Search results

  1. M

    Subaru outback

    Subaru Outback, 2006 model, Auto - manual , Sports & Sports Sharp options, full AC, full vibali, mziki mkali ,Mileage kidogo, Tairi mpya, Sports Rim "17, Engine CC 2990, gari nzuri sana kwa masafa marefu, imetulia na kubwa kwa maana ya space. No D. Inapatikana Bunju B, bei 13M, maongezi kdg...
  2. M

    Subaru Outback inauzwa

    Gari Subaru Outback 2006 Model, CC 2990, Auto - manual, Sports & Sharp Sport options, full AC, Sports Rim "17, full vikali, no. D, mziki wa nguvu, iko sokoni. Mileage kdg, nzuri sana kwa long safari. Ya kuchukua na kwenda popote utakapo. Gari inapatikana Bunju B - Dar. Bei 13M. Kwa mawasiliano...
  3. M

    Wale wanaotumia TALA

    Jamaa wazuri sana, mi tayari nimefikia 300,000/=
  4. M

    Xtrail for Sale Tshs 9,000,000/=

    Make:.................................................. Nissan Model:.................................................. X-Trail Car type:.............................................. Station Wagon Year: ...................................................2002 Doors...
  5. M

    Nissan Xtrail inauzwa Millioni 9 tu

    Hapana ni picha za kawaida
  6. M

    Nissan Xtrail inauzwa Millioni 9 tu

    Ukihitaji picha Whatsaap nakutumia pia
  7. M

    Nissan Xtrail inauzwa Millioni 9 tu

    Make:..................... Nissan Model: .............. X-Trail Car type: ............. Station Wagon Year: ............. 2002 Doors: ........... 5 Seats: ............ 5 Mileage: ......... 96 ,400 Engine size (cc): .......1990 Num...
  8. M

    Phantom Six Plus kwa 500,000/=

    Nenda tu dukani, nafikiri hujui bei yake ndo maana unasema!
  9. M

    Phantom Six Plus kwa 500,000/=

    Simu aina ya Phantom Six Plus inauzwa shs 500,000/= tu, mjini Moshi. Simu imetumika kwa miezi 2, almost new, iko na kila kitu chake. Inakaa na charge siku nzima pasipo kuzima data. Ni simu yenye uwezo mkubwa sana. Wasiliana nami kwa namba 0689 101177. Specification: Display: 6.0" FHD LTPS...
  10. M

    Techno C 9 inauzwa

    200 kamilli hapana ndugu, nashukuru!
  11. M

    Techno C 9 inauzwa

    Picha hizo
  12. M

    Techno C 9 inauzwa

    Nicheki kwa tigo no. 0717 441184, napatikana Tegeta - Dar es Salaam.
  13. M

    Techno C 9 inauzwa

    Simu imeongezewa ubora kwa kuwekewa grass screen protector pamoja na back cover kali sana . Hiyo bei iko chini. Kuhusu picha nitaweka maana ndo naitumia sasa hivi, nitaipiga baadaye nitawawekea hapa.
  14. M

    Techno C 9 inauzwa

    Mwanangu kwa hela hiyo hapana. Simu ni kama mpya kabisa, used for 03 weeks. Jiongeze kdg upate kitu bora kabisa.
  15. M

    Techno C 9 inauzwa

    Nauza simu Techno C 9 , almost mpya. Ina screen protector ya kioo, back cover nzuri sana na ya kisasa, iko pamoja na kila kitu chake kwa maana ya charger, headphones, kitabu chake pamoja na box lake. Napatikana Dar es salaam, simu no. 0757 393623 au 0778 101177. Bei shs 250,000/= ( Laki mbili...
  16. M

    Vitabu vya Form One na Form Two vinauzwa

    Bei inaanzia 7,500/= ( kitabu cha bei nafuu) , 12,000/= ( Kitabu cha bei ya kati) na 25,000/= ( kitabu cha bei kubwa), hivyo bei zinatofautiana
  17. M

    Vitabu vya Form One na Form Two vinauzwa

    Ninauza vitabu vya Form One na Form Two kwa bei nafuu. Napatikana Dar es Salaam, Tegeta......simu no. 0778 101177 na 0757 393675. Vitabu nilivyo navyo ni: Civics for Secondary Schools ( OXFORD) - Form One History for Secondary Schools ( OXFOD) - Form One & Form Two Geography Course Book (...
  18. M

    Brand New Laptop - DELL Inspiron 15, 3000 Series

    Nicheki Whatsaap kwa namba hii 0778 101177, nikurushie picha
  19. M

    Brand New Laptop - DELL Inspiron 15, 3000 Series

    DELL Inspiron 15, 3000 series with the following features: - HD Webcam - 15.6 HD True Life Display - Wireless & Bluetooth -HDM1 - SD Card Reader - Spill Resistant Keyboard - Intel(R) Core i3 - Memory 4GB RAM Bei shs Laki Tano tu ( 500,000/=), mpya kabisa haijawahi kutumika. Ndani ya makaratasi...
  20. M

    Brand New Dell Inspiron 15, 3000 series laptop for 600K

    Imepunguzwa bei, sasa inauzwa laki 5 tu
Back
Top Bottom