Search results

  1. Hacktivist

    Mayweather ampiga McGregor kwa T.K.O....

    Mayweather ameendelea kuhidhirisha ubabe wake baada ya kumpiga McGregor kwa T.K.O katika round ya kumi........ Round 1:McGregor anarusha ngumi kwa kasi na kumpeleka Mayweather kwenye kamba na mpaka mwisho wa round hii McGregor anaoongoza kwa points Round 2:McGregor anapewa onyo...
  2. Hacktivist

    Uwongo mwingine haufai......

    Kuna mama alikua katoka kupakua chakula ili ale..ghafla akasikia mtu anabisha hodi basi harakaharaka akaficha chakula chini ya kochi akaenda kufungua mlango.. mama:"Karibu shoga yangu".. mgeni alipokaa akaanza kuona moshi unatoka chini ya kochi...akabidi aulize mgeni:"Shoga kulikoni mbona chini...
  3. Hacktivist

    Ngoma ya Roma ft Stamina....

    Nani kamfunika mwenzake ? ...
  4. Hacktivist

    Kauli za ajabu

    Nilimsikia mshikaji mmoja akisema "Uzuri wa mwanamke sura....tabia nitamnyoosha" wakuu naombeni na nyie mtupie kauli ambazo ziliwaacha hoi mlipozisikia kwa mara ya kwanza.....!
  5. Hacktivist

    Ni zaidi ya kuchapia

    Leo nimemsikia jamaa kachapia mpaka nikahisi akiendelea hv anaweza akawa bubu.. jamaa kaniuliza hv "Eti kati ya mbuzi na mkubwa nani nguruwe?"..wakuu embu naombeni nanyie mtoe michapio ambayo mmeshawahi kuisikia ikawaacha hoi....
  6. Hacktivist

    Its Hacktivist

    Me ni new member jamani wakuu.....naombeni mnikaribishe
Back
Top Bottom