Search results

  1. M

    Wakuu nisaidieni mdogo wenu gharama ya ujenzi wa muundo L

    Kwa uzoef wako unaweza kunisaidia walau nkajua hadi lenta naweza kutumia sh ngap
  2. M

    Wakuu nisaidieni mdogo wenu gharama ya ujenzi wa muundo L

    Hongera sana mkuu,, umeniinspire sana,
  3. M

    Wakuu nisaidieni mdogo wenu gharama ya ujenzi wa muundo L

    1. Mkoa ni geita 2. Kiwanja kipo tambarare, solid ground 3. Msingi nataka uwe wa mawe 4. Vyumba nilitaka viwe futi 12, lakin hapa mnaweza kunipa ushaur zaid
  4. M

    Wakuu nisaidieni mdogo wenu gharama ya ujenzi wa muundo L

    Mchango wenu ni wa muhimu sana
  5. M

    Wakuu nisaidieni mdogo wenu gharama ya ujenzi wa muundo L

    Wakuu heshima yenu, Mimi ni kijana ambaye bado nipo kwenye 20s ambaye bado najitafuta kwenye gurudumu hili la maisha. Naomba mnisaidie kunipa makadirio ya gharama za ujenzi muundo L chumba sebule na single room moja, walau kuufikisha kwenye lenta. NB Kiwanja kipo tayar
  6. M

    Uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro upo wapi?

    Hata mm,, nlikuwa nafikiria hivo lakin sina uhakika
  7. M

    Uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro upo wapi?

    Hiyo ni airstrip sio airport
  8. M

    Uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro upo wapi?

    Wakuu ninaomba kujua ulipo uwanja wa ndege wa mkoa wa Morogoro na kama haupo ni kwa nini wakati moro ni mkoa wa kibiashara.
  9. M

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Hii timu maestro Xavi ataifikisha mbal mno
  10. M

    Wataalamu wa kudukua/ ku-hack simu za wenza wetu tukutane hapa kueleza athari tulizozipata baada ya kujifanya wajanja!

    Naomba kuuliza mbona mm audio za calls zake kwangu znaplay lakin sauti hsisikiki,,pia kama hayupo online sipati chochote toka kwake
Back
Top Bottom