Search results

  1. rashidikurwa

    Wiki ambayo Barrick tumeambiwa watakuja ndio inaanza kesho ngoja tuone

    Hayawi hayawi sasa yamekua ile wiki iliyokuwa ikisubiriwa kwa shauku kubwa nchini Tanzania ndiyo hiyo imeanza. Unajua ni nini? Ni mazungumzo kati ya serikali ya Tanzania na kampuni ya uchimbaji wa madini ya Barrick gold mining juu ya madai ya wizi na ukwepaji wa kodi tangu mwaka 2000...
  2. rashidikurwa

    ‪Jukwaa la Wahariri(TEF) laikemea CHADEMA kwa kuwafukuza Waandishi wa TBC ktk Mkutano wa Tundu Lissu

    Ingekuwa ni kina fulani wamefanya hivyo ungeitishwa kabisa mkutano wa waandishi wa habari kutoa tamko!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. rashidikurwa

    JPM: Na Stori ya Mzee Kimweri

    Unajiona umeandika pointii!!! Poleni sana, wafuasi wa mtetezi wa wezi!!! Hadi 2020 mtaadhirika sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. rashidikurwa

    Sakata la Ukwepaji Kodi: Barrick kuanza Mazungumzo na Tanzania wiki ijayo

    Muda si mrefu yule mtetezi wa wazungu ataumbuka!!! Nasisitiza mda si mrefu!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. rashidikurwa

    Lowassa afunguka miaka miwili nje ya CCM

    Huyo mwandishi alipata tabu sana wakati wa kumhoji!!! Maana mpaka amalize neno moja shughuli inakuwepo!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. rashidikurwa

    Zitto: Namkubali Rais Magufuli asilimia 100, sizitaki tena siasa za vurugu

    Kwani upinzani ni nn!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. rashidikurwa

    Hongera sana Mama Joyce Mhaville

    Sent using Jamii Forums mobile app
  8. rashidikurwa

    Uteuzi wa Rais Magufuli wawachanganya wapinzani

    Ndio huyo huyo!!! Hata aibu haoni!!!! Tena amshukuru sana Kikwete leo tungekuwa tumeshamsahau!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. rashidikurwa

    Prof. Kitila Mkumbo: Mwanasiasa yeyote anayesimama kufanya kitendo cha uchochezi akemewe hapo hapo

    Kila mtu anayetoa mawazo tofouti na mnayotaka kuyasikia mnamuona ana njaa au kapewa pesa!!! Hebu jaribun kutoka nje ya boksi na mtumie akili zenu kufikiri!!!! Leo mnamshibikia huyo tochi aliyewekewa betri!!! Kesho akiongea tofauti na mlivyozoea kusikia mtaanza kusema kanunuliwa!!! Jaribun kuwa...
  10. rashidikurwa

    Hongera sana Mama Joyce Mhaville

    Ni kweli Mama huyu ni mfano wa kuigwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. rashidikurwa

    Hongera sana Mama Joyce Mhaville

    Huyu ni mkurugenzi mtendaji wa Itv/Radio One, ni Mama shupavu, jasiri na mwenye uthubutu ambapo kwa miaka zaidi 15 amezisimamia taasisi hizi kwa kuwa na vipindi imara vyenye kuleta tija ya maendeleo katika taifa letu. Ikumbukwe kuwa huyu ni Mama pekee anayeongoza taasisi hii ya habari ambayo...
  12. rashidikurwa

    Fatuma Karume kumfananisha Rais na kinyago ni sahihi?

    Huyo fatma karume anatafuta kiki tu ili na yeye akamatwe atengeneze jina Sent using Jamii Forums mobile app
  13. rashidikurwa

    DAR: Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana. Waandishi watishwa!

    Huyo fatma karume anatafuta kiki tu kama harmorapa!!! Ameishi ikulu wakat huo leo anajidai mtetezi!!! Anapoteza mda wake bure!! Jana atakachofanikiwa!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. rashidikurwa

    Rais Magufuli azindua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga(Kilometa 154) iliyogharimu Bilioni 190

    A man of the people, God blessing you. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. rashidikurwa

    Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Kauli ya Tundu lissu ya kuzitaka nchi wahisani kuinyima Tanzania misaada kwa kile alichodai ni ukandamizaji wa kidemokrasia, Imehojiwa na wachambuzi wa kisiasa kuwa kama kauli hiyo ndiyo msimamo wa chama hicho, basi kijitokeze hadharani na kusema kuwa kinatumika kwa faida ya nani. Zitto Zubery...
  16. rashidikurwa

    Kauli ya Zitto inakinzana na kauli zake za nyuma

    Zitto is right Sent using Jamii Forums mobile app
  17. rashidikurwa

    Shaka yuko Kigoma anafanya maandamano na mikutano kama nani? Ni mbunge wa kigoma?

    Hapa kazi tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  18. rashidikurwa

    Rais Dr. Magufuli kuzindua miradi tisa Kagera, Kigoma, Tabora na Singida

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli kesho anaanza ziara katika mikoa ya kigoma na tabora ambapo atazindua miradi ya ujenzi ya Barabara, Kila la heri Mh Rais, Mungu aendelee kukubariki katika safari yako ya kuibalisha Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  19. rashidikurwa

    Rais Dr. Magufuli kuzindua miradi tisa Kagera, Kigoma, Tabora na Singida

    Wakat wengine wakipiga kelele, Mh. Rais anapiga kazi kwa kuijenga nchi. Sent using Jamii Forums mobile app
  20. rashidikurwa

    Zitto Kabwe aitafsiri kauli ya Lissu kama uhayawani

    Zitto is right Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom