Search results

  1. M

    Zitto kugombea urais 2015?

    kwa kusema ukweli kutoka moyoni mimi sio mshabiki wa CHADEMA ila kama ZITTO KABWE angekuwa ametimiza umri wa kugombea urais na angeteuliwa na chama chake kugombea mi naona angefaa kwa mtazamo wangu
  2. M

    kwa nini baadhi ya WANAWAKE wapo hivi???????

    mwanamke wa aina hiyo ujue kabisa hana mapenzi ya dhati na huyu mwanaume ila kuna kitu anachokitaka kwake coz angekuwa na mapenzi ya kweli angevumilia mpaka mwenzi wake akipata.
  3. M

    Kwa akina dada: Hivi mwanaume wa kingoni ana nini?

    mi nilivyosikia kwa watu wa karibu ni kuwa wanaume wa kingoni wanapenda sana kutumia limbwata kama wanawake, thats why wakitongoza msichana huwa hawezi kuchomoka.
  4. M

    Mwanamke; Unapenda mwanaume mwenye sifa gani?

    kwa kweli huyo mwanamke alichokifanya sio kabisa labda anataka mwanaume ambaye ni cha pombe kwani kwa hali ya kawaida ukipata mwanaume kama huyo inabidi uwe na heshima, busara, ukarimu na upendo pia. kwa upande wangu napenda mwanaume ambaye anajiheshimu anaheshimu watu wengine na pia ajue...
  5. M

    Toyota nadia (2002) inauzwa

    hiyo nadia nzima kweli kwa nn unauiza
Back
Top Bottom