Search results

  1. C

    Rostam si wakulaumiwa yeye pekee yake bali Chama Cha Mapinduzi kwa ujumla.

    Ndugu zangu watanzania, chama cha mapinduzi kimemtumia Rostam aziz kwa muda mrefu katika kupora mali zetu, ili chama hicho kujipatia fedha za kuendeshea shughuli mbalimbali za kichama. Toka enzi za mkapa Rostam ametumika sana mpaka enzi za JK. Pesa nyingi za uchaguzi, CCM wamekuwa wakimtumia...
Back
Top Bottom