Search results

  1. D

    Tra ihamishiwe utumishi

    wana JF naona nami hamna hoja.Muhimu ni kuangalia hasara tunayoipata kwa hawa TRA kuwa ndio kila kitu na imani yetu kwa UTUMISHI ikiwa kweli tatizo litatatuliwa.Na si kulumbana.Maana hawa jama wamezidi hata mfagiaji ni mchaga
  2. D

    Amana Bank Job Opportunity

    Wewe na kiti moto wako hao unaowala unaona unafaa hapo AMANA? Hawa jamaa riba tu hawataki ndio wakubali wala kitimoto? Mkombozi bank je vipi?Jaribu pia kupeleka maombi yako pale?
  3. D

    Nsff tendeni haki

    Haki huwa inatendeka ila baadhi ya wana jf mnakurupuka.Sasa umati ule wa ifm na nafasi zitakazotolewa hivi ni kweli kabisaaaaaaaaaaaaaaaa watuajiri woooooooote waliofanya written interview pale ifm au?Obvious haiwezekani.
  4. D

    Nimeitwa kwenye interview NSSF kwa njia ya sms!!!

    Wewe kama umeitwa changanya kuminamoja zako uende.Habari za kuanza kutabiri sisi wana forum sio ma which doctor. Mtegemee Mungu Baba na utafanikiwa.Hata hao kina John,Petter,Joseph,Anna,Agnes pia waende.Wasiwasi kwa binaadamu mwenzio hauna maana unaenda kwa...
  5. D

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    Wana jf naona mnamsakama sana huyu Dr.Dau hata kama ana mchango mkubwa katika shughuli za maendeleo hasa ya nchi yake. Hivi ni watu wangapi hujenga na kuimarisha miji yao wanayotoka? Yaani kuwatetea watu wa Mafia ili waweze kupata ardhi ndogo ya kumiliki...
  6. D

    SSRA vp walishaajiri au?

    Habari zenu wana JF. Tusipotezeane muda kujadili mambo yanajulikana mama Irene mkurugenzi mkuu wa SSRA UDINI MTUPU NA UMANGI MTUPU. Nawashauri pia kutembelea ofisi zao maana sihitaji kuwapa data za uongo. We ukifika shimboni pia tafuta maneno yako ya kichaga...
  7. D

    NSSF interview

    wana jf naona sasa haya mambo tuyafanyie uchunguzi kwa kila sehemu na sio tu nssf.au wana jf wote tuajiriwe nssf? sasa tuangalie pia SSRA.Ni juzi kati tu jamaa wametuita katika interview na wengine wakisema kuwa kama husali na mama IRENE Mkurugenzi mkuu kanisa...
  8. D

    Nssf

    vimemo kila pahala mmeona NSSF tu.Wadau wizara ya elimu mambo yakoje kwenye scholarship?nilipeleka maombi wizara ya elimu na nina first class kama walivyokuwa wanataka ila wadau nimepigwa chini sababu ni zilezile udini,ukanda,ukabila...
  9. D

    Nssf

    TRA ukabila na udini umejaa.
  10. D

    Nssf

    wadau naona hamuoni vizuri nchi hii.TRA mambo yakoje?BOT,FOREIGN AFFAIR. HAMUONIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII?Mmekazana tu NSSF.BUNGENI.Kote huko udini,ukabila,ukanda umejaa.Fanyeni research hiyo ndio bongo bwana.
  11. D

    Bajeti ya mwaka 2010/2011 na mwelekeo wa uchumi wa tanzania

    ndio mambo ya demokrasia hayo,wabunge wetu baada ya ku discuss hii bajeti na upatikanaji wa maisha bora,kazi ni kurushiana maneno na kujivunjia heshima kwao na bunge le2. vipi tutapata maisha bora na bajeti hii?
Back
Top Bottom