Search results

  1. ChelseaBlue

    Ushauri kuhusu gari BMW Series 3 ama Subaru Impreza

    Performance gani unaongelea mkuu? Kwasababu kama ni upande wa speed na pulling huwezi fananisha bmw na hizo wrx au sti. Laiti ungekuwa Arusha nikakupa raundi kwenye 3series msports naturally aspirated hapa ungeuza hizo subaru zako zote. 250km/hr speed unaimaliza yote in less than 1 minute...
  2. ChelseaBlue

    Ushauri kuhusu gari BMW Series 3 ama Subaru Impreza

    Hiyo bei ni jumla ya kila kitu, yaani kwa mfano 2000 BMW 3 Series yenye CIF (cost+insurance+inspection+freight) -> $ 2300 ni approximately Tsh mil. 4,100,000/= pamoja na cost ya kutuma TT. Likishafika bandarini utalipa Shipping Line 150,000/=, Duty ~ 5,000,000/=, Port Charges ~ 380,000/=...
  3. ChelseaBlue

    Naomba kujulishwa maana ya FOB cost CIF cost na gharama zingine zote kuagiza maghari

    mkuu kwa bajeti yangu ya mil. 12 ntaweza kupata hili gari? Inaweza kulipia kila kitu kuanzia gharama ya kuliagiza toka Japan, ushuru n.k.?
  4. ChelseaBlue

    Samsung galaxy tablet, inauzwa

    sio kwamba tunashindwa kuagiza mpya huku kwa bei ya $275 = 478,000/= Tsh (boxed sealed) na full accessories + (expedited shipping). ni kwamba unasaidiwa tu hiyo yako used-mbovu ipate mteja uondoe mkosi..
  5. ChelseaBlue

    msaada wa haraka ku unlock apple id ktk ipad mini

    Hapa mbwembwe zote utaziskia lakini mwisho wa siku hakuna simu yoyote itakayokuwa unlocked. Tatizo litakuwa palepale
  6. ChelseaBlue

    Power bank for sale Amh 15000

    bei tafadhali,,
  7. ChelseaBlue

    Sony Ericsson Xperia Arc for sale

    nitafute kwenye simu
  8. ChelseaBlue

    Sony Ericsson Xperia Arc for sale

    Sony Ericsson Xperia Arc S inauzwa. imetumika kwa mwaka mmoja. whatsapp, instagram, viber, skype zote umewekewa.. bei 190,000/=, contacts: 0716-904626, Arusha.
  9. ChelseaBlue

    Wabunge na mawaziri wenye vyeti feki watajwe.

    Aise wanaojulikana wazi ni Dr. Mary Nagu na Lukuvi (mzee wa certificates),,
  10. ChelseaBlue

    bye bye whatsapp kwa WP

    Hivi bado mnatumia windows phone mpk miaka hii..
  11. ChelseaBlue

    Nauza Samsung S5 clone

    zina muonekano mzuri lakini gusa unate!! Sikushauri kabisa ununue clones maana miaka hii watu washajanjaruka, utainunua kwa 420k ila baada ya miezi mi3 ikishaanza kusumbua au ukakutana na original yake ukaCompare, lazima ujilaumu. utakuja kuiuza laki moja ndani ya muda mfupi. Kama budget imebana...
  12. ChelseaBlue

    Nauza Samsung S5 clone

    Amekua kind kusema clone lakini akidanganya kuwa ni clone ya Korea wakati Korea hawatengenezi Clones. ni lazima ifike wakati wa Tanzania tukatae bidhaa feki. Mbona nchi zilizoendelea wamefanya hivyo sisi tunashindwa nini? Hata jirani zetu Kenya hapo wamekataza kabisa hizo clones, sisi ndio...
  13. ChelseaBlue

    HELP: iPhone 3GS randomly/suddenly shuts off and won't stay on until plugged in power

    Weka picha ya about screen tuone tunakusaidiaje hapa
  14. ChelseaBlue

    Nauza Samsung S5 clone

    Heheee hizo Clones baki nazo mwenyewe, kwanza Clones toka lini zimatengenezwa Korea? au unamaanisha North Korea? Maana Samsung Original zinatengenezwa South Korea na hakuna kampuni nyingine inayozitengeneza huko South. Hizi Clones zinatoka China, Taiwan na Hong Kong. Usidanganye watu hapa...
  15. ChelseaBlue

    Android Tablet (offer ya pasaka)

    200,000/= bei ya mwisho,,
  16. ChelseaBlue

    Tv flat ya singsung

    sijui ni kwanini watu wanapenda vitu feki (clone) wakati wana uwezo kabisa wa kupata Original.. :der:
  17. ChelseaBlue

    iPad 1, 2 & 3 Back Protector Guard

    iPad Back Protector Film Guard kwaajili ya kuepusha mikwaruzo kwenye iPad yako. bei 10,000/= kila moja. zimebaki pcs 4 tu. 0716-904626, 0767-174757, Arusha...
Back
Top Bottom