Search results

  1. K

    Natafuta kadi ya CHADEMA

    Jamani wanajamii wenzangu mi nipo udom kama kuna mtu wa udom humu ndani na anajua mahali kadi zinapatikana anielekeze jamani
  2. K

    Jamani mbona clouds siwaelewi?

    Wana jf hv hawa clouds ni radio ya ccm mbona vp vyao havipo balance au ndo tuseme ni radio ya propaganda naomba mnitoe utata jamani
  3. K

    Jamani wana jamvi wenzamgu lipumba yupo?

    Mi nawashangaa viongozi wengine wa chama eti now wamejifungia na wake zao vyumbani uchaguzi ukifika eti nagombea urahi hii ni fair?
  4. K

    Meya wa Arusha apata aibu kanisani

    Kazi anayo na uchaguzi ujao hapati kitu lazima aanguke 2 hakuna jinsi
  5. K

    Kikwete mbona haendi mikoani?

    Jamani ndugu zangu wana jamvi mbona rais wetu haendi mikoani husani mikoa ya kaskazini na mikoa ya kanda ya ziwa. Yeye anakwenda dodoma tu
  6. K

    Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

    Inaonyesha jinsi gani ulivyo mvivu wa kufikili na ulivyo na mawazo finyu kwani nyie cmliwaua na kusema ni majambazi
  7. K

    Tendwa:Tumechoka sasa una mamlaka kemea waongo hawa dhidi ya Chadema

    Kama kawaida yao mbona wao hawana habari zenye kuleta sense kwa mainterellectual
  8. K

    Tendwa:Tumechoka sasa una mamlaka kemea waongo hawa dhidi ya Chadema

    Hawana jipya ndo maana 2nasema kama chadema ni chama cha wachaga bac ccm ni chama cha waislam
  9. K

    Diwani mpambe wa Meya Arusha akutana na wakati mgumu

    Anatisha ndo solution au mnaonaje wana jamvi hili jamani
  10. K

    CHADEMA ina mpango wa kumtelekeza John Shibuda?

    Acha hizo kwani hujui chama kipo kwenye operashion ya kujenga chama now ji2me kufikiri ww
  11. K

    Kiwembe

    I wana say 2 all ma people
Back
Top Bottom