Search results

  1. A

    TV yangu haionyeshi rangi vizuri. Mafundi saidieni

    Habari wanajamvi. Tv yangu ni Bruhm ya nchi 32. Kwa siku kadhaa haionyeshi rangi inavotakiwa na picha haitulii. Naomba msaada wa kujua tatizo ni nini na linatatuliwa, vipuri na ufundi. Natanguliza shukurani
  2. A

    Hivi siku ukigundua kuwa kwa miaka 30 mama yako alikudanganya utafanyaje?

    Wakuu, Hivi ikitokea siku mama yako amekuwa akikundanganya bila ya wewe kuwa na hata chembe ya shaka kuwa yeye ni mama yako au kuwa baba yako ni huyu hasa kama umekulia nyumba hiyo, umesoma ukitokea nyumba hiyo, jina lako la ukoo likiwa la huyo baba wa nyumba, umeoa au umeolewa ukiamini hao...
Back
Top Bottom