Search results

  1. C

    Tanzania kwa sasa ndio ime-dominate biashara hapa EAC, ndiyo top export economy kuzidi nchi zote

    Biashara kati ya Kenya na Tz, ina favor Tanzania kwakua Tz Ina export goods worth 500millUS$ while import only 400MillUS$, hongera watanzania kwa kuchapa kazi
  2. C

    Wahindi kutoka Kenya wajaa makambako kununua mahindi

    Uwingi huu wasababisha bei ya mahindi kupanda gafla na wakulima kufurahia bei nzuri ya mahindi,
  3. C

    Wahindi kutoka Kenya wajaa kununua mahindi makambako

    Bei ya mahindi yapanda gafla baada ya wahindi kutoka Kenya kununua mahindi bei kubwa na bei nzuri hongera Samia sasa wakulima wa mahindi twaanza kunufaika
  4. C

    Brazil is better than Tanzania

    With huge cities and vibrant infrastructure Brazil is very organized and vibrant , Tz is 20 years behind , believe me am Tanzanian Brazilian living in Rio grande do SUL , Brazil
  5. C

    Tanzania register trade surplus with kenya

    Tanzania recently years it has been improve it's export to Kenya and other EAC due to have strong industrialization policy driven by her Excellence. Samia suluhu
  6. C

    Muda wa ku-apply Green Card lottery umeisha

    Tulio apply Green card tujiandae kwenda USA mwakani, najua tutashinda watanzania wote tulioapply, Mimi nitakwenda kuishi Jimbo la South Dakota, wenzangu mtaishi majimbo gani
  7. C

    Kenyan economy expanded after rebasing recently

    National Treasury Cabinet Secretary Ukur Yatani during the launch of Economic Survey Report 2021 on September 9, 2021. NMG PHOTO The review of national economic data — commonly known as rebasing — increased 2019 GDP in nominal terms to Sh10.2 trillion up from Sh9.7 trillion. This was much lower...
  8. C

    Zanzibar to have the tallest building in Africa

    Zanzibar has secured massive investment in a commercial tower that will completely change the face of the semi-autonomous Indian Ocean archipelago. The project developer, a joint venture of Tanzanian’ AICL Group and Edinburgh Crowland Management Ltd, yesterday signed a contract with New York...
  9. C

    Tanzania yauza bidhaa nyingi Kenya kuliko ilizonunua kwa mara ya Kwanza

    Kwa mara ya kwanza Tanzania yauza bidhaa nyingi Kenya na kuimports kidogo # source the citizen and Central bank of kenya ===== Tanzania’s exports to Kenya have exceeded its imports to the East African Community (EAC) partner state for the first time in decades, signalling improved trade flows...
  10. C

    Ukiwa mtanzania ni ngumu kuwekeza kenya

    Wakenya Wana highly protectionism policy, billionaire mtanzania Rostam pekee alitaka kuwekeza 130millions dollars hizi ni pesa nyingi kwa mtu mmoja kuwekeza alienda mbaka kwa uhuru Kenyata toka 2017 mbaka leo anapigwa chenga tu wanamzuia kuwekeza , ushaur kwa Raisi Samia asifungue milango yote...
  11. C

    Hyundai rotem has won a bid to supply an electric train in Tanzania

    Jamaa wameshinda bid aisee, Bora Hawa kuliko Chinese === Hyundai Rotem has won a 335.4 billion won ($296 million) contract to supply 80 electric multiple units (EMUs) and 17 electric locomotives to the Tanzania Railway Corporation. The vehicles will be Tanzania's first electric trains and will...
  12. C

    Hyundai rotem has won a bid to supply an electric train in Tanzania # source the citizen news

    This company is one the best companies on supply EMU ( electric multiple units train ) and other new design of electrical train in the the world , Note # this is not a Chinese company the one which designed a ugliest and inefficient train used by Kenyans
  13. C

    Dar es Salaam has big CBD than Nairobi but a tiny Nairobi CBD is more organized

    To be honesty dar CBD is huge and disorganized compared to Nairobi, Dar has many big and modern building however it's infrastructure can't match with it's building. Nairobi has tried to match it, wide roads no many hawkers, street vendors unlike Dar where the CBD is full occupied by them, no...
  14. C

    Ethiopia kufunga Ubalozi wao Kenya. Kwa sasa Kenya watahudumiwa na Ubalozi wa Dar es salaam

    Uhasiano wa Tz na Ethiopia wazidi kuimarika na sasa dar ndio hub for international relations. --- Ethiopia on Monday announced plans to cut the number of embassies it has in other countries by at least half in a bid to save costs. In a briefing to Ethiopian lawmakers, Prime Minister Abiy Ahmed...
  15. C

    Tanzania absolute poverty is on another level

    Baada ya kuishi ughaibuni kwa muda mrefu sasa nimerudi home nakuta maisha ya Watanzania ni mabovu sana, elimu duni, bidhaa bei juu, kweli Tanzania is a grave of poverty.
  16. C

    At lastly. Nimeamua kununua fuso fighter na kuacha mpango wa kununua Rosa bus au Nissan civilian

    Hatimaye nimeamua kwenda kununua Fuso fighter na kufunga Tandam , na nimeacha rasmi mpango wa kununua bus Rosa au Nissan civilian, pia nimeamua kurudi mkoa nikiwa nafuso yangu ili nipige kazi vixur ntakuwa kishoto kwa miez kadhaa kabla sijamuachia dereva rasmi
  17. C

    Nina ulevi wa kununua wanawake, nikijaribu kuacha nashindwa naombeni ushauri

    Wakuu, Mimi ni kijana 30 years, nimekuwa addicted na kununua Wanawake 'totoz' wakuu. Nimenunua sehemu nyingi sana. Kwanza Rwanda mitaa ya Magerwa, Lemela, Gisenyi kwa Bongo pande za Sinza Corner Bar, Buguruni, Masakuu, Mbagala na Manzese Weekend Pub. Kiukweli barmaid na wale wa kununua ndo...
  18. C

    Hivi Kenya mpo na tatizo la ajira kama Tanzania katika kada za ualimu na udaktari?

    Hapa Tanzania ni mwaka wa tano sasa ajira za walimu hakuna lakini shule vijijini pia hakuna walimu na Serikali haijali walimu, pia madaktari hakuna ajira vilevile, yaani ndani ya miaka mitano wameajiliwa madaktari 1000 tu. Je, na wenzetu Kenya hakuna ajira katika kada hizo kama Tanzania tu?
  19. C

    Jinsi ya kutumia Telegram

    Nimejiunga Telegram nashindwa jinsi ya kuitumia, naomba maelekezo. Nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali naambiwa ingia Telegram utapata, lakini niingie sizipati. Nipeni maelekezo on how to use Telegram Sent using Jamii Forums mobile app
  20. C

    Wakenya wachapwa fimbo na Wachina

    Kenya is totally colonised by Chinese ====== (KDRTV)-Kenyans are angry after a viral video reveals a Chinese hotel manager canning a Kenyan employee at a hotel for being late The disturbing video disclosed an unidentified Chinese who is said to be the manger of the Chez Wuo Restuarant in...
Back
Top Bottom