Search results

  1. ismail hassan

    Field wanafunzi wa certificate clearing and forwarding.

    Habari za wakati huu wakuu, naomba mwenye kampuni yeyote ya clearing and forwarding au anayeweza kunipa connection ya wanafunzi zaidi ya 10 kupata field ndani ya dar es salaam ani PM. Weka bei yako kila mwanafunzi mmoja akipokelewa nikupe kiasi gani wanafunzi wapo wengi. Note: Kipindi cha...
  2. ismail hassan

    Nimekoma kuingiza Malaya ndani ya nyumba,never again

    atarudi[emoji23] jiandae, ukweli ndo huo. Atarudi kwaajili ya kukukomesha.
  3. ismail hassan

    Maajabu ya vichaa: Wanakula vichafu lakini hawaumwi

    Hofu ndio ugonjwa mkubwa sana duniani. Ukitaka uishi kwa amani basi epuka kuwa na hofu. Hofu ndiyo inayoongoza kuua duniani. Maradhi mengi tunayapata kwakuwa na hofu. Kichaa mfumo wake wa ubongo hauna hofu hata kidogo nandomana anaweza kula chochote asidhurike. Mtu mwenye akili timamu...
  4. ismail hassan

    Uzi wa vyakula tu

    Mtaa lumumba kariakoo. Kidali choma makange kwa 3,000 tu.
  5. ismail hassan

    Uzi wa vyakula tu

    Leo nikasema nipike[emoji23]
  6. ismail hassan

    NEST kuanza kutumika, TANePS kutotumika tena

    Kwa sasa upo vizuri. Tatizo lilikuwa pale mwanzo kweli mana ndo ilikuwa mwanzo.
  7. ismail hassan

    NEST kuanza kutumika, TANePS kutotumika tena

    Mfumo upo automatic. The lowest bidder ndio atakuwa shortlisted. Uzuri pia wa mfumo huu unaonesha hata kama umeshindwa tenda utajua ni wapi umeshindwa tender na mshindani mwenzako. Upo wazi kabisa tofauti na TANePS
  8. ismail hassan

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    mkuu nimekufata lakini nikijaribu kukutumia text inagoma.
  9. ismail hassan

    Uzi wa vyakula tu

    Ugali utumbo
  10. ismail hassan

    Fahamu virefu vya baadhi ya maneno yaliyofupishwa

    House of sickness people include treatment and labour
  11. ismail hassan

    Fahamu virefu vya baadhi ya maneno yaliyofupishwa

    Management by working around
  12. ismail hassan

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    sisal Board
  13. ismail hassan

    Fahamu kuhusu Biashara ya mkonge nchini Tanzania na Changamoto zake

    magoma ndo usiguse kabisa maana mkonge wenye singa nzuri Tanzania unatokea magoma na ni sehemu yenye mkonge mwingi mno ikifuatiwa na hale. Magoma, kwamandondo, mashewa mpaka mavovo, maramba yote wameshaamka. bora maeneo ya matarawanda, makorora, mahenge na kwamndolwa unaweza pata marneo. kwa...
  14. ismail hassan

    Fahamu kuhusu Biashara ya mkonge nchini Tanzania na Changamoto zake

    kwa sasa kwa maeneo kongwe kama Korogwe inakuwa ngumu kidogo. Japo ukibahatisha wewaza kupata. Na ni kwa bei ambayo imechangamka. Watu wengi kwa sasa wanaenda handeni mana bei iko chini, kwa ekari unaweza pata hata kwa laki moja (hii ilikuwa mwaka jana) huenda bei ikawa imepanda zaidi mana watu...
  15. ismail hassan

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    [emoji23]
  16. ismail hassan

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Aloshikiwa mic
  17. ismail hassan

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    cocastic nimekumiss sana[emoji4].. suma nasema I miss you[emoji18]
  18. ismail hassan

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    jaman jamn[emoji23]pole
Back
Top Bottom