Search results

  1. tian

    Pub gani nzur jiji DSM, kuwe kwa kaiwaida tu sitaki habar ya masaki wala London external

    Unatoa hayo maagizo ukiwa kama nani labda?Wakwako ndio umpe hayo masharti..Wivu utakuuwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. tian

    Kwanini Waziri wa Mazingira, Bw. January Makamba hasifii juhudi za Rais Magufuli?

    Akishamsifia apate nini[emoji848][emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. tian

    Habari za mapumziko wanajamii.Naomba kujuzwa ubora na ubaya wa magari aina ya Spacio kwa wale mangwiji wa magari.

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua ubora na ubaya wa magari ya aina ya Spacio,na pia natakiwa kuzingatia vitu gani vya msingi? Asanteni kwa ushauri Sent using Jamii Forums mobile app
  4. tian

    Safari ya China yamponza MC Luvanda, Mahakama yaamuru akamatwe

    Stupidity at its best,ndio maana tunadharaulika kama nchi..Mxiew
  5. tian

    Miaka 35 huna familia, gari, nyumba wala mashamba... Unategemea miujiza gani kutoka Mbinguni?

    Ukifa utaenda navyo?Ebu acha kuwapa watu stress maisha ni kuchagua unavyotaka yawe.
  6. tian

    Video: Hapa Kenya wametuacha hatua 10 mbele kwenye utalii

    Wacha watuache,tukimaliza kununua wabunge wa upinzani,tutawafata
  7. tian

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Haina madhara yoyote kwa mwanamke,labda kwa wanaume inasababisha pre mature ejaculation
  8. tian

    Carol Ndosi: Dear International Community, Don’t come to us later and say “Had we known, we would have done more”

    I have always admired Carol Ndosi,a great article..Let me say am impressed dada
  9. tian

    TLS: Chama ndani ya nchi isiyokuwepo

    Rejea historia yako ya shule ya msingi
  10. tian

    Mvua, Dar: Watu 9 Wafariki, Mabasi ya mwendokasi yamesitisha huduma

    Daah hivi waanzilishi wa huu mradi hawakufikiria kuwa na mbadala wa usafiri kwa ruti husika endapo itatokea hitilafu au usumbufu wa aina yoyote kwenye usafiri huu?
  11. tian

    Sijaona popote pale wanajeshi wa Rwanda wakilinda Ikulu ya Tanzania wala Ukuta wa Mererani

    Unapoleta hoja kubali pia kupingwa,usitoe povu kihasara hasara tu
  12. tian

    Mvua, Dar: Watu 9 Wafariki, Mabasi ya mwendokasi yamesitisha huduma

    Kwa Mujibu wa swahili times,mvua zinazoendelea hapa jijini zimesababisha mdororo wa usafiri kwa watumiaji wa huduma hiyo kwasababu ya kujaa kwa maji.
  13. tian

    Wakili Godfrey Wasonga Jitafakari

    Naunga Mkono Aandolewe hana hadhi ya kuwa mnawajamii forum
  14. tian

    Mvua, Dar: Watu 9 Wafariki, Mabasi ya mwendokasi yamesitisha huduma

    Janga la taifa la dar.Kwa mujibu wa uongozi wa DART usafiri usitishwa mpaka mtakapotangaziwa kutengemaa kwa hii huduma.
  15. tian

    Msaada: Nimekosea kutuma fedha kutoka benki yangu kwenda kwenye mtandao wa Vodacom

    Naomba ushauri nifanye nini? Nimekosea kutuma fedha kutoka benki yangu kwenda kwenye mtandao wa Vodacom. Nilipojaribu kuwapigia huduma kwa wateja wakanieleza kwamba mwenye mtandao wake ameshaitoa na kwamba ni vigumu sana kupata msaada laiti kama angekuwa hajaitoa walau wangeweza kublock na...
  16. tian

    Hivi walimu tumemkosea nini Mungu?

    Mpaka siku mtakapoacha kuipigia CCM kura ndipo akili zitakapo warudi
Back
Top Bottom