Search results

  1. Fernando Jr

    Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Duh kumbe ni mipasho! Sawa dada wa buza, nimekuelewa.
  2. Fernando Jr

    Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Kwahiyo unapuuza mambo ya msingi na kuzidi kupuyanga kwakuwa tu mzungumzaji/mshauri katumia lugha isiyo ya staha? Unafikiri atakayeonekana mpuuzi zaidi machoni pa watu wanaojitambua ni nani?
  3. Fernando Jr

    TFF wasaidieni Yanga Afrika huko FIFA kama halikuwa goli kwanini refa hakuwapa Yanga kona wakati mpira ulitolewa nje kwa kichwa na beki wao?

    Duhhh! Samahani mkuu, hapa umeishirikisha brain kweli? Yaani umewaza ukawazua ndo ukaja na hiki? Kwa hali hii CCM itaendelea kuiba kura mpaka Yesu arudi
  4. Fernando Jr

    Kuna tofauti kati ya VAR na Goal Line Technology

    Ushabiki wa waswahili unatufanya kuwa vipofu wa kuukataa ukweli hata kama tumeuona dhahiri. Kwa kuliona hili binafsi nilishachagua kuwa neutral katika kila jambo ili niweze kuwa huru kutika kufikiri, kuona, kutenda, kusema na kusimama katika ukweli. Ndo maana sinaga utimu utimu, ambao naamini...
  5. Fernando Jr

    Uzalendo: Kwenye Ujenzi wa Bwawa la Nyerere Wananchi Wako Upande wa Magufuli kwamba alikuwa Sahihi

    Boss Lucas yupo busy kasharamba uteuzi kimyakimya. Kanituma chawa wake nije nimuanzishie introduction kisha yeye atakuja kukamilisha. "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz, Dr. Samia Suluhu Hassan, mama la mama, kipenzi cha watanzania, simba wa Yuda, shujaa wa Africa, jasiri muongoza njia, mama wa...
  6. Fernando Jr

    Hali ya hewa itakavyokuwa kuanzia leo saa 3 usiku mpaka saa 7 usiku

    Hii nayo ni nchi ya kuwa mzalendo? Sifa kuu ya kuwa mzalendo tz ni kuitukuza ccm. Yanga na Simba ikiwezekana wabondwe tu
  7. Fernando Jr

    Video ya kuogofya: Jambazi alivyopigwa risasi shingoni wakati alipovamia benki.

    Duhhh tabu zote hizo kisa katunda kamoja tu pale Eden? Au kuna kosa jingine Adam na Eva walifanya? Mwanadamu anazaliwa kwa tabu, anaishi kwa tabu maisha yake yote, bado anakufa kwa tabu sana! Haya bhana ngoja tuufyate maana tunakatazwa ku doubt na kuhoji maandiko.
  8. Fernando Jr

    Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    Na huu mkeka umekuacha! Kazi ipo. Usichoke kuweka namba hapo chini, iweke tafadhali. Kukata tamaa ni dhambi.
  9. Fernando Jr

    Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    Hivi ujana mwisho huwa miaka mingapi?
  10. Fernando Jr

    Estadio Santiago Dé Bernabeu, hekalu la soka lililobeba historia kubwa ya soka

    Ngoja waje waswahili wenye barca yao na utimu kwenye kila jambo, hawatokuelewa
  11. Fernando Jr

    Estadio Santiago Dé Bernabeu, hekalu la soka lililobeba historia kubwa ya soka

    Sawa. Ukileta unitag nije kusoma madini
  12. Fernando Jr

    Estadio Santiago Dé Bernabeu, hekalu la soka lililobeba historia kubwa ya soka

    Isubirie sasa ije ndo uizungumzie. Ukiulizwa ni tarehe ngapi utaanza tumika huo uwanja ulioboreshwa, utabeba mashabiki wangapi siku hiyo, matukio yapi yatatokea siku hiyo, nk huwezi kujibu kwa uhakika, labda uanze utabiri kama wa wale mashabiki wa simba na yanga akina mhasibu walioongelea...
  13. Fernando Jr

    Estadio Santiago Dé Bernabeu, hekalu la soka lililobeba historia kubwa ya soka

    Duh kumbe bado hujaelewa! Basi tuwekee hapa historia ya kuvutia ya hiyo Camp Nou tutofautishe na Santiago Bernabeu. Achana na future ambazo huwa ni za kufikirika hadi zitimie.
  14. Fernando Jr

    Wasipokuwa makini kwa hili nchi itajigawa kimakundi

    Wahame wenye timu zao wanaosababisha huzuni.
Back
Top Bottom