekeza kuomba mikopo na misaada nje kwani aliamini kuna hatari ya kupewa...
  13. Trinity

    Sipati ajira, sioni faida ya elimu yangu, naona bora kuuza vyeti

    Kichwa cha uzi chahusika, Kwa wale wenye uhitaji wa vyeti mimi ninavyo. Nitakuuzia vyeti vyote kuanzia sekondar mpaka chuo ili visikusumbue kwenye matumizi yako. Sifa ya vyeti O-level kina masomo 10 hakina F A-level matatu (comb CBA) hakina F zaidi ya Bam Degree ya Sua na Post graduate diploma...
  14. Trinity

    Nilikuwa napuuza 'Chuma Ulete', leo yamenikuta

    Kwanza kabisa niwape pole kwa msiba mzito wa rais wetu Jpm. Binafsi nimehuzunika sana kumpoteza mtetezi wa wanyonge, mzalendo, mkweli, mchapa Kazi, mbunifu, mcha Mungu, na jasiri. Niende direct kwenye Mada, Aisee nimekua nashangaa watu nikiwaomba chenji wanapata wasiwasi na kuniuliza, pesa...
  15. Trinity

    Uchaguzi 2020 Hongereni Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Habari ya Jumapili mabibi na mabwana, niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari! Kwanza nashukuru Mungu kwa uhai kwangu kwako pia mpaka unasoma ujumbe huu naamini upo vzr, pia niwape pole kwa wenye changamoto za kiafya. Mimi Ni raia wa kawaida kabisa, ukweli wagombea wote Wana sababu ya...
  16. Trinity

    Nyumba inaizwa

    Nyumba nzuri ya kisasa ipo Dar Gongolamboto Majohe. Ina vyumba 3 vya kulala, sebule pamoja na dinning room, pia nje ina flemu 2 za biashara. Bei mil. 30 punguzo kiasi lipo.
  17. Trinity

    NATAFUTA PARTNER TUACHE BIASHARA PAMOJA.

    Habari zenu wakuu!? Naishi Iringa Maeneo ya Kihesa, Hapa Iringa nimeona fursa ya CAR WASH. Nimefanya utafiti wa site nmeiona IPO vzr sana uhakika WA kuingiza 40,000 upo Maana ni eneo LA main load pia sehemu hiyo magari yana park mengi eneo la pembeni. Kwa aliye tayari na upo Iringa au Jiran na...
Back
Top Bottom