Search results

  1. slyve Ramon

    Wapi napata Google pixel Mwanza?

    Msaada maduka ya uhakika kwa mwanza mjini chimbo lipi naweza pata google 3a au 4 brand new
  2. slyve Ramon

    Msaada unaitajika

    Habarini Wakuu, Natumaini ni wazima wa afya nimekuja mbele yenu naomba msaada tafadhal nina safari ya kwenda Dodoma toka Songea kesho kufanya clearance ya mambo ya chuo nilimaliza Miaka kadhaa iliopita ila sikumaliza kukamilisha mambo yote. Hivyo basi naomba kama Kuna mtu anaweza nikodishia...
  3. slyve Ramon

    Msaada jinsi ya kuacces my instagram account

    Habarin za muda huu wakuu, I hope mko poa back to the topic naomben mnisaidie mweny uelewa kuhus kuacces acc yngu ya insta ,tatz ni kwamb nilibadili password bt pale ilipofka kweny kuverify acc ambapo unatumiwa code kwa phone number ndo shid ilipoanzia coz ile namb siitumii ten ni muda mref sas...
  4. slyve Ramon

    Msaada jaman juu ya huu wimbo

    Habarn wakuu, kwa yeyote anaeifahamu or alienao huu wimbo plz naomba unitumie, Ni nyimbo flan hv i think niya South Africa ina mahadhi fln hv ya kwaito alaf ni ya ktambo kdg kama around 90s , wanaimba "Selebona, Selebona,Selebona... " Nawaomben wakuu kama mtu anayo plz anitumie, coz nmeitafut SN...
  5. slyve Ramon

    Help please: Mawasiliano ya chuo cha Mi̇pango Dodoma

    Habarini wakuu kwa yeyote anaesoma pale au anaekifahamu vizuri plz nisaidie hata contact nikuchek I need to know about some stuffs kama Hostel zake na vinginevyo plz wakuu nisaidieni mdogo wenu[emoji120][emoji120][emoji120]
  6. slyve Ramon

    Msaada wa alieimba huu wimbo

    Ni nyimbo flani hv I think ni ya south Africa wanaimba (Selebona,Selebona,Selebona) plz wakuu kwa anaejua walioimba huu wimbo Msaada Tafadhal hii nymbo ni ya kitambo kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom