Search results

  1. Trinity

    Nina pikipiki binafsi naomba mchongo

    Hongera kijana, umeanza kupambana mapema.! Mi boda mkongwe, n kweli vijiweni wanafitina sana, watakuambia kiingilio ambacho huwezi kukifikia. Tafuta eneo tu we paki, utakuta wengine wanakufuata kijiwe kinakua hai na pesa unapiga
  2. Trinity

    Angalia nyendo zako usije kuwa deleted

    Ungepiga kapicha au ukarekod ka video.!
  3. Trinity

    Mtu kama huyu unamsaidiaje?

    Teh.!
  4. Trinity

    Mtu kama huyu unamsaidiaje?

    Yale maji hatari.!
  5. Trinity

    Mtu kama huyu unamsaidiaje?

    Ni Kabila ndani ya wilaya mojawapo ya Bukoba.! Kama umewahi sikia Wanyambo.
  6. Trinity

    Mtu kama huyu unamsaidiaje?

    Nawasalimu kupitia jina lipitalo majina yote chini ya jua. Aisee nina bro tunafanya kazi wote, kazi zetu ni field asilimia 95, hivyo tunaishi as kampani. Huyu bro age yake 41 yrs amenipokea na kunielekeza kazi Kwa uzuri kabisa. Sasa huyu bro ana mke wa ndoa ambaye anaishi wilaya jirani, mara...
  7. Trinity

    Mtoto wangu ana baba wawili

    Ukitaka kujua ukweli, tishia kama unataka umchukue mtoto akalelewe na bibi yake yaani mama yako uone, akiruhusu huyo mtoto n wako, akigoma basi jua siku ulipompitia wewe next day akaenda kudaka Kwa mwingine
  8. Trinity

    Mtoto wangu ana baba wawili

    Nimecheka sana hii comment, hapo umemkatisha matumaini muhusika moja Kwa moja.! Nasikia ukienda kupima DNA lazima waseme mtoto ni wako ili kuweka mambo sawa. Nafikiri alee tu so longer anafanana na hesabu zimethibitisha n wake haina shida.
  9. Trinity

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

    Achana na watu hasi, watumishi wa Mungu tushaa kuelewa.! Kuna kipindi mtu unasikiliza song la gospel mpaka unatamani wawepo wengine wabarikiwe nazo.! Nani kawaambia kipaumbele cha waimbaji ni pesa??
  10. Trinity

    Asparagus, hizi ni mboga za matajiri pekee

    Kuna padre mmoja niliona anazipiga hatari na kazipanda,
  11. Trinity

    Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash ambayo utasikiliza kwa siku tano hujamaliza

    Aisee, whatsap unatuma!? Nataka nikupe list ya nyimbo ninazotaka. Issue ya pili naomba downloader nzuri maana hii ninayotumia inagoma inasema YouTube hairuhusu. Nipo tayari kuchangia kama utanitumia pia app
  12. Trinity

    Wanaume wa Kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure. Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

    Yap, sasa ukifika hapo unakua unasogea konani kidogo kama unaenda Murongo.! Wilaya iliyozaliwa na Karagwe.!
  13. Trinity

    Wanaume wa Kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure. Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

    Vijana walienda kwenye mstari wa wazee, acha bakora zitembee Kwa vijana wavurugaji wa utaratibu.!
  14. Trinity

    Wanaume wa Kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure. Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

    Hujadanganya umeandika hoja yenye mashiko sana, juzi last week huku mkoa ulioko mpakan na Rwanda na Uganda Kiboko (mnyama) aliuawa na maliasili kutokana na sababu maalum. Wakati wa kugawa Ile nyama niliona aibu mimi.!
  15. Trinity

    Msaada: Natafuta kazi ya kufanya. Ni mwepesi kujifunza kazi yoyote

    Watu medium ndo wanatoa hata mawazo nini jamaa afanye, big up! lkn kuna watu humu wanaweza kumuajili au connect huyu jamaa badala yake wanapita tu.! Ngozi nyeusi ikishaa shiba na kitambi ka puto haioni mateso ya mwingine. Jamaa yng pambana ila nakusihi usiache KUMUOMBA MUNGU SANA, Fasting is...
  16. Trinity

    Simba isipomfunga Al Ahly kesho nitajiondoa rasmi hapa Jamiiforums

    Mtu anasema anaacha kutumia jf wewe unakazana malinda.! Ndo kilichojaa kwenye ubongo wako bila shaka.
Back
Top Bottom