Search results

  1. Yakuza

    Marekani nayo yatoa tahadhari kwa raia wake kuhusu maandamano ya tarehe 26/4/2018

    1. NENDENI KASKAZINI, KUSINI, MAGHARIBI ATA MASHARIKI, BADO NCHI YETU TANZANIA NI BORA KULIKO SEHEMU YOYOTE IWAYO DUNIANI. 2. FANYENI USHABEKI, LAKINI MKUMBUKE HII NI NCHI YETU SOTE. 3. TAMAA YA WACHACHE WENYE UCHU WA MADARAKA, HAITAWAFIKISHA POPOTE. 4. MUNGU MBARIKI RAIS WETU MPENDWA SANA...
  2. Yakuza

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki sana na mpatie afya na maisha marefu Rais wetu Dkt Joseph John Pombe Magufuli
  3. Yakuza

    CCM must go for the year 2020!

    Hizi lugha siyo zetu, bora ungeandika Kiswahili chetu. Kichwa cha habari kipo tofauti na unachokisema kwenye bandiko lako. CCM must go for year 2020, inamaanisha CCM must stand/contest/contend in the year 2020 which is obvious...
  4. Yakuza

    Rais Magufuli: Nuru na Mkombozi wa Watanzania

    Tanzania siyo nchi ya kwanza kudaiwa duniani na siyo mara ya kwanza kudaiwa sisi kama taifa. Jiulize: Mbona hayo yote yametokea baada ya kuzuia makinikia yetu? Kama Taifa huru lazima tulinde mali zetu kwa nguvu zote. Hata wangekamata majengo tunayomiliki ya balozi zetu kwao wao (....), bado...
  5. Yakuza

    Rais Magufuli: Nuru na Mkombozi wa Watanzania

    Bombardier...Bombardier....is it really the issue for discussion? Yes, tunadaiwa na kama Taifa tutalipa. Hivi watanzania tunaona fahari gani kunanga taifa letu na kushabekia kukamatwa kwa ndege yetu? Tunafaidi nini? Pengine hao wanaoshabekia wanadhani ni hoja ya kupandia.....Tafuteni hoja...
  6. Yakuza

    Kwanini naona Rais Magufuli ameshindwa kuongoza Taifa...

    Huo ni mtazamo wako Mhe. Lakini, inyeshe mvua, liwake jua....Taifa litasonga mbele tu kwa maana walionyuma ya Rais Magufuli ni wengi kuliko walionyuma ya baadhi ya wenye chuki binafsi. Huyu ndiye tuliemsubiria kwa muda mwingi watanzania. President Magufuli ni imara na jasiri. Ana udhubuti wa...
  7. Yakuza

    Rais Magufuli: Nuru na Mkombozi wa Watanzania

    Ukweli kuhusu Umakini na Uzalendo wa Rais Magufuli: Rais JPM anapigana vita ya dhati dhidi ya rushwa na walarushwa (zero tolerance to corruption). Kazi buti na tunakuombea sana Mhe. Rais; Amefanya reforms za dhati ndani ya chama chake cha CCM bila kuangalia sura. Kuna watu ndani ya CCM...
  8. Yakuza

    Askofu Bagonza akosoa kauli ya 'Aliyepewa mimba asirudi', ahoji makosa ya viongozi yangekuwa mimba, wangekuwa na ngapi?

    Shida siyo maoni aliotoa Askofu Bagonza juu ya wanafunzi wanaopata mimba. Akitumia lugha ya picha, amemuonea na kumshambulia Mhe. Rais bila sababu na hii siyo mara ya kwanza. Binafsi ninamfahamu, Askofu Benson Bagonza ana mtazamo hasi kwa Mhe. Rais wetu. This should STOP, period!
  9. Yakuza

    Askofu Bagonza akosoa kauli ya 'Aliyepewa mimba asirudi', ahoji makosa ya viongozi yangekuwa mimba, wangekuwa na ngapi?

    Askofu Benson Bagonza anafahamika vizuri hata kabla hajawa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. Akitumia matoleo na sadaka za wakristu tena masikini aliunga mkono na kusaidia wagombea wote wa upinzani katika jimbo la Karagwe na Kyerwa mwaka 2000, 2005, 2010 na 2015. Mtandao wake wote unafahamika...
  10. Yakuza

    Kuchepuka kwa Rais Magufuli anastahili pongezi siyi kubeza

    Watanzania tuna Rais wa UKWELI. Ni full MZALENDO. Tuungane tumuunge mkono kwa kuchapa kazi kwa bidii na maarifa huku tukitanguliza uzalendo wa taifa letu mbele. Mungu ibariki Tanzania, Mungu Mbariki Rais wetu Mpendwa.
  11. Yakuza

    Hatimaye Halima Mdee ametuthibitishia kuwa PhD's walizonazo Watanzania baadhi ni za hovyo kabisa!

    Come this time 2020, all simple cartoons like you shall have been reduced to almost none. Under the strong Presidency of His Excellency The State President, The Right Hon. Dr. JPM, Tanzania is changing to the better. Whether you like or not. I am afraid, people of your type and who have...
  12. Yakuza

    Hatimaye Halima Mdee ametuthibitishia kuwa PhD's walizonazo Watanzania baadhi ni za hovyo kabisa!

    1. I strongly beg to differ with you. If it's Halima Mdee I happen to know very well, ninaomba UNISAMEHE. Tanzania ili tuendelee zaidi kwa vigezo vyovyote vile haihitaji watu aina ya Mhe. Halima Mdee, period. 2. Juu ya Ph.D za Watanzania ambazo wewe unadhani hazina manufaa. Ninakushauri endapo...
  13. Yakuza

    Sumaye afichua siri nzito za CHADEMA kukabiliana na Magufuli

    Sisi watanzania tunaompenda Rais wetu na tunaoipenda nchi yetu hakika itafikia mahala tulazimike kuungana na Rais wetu kukabiliana na wewe Mzee Sumaye na team yako yote. Haiwezekani kila wakati mnawazia kumkwamisha Rais wetu na dhamira yake njema kwa nchi yetu. Mhe. Sumaye umekuwa Waziri Mkuu...
  14. Yakuza

    Hawa ni Kiboko ya Rais Magufuli?

    Seriously, unamuita Mhe. Rais 'Nduli', really??
  15. Yakuza

    Rais Magufuli iboreshe Taasisi ya Usalama wa Taifa

    TISS wanafanya kazi yao vizuri kuliko hata mnavyodhani. Tatizo tulilokuwa nalo ni dhamira ya Kiongozi Mkuu wa Nchi. Tumuunge mkono Rais wetu na tuwe wamoja sisi kama Watanzania, Tanzania mpya inakuja!
  16. Yakuza

    January Makamba ajihami kupitia

    Huyu Muitaliano kana anamdai JM kwa nini asiende Mahakamani?
  17. Yakuza

    Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    Kama ni kweli Mzee Mengi yuko nyuma ya kazi hii ya kufichua UFISADI, basi hakika Mwenyezi Mungu ampatie afya, neema, uzima na baraka katika maisha yake yote. MAFISADI na wanao tetea UFISADI watambue kuwa siku zao ZINA HESABIKA! MZEE MENGI HONGERA SANA!
  18. Yakuza

    January Makamba: Kwa asilimia 90 nitajitokeza kugombea urais 2015

    Asante Mkuu na ubarikiwe sana.
Back
Top Bottom